... very shallow! Hivyo vita vya ufisadi, madawa, n.k. alienda kuvipigani Angola? Ghana? Egypt? Au wapi huko? Mwl. Nyerere msimamo wake ulikuwa waziwazi, hatutakuwa huru hadi Afrika yote iwe huru na kilichofuata bada ya hapo kinajulikana; Tanzania iligeuka pepo ya wapigania uhuru kuanzia wale wa Msumbiji, Angola, Zimbabwe, South Africa, n.k. Tulishuhudia vikosi vikipelekwa mstari wa mbele; uliwahi kumsikia Brigedia Mosses Nnaye? Alikuwa nani?SHUJAA- ni mtu anaeshinda jambo fulani, mfano vita au ni mtu anaelikabili jambo lolote kwa ujasiri bila woga, mfano kudhiti ufisadi, madawa na nk..
magufuli anatajwa shujaa wa afrika coz kwa kipindi hiki hakuna rais afrika alieweza pigana kishujaa vita za kifisadi, madawa na nk.. kumfikia yeye.
Kifo cha Jiwe inaweza kuwa ni ukombozi kwa Tanzania!
Hivyo vigezo umetoa wapiiiMoja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii na kuheshimu utu. Katika kampeni za uchaguzi Magufuli alikuwa akitamka wazi kuwa hakupeleka na hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya Chadema. Hapo vipi mtaalamu.
Halafu kwa nini alikuwa haendi kwenye mikutano ya AU kutoa maono yake mazuri
Usijidanganye marufuku ya ushoga iko pale paleKifo cha Jiwe inaweza kuwa ni ukombozi kwa Tanzania!
Huyu siyo beberu ?
Sawa sawa mkuu, ht yale machozi ni ya kinafikiHivi hii mikusanyiko ya viwanjani ndo inakudanganya kwamba Magufuli anapendwa sana? Misiba kwa Tanzania ni kama mikutano ya kampeni tu wote wanakwenda. Jombi alipokufa MBEYA mbali ya kuwa jambazi sugu wengi walikwenda sasa jiulize aliwatendea jema gani?
Waliobomolewa nyumba kumaraWamaonchukia Magufuli wana sifa zifuatazo
1. Waathirika wa vyeti feki
2. Wezi na wanyanganyi
3. Wanaomini katika haki za mashoga na upuuzi mwengine
4. Wapiga dili
5. Wanahisi wana akili kuliko wenzao
6. Wanaamini kila kitu katika fikra za wazungu
7. Wavivu
8. Tasfiri ya Uhuru ni kwamba ufanye chochote kile unachojisikia
9. Kiongozi bora ni yule anaejaza watu pesa bila ya jasho
10. Wachoyo
labda umekosa exposure tu mkuuLabda sahihi kwani sijawahi kuona kiongozi wa afrika kama yeye duniani si afrika tu
Sawa sawa mkuu, ht yale machozi ni ya kinafiki
Nakuomba tuwe na subira, miezi 6 ya utawala wa Mama wa upendo na Haki utanisaidia kuleta maoni ya hao unaosema wanalia uwanjani.Sawa sawa mkuu, ht yale machozi ni ya kinafiki
Hilo nyomi ni cha mtoto, angslieni makao makuu Dodoma!Huyo kweli alikuwa rais wa wanyonge kwa lile nyomi shikamoo magu acha sisi watu wa jf na Twitter tubishane na uhalisia
nyomi kitu gani. hata kama mngekubaliana wote watu 60m isipokuwa mimi peke yangu bado ingebaki kweli kwamba jiwe hakuwa shujaa hawezi kufikia hata 0.00090% ya ushujaaHilo nyomi ni cha mtoto, angslieni makao makuu Dodoma!
hiyo ni misingi ya ujumla ya mashujaa. achana na vigezo uchwara vya kujenga madarajaHivyo vigezo umetoa wapiii
Hadi atangazwe ? Shujaa utamjua kwa matendo
Tunajua shujaa wako ni huyo basha wako uliyenaye hapo belgium! Ila sisi tutaendelea na shujaa wa Africa wetu Magu!nyomi kitu gani. hata kama mngekubaliana wote watu 60m isipokuwa mimi peke yangu bado ingebaki kweli kwamba jiwe hakuwa shujaa hawezi kufikia hata 0.00090% ya ushujaa
hao the Daily monitor hawawezi kujua kuliko mimi ninaeyaishi. Tanzania ni corruption-free country tangu lini. Mmesahau jinsi mlivyokuwa mnanunua wabunge wa upinzani kama bidhaa. au wewe rushwa unaielewajeJibu utalipata kutoka Daily monitor ya Uganda ya leo:
It is undeniable that Magufuli was enthusiastic about his job and took transformation of Tanzania very seriously.
Magufuli wanted the best for his country: a corruption-free society, efficiency and effectiveness in service delivery, fiscal discipline and genuine development for all (that means all) his people – something I would never, ever, accuse Magufuli’s Ugandan counterpart of.
Strange and ironic that Magufuli didn’t look as bouncy and energetic as similarly deceased former president Benjamin Mkapa who walked with a spring in his stride, as though he was ready for a fight.