Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Emu nikumbusheni ile albadiri ilikuwaga lini, sio baada ya lisu kupigwa lisasi kweli....
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Samahani ndugu yangu Chidumule bado mzima hajafa usimchulie
 
Pole sana yaani hili umelijua leo? Yaani ukiona covid imetangazwa kwa mbwembwe zote jua kuna anae ondoka.

Hivi umejiuliza tangu mwezi wa tatu alivyofariki covid ikaenda likizo sasa hivi imerudi kwa nguvu bado macho hayajafunguka? Wake up!!!!
Daah umenikumbusha kitabu cha kufa na kupona cha marehemu Musiba "kila unapomuona lulu kwenye jukwaa akionyesha mitindo ya mavazi na watu wakishangilia jua kuna mtu anakufa" kila simaanishi na stori hii
 
Spika ndugai ameshupaza shingo hakika naiona menemene tekel na persin sebuleni kwake muda c mrefu mtakuja kuikumbuka hii msg.
 
Kwenye madhambi Jiwe n a Genge lake walikithiri ndio maana Mungu kaamua kuwapukutisha. Maana sio kwa uhalifu ule aisee.
 

Nimecheka kwa nguvu ulichoandika hapa, huyo marehemu watu walikuwa wanampa ukweli wake huku mitandaoni, labda kama ulikuwa huingii mitandaoni, na hata sasa mama anaambiwa humu humu mitandaoni. Au kuna mahali umeona huyo mama watu wakizuia asipite barabarani?
 
Swali la kujiuliza ni kwanini ni inner circle tu ya mwendazake? Na yule alieponea mtungi wa hewa naona ameanza kutembea na mguu wa kuku kiunoni siku hizi.. kwanini atembee nao wakati analindwa?

Mkuu hao waliokufa walipigwa risasi kama Lisu, mpaka huyu kaamua kutembea na huo mguu wa kuku?
 
Ukikua utaacha
 

Kama huo usalama ni wa hivyo watu wasingetekwa na kutupwa kwenye viroba. Ana tungewajua hao watekaji. Hii mikwara eti kuna watu hawalali huwa inanichekesha sana. Ukiona mtu halali usiku ujue hiyo ndio kazi aliyoichagua, na analipwa na sio uzalendo kama unavyotaka ionekane. Hao watu unaowasifia hawalali walikuwa wapi mpaka watu wakajiunganisghia bomba la mafuta? Acha kutoa sifa za kijinga boss.
 
Ukiangalia kwa jicho la tatu, watu Hawa hawana raha kabisa, bidii ya kazi imeshuka sana baada ya kusoma mchezo unavyoendelea hapa nchini, -1. Cdf , 2. IGP, 3. Lukuvi, 4. Majaliwa, 5. Kabudi, 5. Mpango etc.

Wakati watu wanatekwa, kuuwawa, kuachwa na vilema vya maisha na kubambikiziwa kodi, hawa uliowataja walikuwa na msaada gani? Kuendesha nchi kikatili ndio ari ya kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…