miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23][emoji23] aah, yetu macho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]usitusagie sana kunguni wanaume bhana, sio wote sista
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] aah, yetu macho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]usitusagie sana kunguni wanaume bhana, sio wote sista
Pole sana mkuu wanawake hawa jipe moyo mungu nyuma yakoAsalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.
Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.
Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.
Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.
Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.
Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
Halad wanamsingizia mke wa kwanza wa mengi wakati watu tunamjua kwa kiasi chake yule mama na tabia mbaya za marehem mumewe. Yaan baba amehangaika na mbususu yule pooohCha kujifunza kipo,
Mwanamke wa kwanza ndio mke, hawa wengine ni sarakasi tu kama yale ya mzee MENGI
Mahusiano na maex asilimia kubwa huwa ni unafiki tu.Na wengi walivyo wajinga, basi ex akikusimulia changamoto alizopitia basi unajiona mwamba au cuteeee; kumbe mwenzio anatafuta tu pa kutolea genye zake tu au ana shida zake anakuingiza king umsaidie. Kama msamaha angekuja kukuomba while everything was still ok with him/her; sio msamaha fake kisa ameona ametingwa. Watu wajifunze ku-move on; ukiachwa achika
[emoji23][emoji23][emoji23]Na wengi walivyo wajinga, basi ex akikusimulia changamoto alizopitia basi unajiona mwamba au cuteeee; kumbe mwenzio anatafuta tu pa kutolea genye zake tu au ana shida zake anakuingiza king umsaidie. Kama msamaha angekuja kukuomba while everything was still ok with him/her; sio msamaha fake kisa ameona ametingwa. Watu wajifunze ku-move on; ukiachwa achika
Nimeacha zaman sana[emoji120]How sweet. Mungu awatunze, na usirudie tena ukaidi.[emoji38][emoji38]
Hahaha ndio ndio. Muda ytasemaNa mchepuko wa mkewe lazima tu azingue kwa maana katembea na mke wake lengo likiwa ni kumkomesha tu kumtia adabu wala sio mapenzi.
Kwaiyo nnaimani mwanamke yatamshinda na atarudi,
Ila somo jamaa atakua keshapata na akili itamkaa.
[emoji2][emoji2] ndio utuombee sasa mungu awe mbele yetu[emoji23][emoji23][emoji23] aah, yetu macho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa,
Awamu nzima ya mwendazake jamaa anachepuka tu uko.
Hivi sijui akifka uko mbinguni atamjibu nini kiongozi wa malaika (JOKE[emoji2])
Na huwaga mara nyingi siyo msaada. Hauwezi kuponaaa asilani. Ushauri unaokuacha katika comforting zone haujawahi kuwa mzuriShida watu huleta mada ku paint vibaya partner's wao badala wasemd ukweli wapewe ushauri uliotukuka wao hujifanya malaika
Wana umri gani kwani utakiwi kukurupuka kuoa lakini kuoa muda utafikaNashukuru saana kwa ushauri hata hivyo Mungu mwema maana nilikua napitia mateso saana kwa huyu mwanamke Mungu ameniweka huru.
Kuhusu mke mwingine hapana wanangu ni wadogo saana
Hahahaha kwahiyo bado hujapata mchepuko mwingine? Maana uliapa hutaachaMagum mno,
Wee acha tu hivi vifua vyetu vinahifadhi mengi mno.
Mengine siwez kuweka humu hadharani,
Mi niliumia mno,
Sema kwa sababu nilijingundua ndio msababishi wa sarakasi zote zile za ukaidi na kushupaza shingo kwa kigezo cha niko tayar kua na mwaamke yeyote nnaemtaka kwa gharama yoyote.
Aisee liliponikuta nilikua mpole na mdogo kama piritoni nikafyata mkia maisha yakaendelea.
Namsifu sana mama watoto wangu kwa uvumilivu wake.
Ukilinganisha mizani mimi ndio nilimuumiza zaidi maana nilikua TOO MUCH.
Yaani kuna vitu nilikua naweza nikamfanyia afu baadae pemben nafs ikanisuta kwanini nilimfanyie vile, Sema tu ulikua ujeuri na kiburi.
Kwa sasa nimejifunza, na tunaenda vizur mno.
She is the best lover of my life.
Mungu akupe maisha marefu mno Mke wangu, japokua hauko jf wala hujui jf ni kitu gani.
Wengi hutaka lawama apewe partner na yeye aonewe huruma. Sindano huuma lakini Dr lazima akuchome ili uponeNa huwaga mara nyingi siyo msaada. Hauwezi kuponaaa asilani. Ushauri unaokuacha katika comforting zone haujawahi kuwa mzuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana usioe kwa tamaa Mimi nilio shepu kumbe kichwani box tupu
Ewaaahh[emoji23][emoji23]Wengi hutaka lawama apewe partner na yeye aonewe huruma. Sindano huuma lakini Dr lazima akuchome ili upone
Vipi na wewe ulimegewaMagum mno,
Wee acha tu hivi vifua vyetu vinahifadhi mengi mno.
Mengine siwez kuweka humu hadharani,
Tatizo la mwanamke akikolea penzini Ni anakolea kweli kweli,anaubwaga moyo ,akili na mwili kwa mtu aliempenda, ndio maana u unakuta sio tu kukuumiza kwa kuchepuka hata kutoa Siri zako zote kwa mpenzi wake mpya ....Ange weza kuniua huyu maana hawara anadai ananijua kindaki ndaki wakati binafsi simjui
Muda ni mwalimu mzuriHahaha ndio ndio. Muda ytasema