4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Sawa ,mtafanya nini mnauliza tena kwa kibuli okHivi mtafanya nini lakini? Zaidi ya silent protest?
Sijaona mtu yeyote wa kutoka hadharani au sirini na kufanya matendo ya kuifanya serikali isikie maumivu yoyote. Tuache kutisha tisha, yes hatupendezwi na yanayoendelea but hakuna kitu tunaweza fanya kwa watanzania waliopo sasahivi waliogawanyika.
Watamfanya wanachotaka na sisi tutamlilia Mungu tu aingilie maana wenyewe hatuwezi.
Kinachonisikitisha ni kuwa serikali nayo inajua fika hakuna kitu tunaweza fanya ila bado inachukua matendo mazito sana kujihami ambayo ni unnecessary. Hakuna wa kukinukisha tuacheni makelele tutulie watu wajipigie
Chawa mnafurahia TAL kuteseka,alafu watu wakifurahia watu wenu kufa, mnakuja kutia huruma humu..Kwa lipi? Mahakama ikimuachia, tunakamata tena hapo getini
Mkuu mimi nachukia yanayotendeka, ila tuambieni ukweli kabisa, tulivyo waoga na watu wa makandokando, tutafanya nini?Sawa ,mtafanya nini mnauliza tena kwa kibuli ok
Tz hakuna watu waoga mkuu ,sema ni swala la mda tu ,msije kuwa kila siku mnajipa hope hii, ni mbaya sana, kumchukulia mtu ni kibonde , iwe ndugu ,rafiki jirani n.kMkuu mimi nachukia yanayotendeka, ila tuambieni ukweli kabisa, tulivyo waoga na watu wa makandokando, tutafanya nini?
Mkuu TZ kila mtu ni muoga mpaka watawala na polisi ndio maana unaona vimbwanga vingi. Nguvu inatumika nyingi sehemu isiyo na hatari kwa sababu ya uwogaTz hakuna watu waoga mkuu ,sema ni swala la mda tu ,msije kuwa kila siku mnajipa hope hii, ni mbaya sana, kumchukulia mtu ni kibonde , iwe ndugu ,rafiki jirani n.k
Hakuna adui zake wala nini. Ni mwenyewe kuogopa ushindani.Kwa wakati huu mama angemtoa huyu dingilai, coz adui zake wanaweza kumzunguka wakamuua ili kumchafua mama kimataifa na kitaifa ,
Mwee nani amshauli jambo hili rais
Amina,Mungu tulindie huyu mtu TALMimi ni mwenye dhambi.
Lakini Mungu nakuomba umlinde LISSU kwa uwezo wako.
Naamini kwa hakika.
All in all Mungu yupo na TALMkuu TZ kila mtu ni muoga mpaka watawala na polisi ndio maana unaona vimbwanga vingi. Nguvu inatumika nyingi sehemu isiyo na hatari kwa sababu ya uwoga
Halafu wakifa wanataka tusikitikeAmeandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani TwitterView attachment 3435852
Sasa ndio mtake kumuua huo ndio ushindani wa siasa na democracia inavyotaka mpingeni kwa hoja na sio njia za panya.Lissu alitaka siasa ngumu, alilia wembe, alikuta watu wanaongea na kuridhiana akaona wapumbavu
huyo mropokaji ni mahabusu kama wengine tu, hakuna wa kubabaika nae tofauti na mahabusu wengine.
uropokaji umshikishe adabu 🐒
Tumuombee sana Tundu Lisu. Kuna Nabii ameoneshwa kuna mjumbe kutoka Dodoma amepewa kichupa cha sumu kuangamiza viongozi kadhaa. Jana kasema huyo mjumbe kapanda ndege anaenda Dar kwenye ngome kwa ajili ya kumuua kiongozi aliyeko huko. Sasa ukitafsiri ngome ni magereza na Lisu ndiye kiongozi aliyeko huko. Tuombe seriously na kupiga kelele!Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani TwitterView attachment 3435852
Hii ni mbwa tu. Hata ikifa haina impact yoyote kwa Taifa.Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani TwitterView attachment 3435852
Du !Kwa lipi? Mahakama ikimuachia, tunakamata tena hapo getini