Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
Unajielewa kweli, ulisema kafa kifo cha aibu, nimekuuliza kuna kifo cha aibu zaidi ya kile cha Yesu kusurubiwa uchi? Unahamisha magoli.Shujaa wa kupeleka pesa china?. Tena pesa zenyewe zilihamishwa baada ya kuvamia ofisi na kuiba computer yenye taarifa zote.
WATETEA MAOVU HAO
Tangu lini Magufuli aliwahi kuwa msafi? Ile mahakama ya Mafisadi hivi ilianzishwaga?Hao jamaa ndio waliokuwa wanaoongoza mapambano dhidi ya mafisadi ?...
Nchi imeoza yote kuanzia vyuo, vyama vya siasa, mfumo wa elimu, polisi, tuma za chaguzi ila cha ajabu mpumbavu mmoja anakuambia tatizo ni Magufuli… mtu mmoja ndio kashika majeshi, usalama, na kila kitu kweli!
Umeyaona matokeo ya watoto zetu? Magufuli ndio alikuwa mwalimu sio! Mchele kuwa 3200 tatizo ni Magufuli sio! Mnapenda sana kuambiwa ujinga mkaanza kuzungusha mikono hewani…
Kikwete alikuwa mtu wenu na bado mliishia kunywa juice ikulu, saizi yanajirudia tena don’t expect anything different, at least Magufuli was a honest thief…
Unataka kumfananisha magufuli na Yesu? Nyie ndio mnaamini yale maneno ya kijinga ya kuwa kiongozi wa Malaika.Hahahahaahaaa!!!! Unajua kifo cha Yesu alikufaje? Mashujaa hufa hivyo boss…
Maana halisi ya mtu wa watu
Eti wakali,nyie wajinga ndio mlikuwa mbaona ni WA maana,Asilimia zote ya miradi iliyotekelezwa awamu ya 5 yote Ina upigaji Kwa wakubwa,wao walikuwa wanawakandaniza Watumishi wadogo ili kuwa fool wajinga kwamba they are doing good na wanapambana na rushwa..Hawa wasanii pesa zote hizi wamekula. Aisee halafu kujifanya wakali kumbe hakuna lolote. Warudishe pesa walizoficha china.
Unajielewa kweli, ulisema kafa kifo cha aibu, nimekuuliza kuna kifo cha aibu zaidi ya kile cha Yesu kusurubiwa uchi? Unahamisha magoli.
Marehemu anaweza vipi kuiba komputa kuhamisha fedha kwenda uchina? Kikulacho ki nguoni mwako.
Tangu lini Magufuli aliwahi kuwa msafi? Ile mahakama ya Mafisadi hivi ilianzishwaga?
Imekaa kisomi zaidi hiiUnajua kwanini kazi za wachungaji, mapadre na masheikh pamoja na kuzifanya kwa muda mrefu hapa duniani bado ni ngumu?
Sababu ni kuwa wapo wanadamu pamoja na kufundishwa ubaya wa Shetani wao bado wanamtetea na kuwa wafuasi wake.
Tafakari utaelewa
Nionyeshe ushiriki wake na uniambie ni kina nani wamefikishwa mahakamani mpaka sasaChuma cha kubeba pesa na kupeleka china. Mafisadi wa mikwara sana.
Unauhakika na pesa za china? Au unafuata walamba asali.Sema mzee wa pesa za china. JPM alikuwa na mikwra kumbe mwizi tu kama wengine.
Ufisadi ni jina tuu hata wewe unaweza kuitwa, lakini je ni kweli utakuwa fisadi?Tunasubiria ripoti ya BoT, Trilioni 1.5 na pesa za Tetemeko zilienda wapi. Za plea bargain tulishajua zilienda China.
Nionyeshe ushiriki wake na uniambie ni kina nani wamefikishwa mahakamani mpaka sasa