Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

Sjui kama umeelewa ulichosoma
 
Juzi kati Rais Tinubu wa Nigeria kamtimua mtoto wake wa kiume kwenye kikao chake na Wafanyabiashara. Mzee alichukia kuwa hata kama yeye ni Rais, mwanae hana mamlaka ya kuhudhuria kikao chake ambacho hajaalikwa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Abdul ana impact gani zaidi ya kubebwa na Mama yake!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kura tumpe Samia, Abdul ndio awe mwakilishi wake, hii hapana aisee
 
Jesca mlimjua sababu pamoja na baba yake kuwa rais ye aliendelea kusoma vyuo vya serikali..lakini hata picha yake hatuijui.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Jesca alijulikana baada yakugundulika kuwa wakati Magufuli anavunja ile course ya ualimu pale UDOM ya form 4 zilizofeli na Jesca alikuwa muathilika la tukio ilo maana nae alikuwa mwanafunzi
 
Huyo wa Mama yenu ana mchango gani?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Huna akili,kwan kifungu gani cha katiba kinazuia hayo!

Makufuli yeye nani haswa kiasi aigwe yeye dikteta yule!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…