Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kwa hiyo ww ukiona wimbo kafanya ammy unajua kafanya switch records? Quick racka aliifunga hiyo studio muda mrefu tuhiyo ngoma ya country ina miezi mitatu ameifanya ammy wave
Mkuu huenda hatuelewani. Studio ikifungwa na producer nae anaacha kufanya music moja kwa moja? Yeye alikua muajiriwa, studio inafungwa anahamia kwinginenyingine hiyo imefanywa na ammy aina hata mwaka
kwa maelezo yako ammy ameokoka anafanya gospelKwa hiyo ww ukiona wimbo kafanya ammy unajua kafanya switch records? Quick racka aliifunga hiyo studio muda mrefu tu
Huo umefanywa Bextra records.
inawezekana but haina hata mwaka tangu ifungwe coz kuna ngoma nazijua zimetoka switch ndani ya mwaka huuMkuu huenda hatuelewani. Studio ikifungwa na producer nae anaacha kufanya music moja kwa moja? Yeye alikua muajiriwa, studio inafungwa anahamia kwingine
Unapaswa kuelewa kwanza ndio maana nilirekebisha hiyo comment. Nilisema switch records imefungwa, ww ukassma haijafungwa, yupo ammy. Ammy wapo wawili, ammy music na ammy waves. Nikagundua unamzungumzia ammy waves wakati mm nilitaka kumzungumzia ammy music.kwa maelezo yako ammy ameokoka anafanya gospel
Acha uongo quick rocka kafunga hiyo studio muda mrefu tu. Ngoma gani hiyo imerekodiwa switch? Inarekodiwa vipi na studio imefungwa?inawezekana but haina hata mwaka tangu ifungwe coz kuna ngoma nazijua zimetoka switch ndani ya mwaka huu
kama topic ni switch basi ungenielewa moja kwa moja nilivyosema ammy kuwa namaanisha ammy waves, sasa namimi nimekuelewaUnapaswa kuelewa kwanza ndio maana nilirekebisha hiyo comment. Nilisema switch records imefungwa, ww ukassma haijafungwa, yupo ammy. Ammy wapo wawili, ammy music na ammy waves. Nikagundua unamzungumzia ammy waves wakati mm nilitaka kumzungumzia ammy music.
But hoja ilikua studio ya switch records kufungwa au bado ipo. Studio imefungwa
Nilishaelewa kabla hujaniambia ndio maana uliona niliweka sawa.kama topic ni switch basi ungenielewa moja kwa moja nilivyosema ammy kuwa namaanisha ammy waves, sasa namimi nimekuelewa
kama imefungwa iliwezaje kufanya production ya album ya lunyaAcha uongo quick rocka kafunga hiyo studio muda mrefu tu. Ngoma gani hiyo imerekodiwa switch? Inarekodiwa vipi na studio imefungwa?
kusema ngoma gani imerekodiwa? inamaana hadi usikie wewe hiyo ngoma ndio uamini switch inafanya kazi! switch haijawahi kufungwa tangu inaanza productionAcha uongo quick rocka kafunga hiyo studio muda mrefu tu. Ngoma gani hiyo imerekodiwa switch? Inarekodiwa vipi na studio imefungwa?
Yupo usukuman ANAPIGA beat za kingosha na nahis ana kibunda cha kutosha kwa sasaNa allan mapigo je?
Album ni collection ya nyimbo, ambazo hazirekodiwi siku moja. Hapo kuna nyimbo/wimbo alifanya pengine muda mrefu ndio maana unaona zingine zimefanywa studio zinginekama imefungwa iliwezaje kufanya production ya album ya lunya View attachment 3169977
Nimetafuta interview ya quick kuhusu kufunga studio, hatimaye nimeipata. Msikilizw hapo mwenyewe kuhusy kuifunga na sababu za kuifunga.kusema ngoma gani imerekodiwa? inamaana hadi usikie wewe hiyo ngoma ndio uamini switch inafanya kazi! switch haijawahi kufungwa tangu inaanza production
hakuna kipande alichosema ameifunga studio. amesema alifunga record label so jaribu kutofautisha studio na record labelAlbum ni collection ya nyimbo, ambazo hazirekodiwi siku moja. Hapo kuna nyimbo/wimbo alifanya pengine muda mrefu ndio maana unaona zingine zimefanywa studio zingine
Imebidi nitafute video ya quiick akizungumzia kuifunga studio
View: https://www.youtube.com/watch?v=uNkzJGdPB60
amesema ameifunga record label, na kumbukumbu yangu wasanii wake wa mwisho kuwa label ni OMG na hata baada ya OMG kufa studio imeendelea kufanya kazi kama kawaidaNimetafuta interview ya quick kuhusu kufunga studio, hatimaye nimeipata. Msikilizw hapo mwenyewe kuhusy kuifunga na sababu za kuifunga.
View: https://www.youtube.com/watch?v=uNkzJGdPB60
Daah huyu dada nilimuelewa sana kumsikilliza, nilikuwa naskia akijiita Sharbano.Shelly aboubakary
Amba alifanya hii ngomaBembeleza alitengeza Tuddy?
Labda kama nachanganya ila Marlow naye alifanya mziki na Ambha
Sharifa Abubakari.Walikuwa na binti fulani alikuwa ana sauti nzuri kwenye show yao, alikuwa kama dj fetty wao.
Aisee muda unakimbia kipindi hicho nasoma nsumba mwanza A level miaka ya 2007-2009 now naelekea uzee