Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

Unajua fika kuwa kwamatendo yako una maadui wenye uwezo,je uta expose family yako?La pili unanyoosha watu kila siku kwa dunia ya leo kosa moja la mwanao linaweza kuharibu mipango yako yote.
Yote kwa yote wanafaidi pepo wakiwa duniani,sidhani kama wana shida yoyote
 
Tumeelewa in advance.....
 
Waziri kamili Nishati na madini,vibali vyote vya Tanzanite lazima uwe last signatory 😁😁😁sitaki ujinga
😂 nmekubali teuzi nangoja siku ya kiapo nianze kazi, nje Vieite inanguruma na hapa kiunoni ipo (in dotto magari voice)
 
Nakubali.
 
Ulikuwa sigimbi yapi?mbona tulimfaham jesca
 
Kulamba asali
Kulamba asali gani? Kwani Mbowe angetaka asali si angehamia CCM? upinzani kuna kipi cha kulamba wakati mabilion yote yapo serikalini?
Safi sana Jpm wapinzani feki walitamani kuishi usanii wa Enzi za Vasco
Wapinzani feki ilihali hawakwenda CCM licha ya mateso? Mwisho wa siku Mbowe is the winner na JPM yupo kuzimu, nani mjanja hapo?
 
Lakini walikuwa wanapewa vyeo kimya kimya. Bora anayewaonesha kuliko kuliko aliyewapa mavyeo makubwa serikalini kimya kimya. Kuna mme wa mtoto wake magufuli alipeqa ujaji fasta bila hata sifa. Mtoto wake anasoma hapa mother of mercy madale.
 
Sijawahi sikia hilo, ila la james kuna mtu anaitwa Malulu niwa kanda hiyo alisema yule ni mpwa wa hayati na ni rafiki wa malulu wamepiga kampeni wote ili hayati ashinde, kuhusu jina la mama sijui!
Acha maneno ya kusikia...Familia yao walikwepo John (mh Rais..RIP), Magufuli wa Utumishi kabla alikuwa anafundisha Chuo cha maendeleo ya jamii Buhare Musoma, Gokan (Goro..mfanyabiashara), Dada yao marehemu ( unakumbuka msiba wa Dada wa Rais Magufuli aliefiwa Bugando), wa mwisho tunamwita Shangazi yupo Chato hadi sasa.

Mama yake Doto yupo hai na yupo Chato hapa tunapina nae stori kila leo.
Wewe elewa kuwa Doto na Magufuli hawana vinasaba.
 
Lakini walikuwa wanapewa vyeo kimya kimya. Bora anayewaonesha kuliko kuliko aliyewapa mavyeo makubwa serikalini kimya kimya. Kuna mme wa mtoto wake magufuli alipeqa ujaji fasta bila hata sifa. Mtoto wake anasoma hapa mother of mercy madale.
Kilichoulizwa ni watoto wake kuzoelea Ikulu na ama wao kujiona ni kama sehemu ya uongozi wa babayao

Unaposema walipewa madaraka makubwa ni kama yepi na jina la hao ni kina nani sasa?
 
Watoto wa JPM walikuwa ni wadogo wakati anaaga dunia, alikuwa na Jesca peke yake akiwa mtu mzima na yule kibonge.

Malezi ya kikristo na ya kiislam ni tofauti. Samia ni mke wa tatu wa mume wake. Hayati JPM aliacha mke mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…