Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

Attachments

  • Screenshot_20231107-103734.jpg
    Screenshot_20231107-103734.jpg
    47.1 KB · Views: 5
Sasa si bora Magufuli Kuna watu watu wengine wanaamini The late Mkapa hana watoto kabisa.
Tuwaangalie Marais wote kuanzia Nyerere hadi huyu wa Sasa. Kuna la kujifunza. Tena JK yeye ndiyo kabisaa, Mwinyi kule Zanzibar, Wabunge wa majimbo kadhaa ni familia yake. Unaweza kusema kuwa Rais hakuzuhii mwanafamilia kugombea nafasi nyingine ya uongozi, lakini kwann hawakufanya hivyo kabla?
 
Back
Top Bottom