Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

Jesca alijulikana baada yakugundulika kuwa wakati Magufuli anavunja ile course ya ualimu pale UDOM ya form 4 zilizofeli na Jesca alikuwa muathilika la tukio ilo maana nae alikuwa mwanafunzi
Nilikuwa nawaza Nani alikuwa analipa ada na Nani alimtafutia shule yule bint
 
Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini

Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri

Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi kuwaona kwenye Hafla, Ikulu wala kwenye mkusanyiko wowote wa viongozi wakiwa kama watoto wa Rais

Haya ndiyo maadili twapaswa kuwajengea watoto wetu

Mtu unapata nafasi ya Kuongoza nchi, watoto wako nao unataka wawe viomgozi? Haya sidhani kama ni maadili ya kiuongozi!

Ofisi tumpe Rais, watoto nao tuwe tunawahudumia kama viongozi wetu? Watuhoji kwa nini tumechelewa ofisini?

Hii hapana

JPM apewe mauwa yake kwa maadili ya familia yake!

Tunapozungumzia maadili ya kiuongozi na kuondoa sintofahamu ya familia za viongozi wetu kufanya watoto wao wawe frontline kana kwamba nao ni viongozi wetu, sisi kama Taifa, yatupasa tuliweke jambo hili sawa!

Kwamba, tukipata Rais, basi hata watoto wake wawe sehemu ya uongozi wa mzazi wao na au itambulike kuwa, (baba/mama)yao ndiyo kiongozi wetu, watoto wao wawe kama watoto wa mkurugenzi ama kiongozi yeyote yule

Tumpigie kura mtu fulani, badala ya yeye tu kuwa ndiye kiongozi na anayepaswa aheshimiwe, badala yake kunakuwepo na watoto wake ambao nao anataka wawe sehemu ya uongozi wake na nusu ya heshima yake, ipelekwe kwa hao? Huku ni kukosa soni!

Je, hakuna utata wowote mtoto wa Rais kuwa sehemu ya kiuongozi?
Mbona Jesca alifahamika nchi nzima, au umesahau? Au nia yako ni nini. Jesca alifahamika ila kwa kupewa mkopo wakati hakuwaa sifa. Magufuli alikuwa fisadi km mafisadi wengine
 
Kwani Abdul ana impact gani zaidi ya kubebwa na Mama yake!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kila mtu anambeba mtoto wake, sasa usipombeba atabebwa na nani? Hii nchi ukipata nafasi wawezeshe wanao ama sivyo utatukanwa na hao wanao na kukuona mzazi wa hovyo. Kwa taarifa yako viongozi wengi walioshika nafasi kubwa waliwabeba wanao. Sema waliwaweka nafasi ambazo sio za kisiasa kuepuka maneno
 
Ndugu tumia nafasi vizuri, ukiiacha hiyo nafasi basi wajukuu zako watakuja kukutukana Sana. Katiba haimziwii rais kumpa mamlaka mtoto wake ama ndugu yako, ukiwa rais hakikisha ndugu zako wenye uwezo wa kazi wote unawaacha kwenye system. Hayupo atakayekupongeza kwa kuwanyima kazi ndugu zako, unatengeneza uadui na ndugu usio wa lazima
Tuwaangalie Marais wote kuanzia Nyerere hadi huyu wa Sasa. Kuna la kujifunza. Tena JK yeye ndiyo kabisaa, Mwinyi kule Zanzibar, Wabunge wa majimbo kadhaa ni familia yake. Unaweza kusema kuwa Rais hakuzuhii mwanafamilia kugombea nafasi nyingine ya uongozi, lakini kwann hawakufanya hivyo ka
 
Sina hakika iwapo unaelewa kile kimeandikwa hapo! Au niishie kusema, ushabiki unaozima hata uwezo wa kupambanua mambo nao si mzuri sana!
We mjinga flani tu.
Kwani Magufuli ni nani mpk aigwe.
Lile shetani lenu la Chato lilikuwa na roho mbaya sana mpk kwa familia yake.
Sio jitu la kujifananisha nalo
 
We mjinga flani tu.
Kwani Magufuli ni nani mpk aigwe.
Lile shetani lenu la Chato lilikuwa na roho mbaya sana mpk kwa familia yake.
Sio jitu la kujifananisha nalo
Umeisha paniki, lilax mkuu kunywa maji mengi

Embu soma tena ulichoandika, unamkomoa nani sasa
 
Utawala wake ulikuwa wakidikiteta ndomaana hakutaka wanayewasijulikane wasije wakadhurika na maadui wake,jamaa alikuwa mafia kwelkwel
 
Watoto, wanafamilia na jamaa za viongozi wakuu hujishughulisha na shughuli zao za kujitafutia kipato kama watu wengine, Ila kwa sababu ya influence ya mzazi wao, wanapewa special attention na jamii.
Sasa basi, watu wengi huwatumia kutimiza malengo yao kwa kushirikiana (kuwahusisha katika biashara kwa kuwapa share za bure n. k).

Watumishi wa uma pia hawabaki nyuma kutoa upendeleo ili kujiweka karibu na m kubwa (kujikomba).
Mbaya zaidi, hata wageni huweza kupitia njia hizo kupenya serikalini, kuteka uchumi kibiashara n. k.
Tofauti ya Magu na wengine ni kwamba, kwenye biashara aliua hivyo watoto wasingepata nafasi ya kuonekana. Kuhusu kupenya serikalini, kuna uwezekano walipenya labda hata wageni. Jingine ni kwamba wakati wa Magu watu walidhibitiwa wakajaa woga, hivyo waliosikika ni wale wa kusifu na kuabudu.
 
Ulichotaka kukieleza ili tuelewe, umebaki nacho kichwani kwako mkuu

Kwenye andiko hili, kuna kitu umeamua ukae nacho kwa sababu hapa haujatuelewesha vya kutosha kama akili yako ilivyosheheni uwelewa wa chapisho lako

Sawa mkuu
 
Doto James Masanja hana undugu wowote na Magufuli isipokuwa wanatoka sehemu moja tu Chato. Kama unabisha taja Jina la mamake Doto ambae ni dada wa Magufuli.
Yote hayo yalikuwa ni propaganda tu.
Kama ni propaganda mbona hujafanyiwa wewe kwamba ni anko wa Magufuli, unakumbuka nani alishndana na kina Gwajima alafu akashinda? Ni hivi watu wa chato timeongea nao wanekiri kwa kuna unasava kati ya Ditto na Hayati ndiyo masna yeye hakukanusha ila wewe unadha kwamba kwa sababu wanatoka chat?
 
sio kila kitu cha kukanusha wewe inamaana chadema walipokituambia ridhiwani kikwete kakamatwa na dawa za kulevya china halafu alipotakiwa anyongwe baba yake akatoa gesi ya mtwara ili aachiwe huru hukuwepo?
 
Back
Top Bottom