Ondoa ujinga wako hapa weweHeche hapa kwenye TITLE katajwa jina. Ila wengine tukitaji jina la SAMIA kwenye comment zinafutwa kulikoni?@mods
Kazi ni kipimo cha utu
Ni nani anayekagua akaunti ya Heche ndani ya CHADEMA? Nani mwenye namba ya siri ya Heche zaidi ya Heche mwenyewe?Lukasi mdogo wangu, chama chake kupitia katibu wake mkuu ameshasema hakuna chembe yoyote ya ubadhilifu na kaweka wazi kuwa Heche hana access na account au hela za chama sasa wewe unayapata wapi haya masononeko yasiyokwisha mzee?
Hudhani kuwa unajionesha uoga wako kwa Heche?
Hata hivyo hebu turejee kwa ushauri tuliopewa na Takukuru chombo pekee cha ku deal na hizi issues za design hii hivi unakumbuka uchaguzi wa 2020 wakati ccm walipokamatwa dhahiri shahiri wanapeana rushwa, Mtendaji mkuu wa Takukuru tena akiwa Jenerali wa jeshi akasema ccm kama chama cha siasa wana taratibu zao na namna yao ya kushughulikia hizo mambo na kesi ikaishia hapo, HEBU TUISHI HUMO MKUU, hebu tuache chadema washughulike na mambo yao
Msivyojua ni kuwa the more you attack Heche the higher you raise him politically .Naona hoja imekuwa ya moto kwelikweli mpaka sasa unashindwa kujibu hoja
Tunataka majibu toshelezi na siyo janja janja na blaa blaa hapaMsivyojua ni kuwa the more you attack Heche the higher you raise him politically .
Maskini ya Mungu hujui hata utakatishaji fedha maana yake ni nini.Hii ni kashfa kubwa sana ya utakatishaji fedha
Majibu kuhusu nini?Tunataka majibu toshelezi na siyo janja janja na blaa blaa hapa
Kumbe wewe akili yako ni ndogo hata huwezi kufuatilia mjadala, kwenye mikutano ya Chadema huwa zinatajwa namba za kuchangia chama na pia vinatolewa vipeperushi vyenye namba hizo sasa kama kuna mtu ametuma kwenye namba ya Heche alimaanisha hiyo ni personal siyo ya chama. Wewe umasikini wako wa mali na akili ndiyo unakusumbua hadi unamuonea wivu Heche. Si umezoea kujitongozesha kwa viongozi wa CCM basi na wewe tafuta namba ya Heche ukampe unachowapa akina Makonda. Wacha wivu wa kike utakufa kabla ya siku zako kapuku wewe.Nani aliwapa namba yake binafsi watu ili wachangie pesa za kuendeshea shughuli za chama kama siyo Heche mwenyewe? Kwanini sasa abadili gia angani ?
Kibaka wa CCM kama wewe ujibiwe na Heche kwa kigezo gani? Wewe kama una njaa mtafute Heche kama akirudhika na huduma yako unaweza kuambulia.Tunataka majibu toshelezi na siyo janja janja na blaa blaa hapa
Niambie ni Mkutano upi ulitaja namba binafsi za akaunti za heche kutumika kupokea michango ya chama?Kumbe wewe akili yako ni ndogo hata huwezi kufuatilia mjadala, kwenye mikutano ya Chadema huwa zinatajwa namba za kuchangia chama na pia vinatolewa vipeperushi vyenye namba hizo sasa kama kuna mtu ametuma kwenye namba ya Heche alimaanisha hiyo ni personal siyo ya chama. Wewe umasikini wako wa mali na akili ndiyo unakusumbua hadi unamuonea wivu Heche. Si umezoea kujitongozesha kwa viongozi wa CCM basi na wewe tafuta namba ya Heche ukampe unachowapa akina Makonda. Wacha wivu wa kike utakufa kabla ya siku zako kapuku wewe.
MNATAPA-TAPA KAMA KUKU ALIE KATWA KICHWA!Ndugu zangu Watanzania,
Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani.
Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia akaunti yake binafsi basi watume kwenye akaunti za chama kwaajili ya Mkutano wa chama utakaofanyika siku zijazo .
Swali ni je Mpaka sasa alikuwa amekusanya na kupokea kiasi gani kupitia akaunti yake Binafsi? Pesa hizo zipo wapi? Kwanini hakusema hivyo tokea awali kwamba watu wasipitishie fedha kwenye akaunti yake binafsi na badala yake watume kwenye Chama? Kwanini iwe sasa baada ya Kupigwa kwa kelele nyingi? Je bila kelele angeendelea kupokea pesa kupitia akaunti zake? Angefanya hivyo mpaka lini?
Alimtaarifu nani na kupitia mkutano na kikao kipi cha chama kama kuna pesa zinapitia kwenye akaunti zake Binafsi za benki pamoja na simu kwa ajili ya shughuli za Chama? Uadilifu wa kiuongozi upo wapi hapo? Je ndio maadili yanavyomtaka kufanya hivyo kama kiongozi ?
Vipi kama viongozi wote wa chama wangeamua kutumia akaunti zao binafsi za Benki na simu kupokelea michango ya wadau? Je chama kingepata pesa? Chama kingejua vipi kiasi cha pesa kilichotolewa na watu? Nani angekuwa mkaguzi wa akaunti za watu kujua pesa zilizo patikana kupitia akaunti hizo? Nani angewasilisha pesa zote kama zilivyochangwa ?
Vipi kama mwingine angesema watu wamemchangia yeye kama yeye kwa matumizi yake binafsi na kwa kupendwa na watu na siyo kwa ajili ya kutumika kwa shughuli za Chama?
Watu walipata wapi namba za akaunti za Benki za Heche kwa ajili ya kumuwekea pesa ikiwa kama yeye hakutoa ? Kama mmiliki ni yeye nani mwingine wa kutoa zaidi yake yeye? Je hakujua utaratibu kuwa pesa zinapaswa kupelekwa kwa chama moja kwa moja kupitia akaunti rasmi za Chama?
Heche aje tena kujibu tuhuma na siyo kutafuta huruma za watu kukwepa kujibu tuhuma zake . Suala la uwazi ni la muhimu sana katika taasisi inayojitambua na siyo kuleta janja janja kama anavyotaka kufanya Heche pengine baada ya kushiba na kujipatia pesa za kutosha na sasa ndio anaamua masalia yaelekezwe kwenye chama . Yaani ni kama vile Kala na kavimbiwa na sasa ndio anataka na kuacha makombo na kukiita chakula .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma andiko ueleweMajibu kuhusu nini?
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu. Jiulize kwanini heche kajitokeza hadharani baada ya Kupigwa kwa kelele nyingi na sasa kujifanya anajisafisha kwa kutaka sasa eti watu wachangie kupitia akaunti za chama .MNATAPA-TAPA KAMA KUKU ALIE KATWA KICHWA!
Pambaneni na ya Commonwealth
Ukurasa wake heche ameufunga rasmi yeye mwenyewe leo.
Kama mlichukua fedha za serikali mkamuwekea makusudi kwenye akaunti yake..mkaandika dhumuni ya hiyo deposit kuwa ni mchango...imekula kwenu!
Case Closed!
Nimesoma nimeona hakuna cha kujibu. Ni lini Heche alisema hela za CHADEMA zitumwe kwenye akaunti yake?Soma andiko uelewe
Sasa kama unavyo mu attack ndivyo anainuliwa kisiasa, kumbe ni faida sasa acha wamuattack ili ainuke kisiasaMsivyojua ni kuwa the more you attack Heche the higher you raise him politically .
Naomba unisaidie account number ya heche nimmiminie kamuamalaTunataka majibu toshelezi na siyo janja janja na blaa blaa hapa
Ni lini chadema imepata hati chafu baada ya kukaguliwa?Naona hoja imekuwa ya moto kwelikweli mpaka sasa unashindwa kujibu hoja