He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

Nani aliwapa mamlaka ya kupangua vile Allah amepanga???

Kulikuwa kinashindikanika nini kupanga kama vile Allah alipanga???
Quran haijapangwa na maswahaba

Kabla ya mtume kufa mpangilio (wahy) ulikuwepo

Hadith Support:
Narrated by Ibn Abbas:

“The Prophet used to review the Qur’an once every year (in Ramadan), but the year he died, he reviewed it twice with Jibreel.”
— (Sahih al-Bukhari)

Sasa mtume alikuwa hasomi kwa mpangilio?

Alikuwa akiswali anasoma bila mpangilio?

Hata kamaMAKAFIRI ongeeni ukweli
 
Nani aliwapa mamlaka ya kupangua vile Allah amepanga???

Kulikuwa kinashindikanika nini kupanga kama vile Allah alipanga???
Unashindwa hata kuangalia chartgpt ili usiandike uozo hapa?

SWALI: Was a structure of Quran arranged before prophet death?

ChatGPT said:

Yes, the structure and arrangement of the Qur'an were completed before the Prophet Muhammad’s (ﷺ) death, though the final written compilation into one Mushaf (book form) was done after his death. Here's how scholars and early sources explain it:

1. Prophet Muhammad (ﷺ) Oversaw the Order of Verses and Surahs

Verses’ Placement
:
When verses were revealed, the Prophet ﷺ would instruct his companions where to place each verse—i.e., in which surah and in what order. This is clear evidence that the order of verses within surahs was directly guided by the Prophet, based on divine instruction through Jibreel (Angel Gabriel).

Surah Order (Partial but Guided):
The order of many surahs was also known during the Prophet’s lifetime. He used to recite them in specific sequences in Salah (prayer), during Ramadan with Jibreel, and in teaching his companions. For example:

He recited Al-Baqarah, Aal Imran, and An-Nisa’ together.

He taught to recite Surah Al-Fatiha at the beginning of every prayer.

Hadith Support:
Narrated by Ibn Abbas
:

“The Prophet used to review the Qur’an once every year (in Ramadan), but the year he died, he reviewed it twice with Jibreel.”
— (Sahih al-Bukhari)

This double revision of the Qur’an with Jibreel in the final year is understood by scholars to mean that the arrangement was finalized before the Prophet passed away.

2. Written Copies and Memorization During His Lifetime


The Qur’an was written down during the Prophet’s life by appointed scribes (e.g., Zayd ibn Thabit, Ubayy ibn Ka‘b).

Many companions memorized the entire Qur’an, including in the final arrangement taught by the Prophet.

However, the Qur’an was not compiled into one bound book (mushaf) during his lifetime—because:

Revelation was ongoing.

The Prophet was alive to guide and teach.

3. Full Compilation After the Prophet’s Death

Under Abu Bakr (r.a):
After the Prophet’s death, during the Caliphate of Abu Bakr and due to fear of loss (especially after the Battle of Yamama), the Qur’an was compiled into a single written volume.

Under Uthman (r.a):
Later, Caliph Uthman standardized the recitation and written copies, sending them to different regions to unify the Muslim Ummah on the same version.

In Summary

Yes, the structure of the Qur’an (verse and surah order) was arranged by the Prophet himself before his death, based on divine revelation.

The actual physical compilation into a complete mushaf was done after his death, but according to the exact arrangement he taught.

This is why all Muslims around the world, across centuries, read the same Qur’an—word for word, verse for verse, surah for surah.

Let me know if you want the names of the
scribes or more details on the compilation process!
 
Iliandikwa ama iliteremshwa wewe jitu jeus unashadadiamila za kiarabu?

PSL god K11 Chaliifrancisco Mpaji Mungu
 
Jitahidi kusoma kobaz mwenzio kaandika nini na Mimi nikauliza nini
 
Umedandia gari Kwa mbele soma Kwanza alichoandika kobaz mwenzio au soma tulipoanzia ndiyo uje ukomenti
 
Lete hizo aya, hakuna aya hiyo labda kwenye Biblia
Huwa sipendi kujibu wanafiki wewe mbona uhukuja kutoa majibu babla kama unaujua uislamu ? Sinta kujibu labda nikuulize maswali je katika uislamu kuna mitume wanao weza kuja baada ya muhammad? Hata kama waliopita ...je mtume wa mwisho kutumwa duniani ni yesu au muhammad? Nipe majibu kisha sasa tuanze mjadala na wewe ....usikimbie mada ....je katika uislamu mnakubali kuwa mitume bado wanaweza kuletwa duniani baada ya muhammad au la ?
 
Ilikuaje othman akaedit kitabu kilichokamilika🤔
Edit kwa kiswahili sanifu ni kuhariri, hii ni hatua ya uandishi ambayo inahusika zaidi na kupangilia, kuondoa na kuweka kitu kingine ili zao la uhariri liwe zuri na lenye mvuto kwa hadhira.

Turudi kwenye hoja yako na majibu yake yaliyosahihi zaidi dhidi yake, ni kuwa qur-an haija editiwa (haririwa) kama ulivyoeleza bali ilikusanywa na kuandikwa kwenye utunzio mmoja ili kuihifadhi isipotee na isihaririwe kwani kabla yake ilikuwa written separated na imehifadhiwa na watu kwenye vifua vyao. Lengo ni kuihifadhi na kuirithisha kwa wengine na ndio maana ukiachana na riwayat (aina za usomaji) za qur-an, maelezo yaliyopo ni kuwa qur-an hii inayosomwa leo ndio hiyo hiyo iliyosomwa enzi za mtume Muhammad (s.a.w) kama ilivyoteremshwa kwake.

Na hakuna hoja zaidi ya hizo!
 
Lete hizo aya, hakuna aya hiyo labda kwenye Biblia
Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:

42 – Yeye ndiye mwisho wa Manabii, kiongozi wa wenye kumcha Allaah, bwana wa Mitume na kipenzi wa Mola wa walimwengu.

MAELEZO

Hizi ni baadhi ya sifa za Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Yeye ndiye mwisho wa Manabii. Maana yake ni kwamba hakuna Nabii mwingine atayekuja baada yake. Yeye ndiye amekhitimisha utume, kwa maana nyingine ni kwamba hatoongezwa wala kupunguzwa. Allaah amekhitimisha ujumbe kwa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Amesema (Ta´ala):

مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّـهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا

“Hakuwa Muhammad baba wa yeyote miongoni mwa wanaume wenu, lakini ni Mtume wa Allaah na ni mwisho wa Manabii. Na Allaah daima kwa kila kitu ni Mjuzi.”[1]

Hakuhitajiki kuja Nabii mwingine baada yake. Kwa sababu Qur-aan na Sunnah vipo. Wanazuoni wanaofuata mwenendo wa kiungu wapo. Wanalingania kwa Allaah na wanawazindua watu. Kwa hivyo dini ya Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) itaendelea kubaki mpaka kusimama kwa Qiyaamah. Haiwezi kubadilishwa wala kufutwa. Allaah ameifanya kuwa salama katika kila zama na katika kila mahali. Kuhusu Shari´ah za Mitume wengine zinakuwa za muda ambapo Allaah anazifuta kwa Shari´ah nyingine inayokuja inayoendana na Ummah huo:

لِكُلٍّ جَعَلْنَا مِنكُمْ شِرْعَةً وَمِنْهَاجًا
“Kwa kila Ummah katika nyinyi Tumeujaalia Shari’ah na mfumo wake.”[2]

لِكُلِّ أَجَلٍ كِتَابٌ

“Kwa kila kipindi kina hukumu.”[3]

Bi maana kila kitabu kina muda wake. Dini ya Uislamu imekamilika na haihitaji Mtume yeyote baada ya Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Wanazuoni ndio warithi wa Mitume.

[1] 33:40

[2] 5:48

[3] 13:38


  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Ta´liyqaat al-Mukhtaswarah ´alaal-´Aqiydah at-Twahaawiyyah, uk. 60-61
  • Imechapishwa: 06/12/2022
 
Maelezo yako yapo sahihi, lakini kichwa cha uzi wako kipo tofauti na yaliyomo.

Jaribu kurekebisha kichwa cha uzi kiendane na maelezo ya ndani.

Kumbuka Quran haina vitabu kama ulivyoandika, kwa hilo nenda kasome maana ya neno mas-haf.
 
Samahani, nikuulize kitu

Kwenye hizo Hadith za Kunyonyesha umeelewa nini?

Maana binafsi sioni kitu chochote cha kupinga, natamani uelezee ulichoeelwa ndio nikuelezee hiyo hadith na utajishangaa mwenyewe.


Conclusion​


  • The hadith refers to verses that were abrogated in recitation, and thus not part of the final Qur’an.
  • The mention of the paper being eaten by a sheep is not a flaw in Qur’anic preservation, because the Qur’an was memorized and preserved in many other copies and hearts.
  • This narration, even if taken as authentic, is understood in the context of abrogation and divine instruction, not accidental loss.

Kumuelewesha mtu ambaye hata herufi za kiarabu hajui, halafu uanze kumuelezea aya zilizofutwa, zilizofuta ni kazi inayohifaji mshahara kabisa
 
Na mwambie kabisa akiona mahali kuhusu kufutwa na kufuta kwa ayah moja dhidi ya nyingine haina maana ya deleting or erasing to disappearance bali kilichofutwa na kufuta ni hukumu (maelezo ya kisheria) ya ayah husika ambayo mara nyingi yalitokea kutokana na strength ya Imani ya masahaba kwa wakati husika, kwa maana hiyo ayah zote zilizofutwa na zilizofuta zipo na zinasomwa tofauti ni matumizi yake kisheria kwa mfano kwenye suala la pombe kuna ayah mbili zipo moja ilianza kushuka na ilikuwa inakataza kufanya ibadan ukiwa umelewa na nyingine ikashuka kukataza pombe mazima kuwa ni haramu, ko moja inaitwa yenye kufutwa na nyingine ni yenye kufuta, but zote zipo kwenye Quran na zinasomwa.
 
Huu sasa uongo wa wazi wazi..mbona unamtukana Allah wako..ina maana ana madhaifu hivi..ina maana wakati anashusha aya hakujua kwamba zina uzito(What a non sense defending)
Kuna sababu nyingi za kufutwa aya kwa aya au Hadith

Moja tu nadhani rahisi kuelewa kwako

1. Gradual Development and Easing of Shari’ah​


Islam came to reform deeply rooted practices in society. Sudden, strict rulings would’ve overwhelmed people.



Example: Alcohol prohibition


  • First, discouraged drinking (Surah Al-Baqarah 2:219)
  • Then, prohibited before prayer (Surah An-Nisa 4:43)
  • Finally, completely prohibited (Surah Al-Ma'idah 5:90)
Hilo ndio lengo, kufanya wepesi wa mabadiliko na hapa pia tunapata somo hata kwenye kumlingania mtu mtenda maovu tunaanza polepole

Hata waathirika wa madawa hawaachishwi ghafla tu bali slow but sure
 
Yeah, maelezo ya msingi maana wanadhani hizo aya zimeondolewa kabisa
 
Sidhani hata kama umeelewa bali umekurupuka tu kujibu

Maelezo yanakuface wewe na umesapoti
 
Ukisema hauna kwani utapungua nini?

Humu humu mnatofautiana kuonesha mnaongea uwongo

Kuna MAKAFIRI wenzako wanasema Quran hii ni ya Othman ila aliedit

Kuna wewe wengine wanasema hii ni Quran ya Misri ya miaka ya 1900
Chief kwani shida iko wapi? Kabla ya mwaka 1924 waislam hamkuwa na official Quran. Mfalme Fuad wa pili wa Misri asingeamua itengenezwe Quran moja kwa ajili ya waislam wote wa Misri leo hii msingekuwa na Hafs version ya Quran.

Wanadamu wa lawaiytu kutoka Al Azhar university wakakaa na kukusanya andiko moja kisha serikali ikairasmisha . Serikali ya Saudi Arabia imekuja kuirasmisha Quran (Hafs 1924) ilipofika mwaka 1985.

Ina maana hata Saudi Arabia hawakuwa na Quran ya kale (Uthman) mpaka wategemee hii ya Misri? Nenda hata Google basi, najua ukiwa kama muislam hizi taarifa lazima ziutatize moyo wako.

 
Mtume ambaye alikuwa mpaka anasahau baadhi ya aya za Quran? Hadiyza Bukhari zimekuja kuwa compiled karibia miaka 400 baada ya Mohamed,na wewe unazichukulia kama ni mamlaka ya kweli kwenye inachosema!!!
 
Mzee kwani umesahau kama Google wanakubali kuhariri taarifa na kufanya updates kutoka kwa yeyote, acha kujitoa ufahamu basi!!!

We mwenyewe unajua unachokiandika kuwa sio sahihi bali ni ibishi na ulokole wakidini tu ndo umekujaa!!
 
Samahani, nikuulize kitu

Kwenye hizo Hadith za Kunyonyesha umeelewa nini?

Maana binafsi sioni kitu chochote cha kupinga, natamani uelezee ulichoeelwa ndio nikuelezee hiyo hadith na utajishangaa mwenyewe.
Aisha mke mtoto , anasema
Kinyonyesha mtu mzima ilikuwa mara 10 Allah akashusha ikawa mara 5 na aya zilikuwa ndani ya koran

Sasa nani alizifuta wakati Aisha anasema mpaka Muhammad anakufa zilikuwepo ?

  • Sahih Muslim 1452a 'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
  • Sahih Muslim 1452b ...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…