Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

CCM mtandao hawashindwi kitu, kama walimpaka upupu kigogo mmoja mkubwa tu akababuka usoni na mwilini akawa kama kinyago je itakuwa kwa Lissu.

Muhuni ni muhuni tu huwa habadiliki.
 
Lissu alitaka siasa ngumu, alilia wembe, alikuta watu wanaongea na kuridhiana akaona wapumbavu
Mmmmhhh kwa akili yako nzuri sana ya kuwango cha Phd TAL anachopambana nacho ni siasa ngumu au ni dola kutaka asifanye siasa ya upinzani wa kweli.
 
Jambo la busara analoweza kufanya Rais Samia ni kumuachia huru Tundu Lissu
 

Mazito yaliyowafika asimulia mzee Thani PART 2 ya historia ya dola dhalimu


View: https://m.youtube.com/watch?v=8y6f4LYv7KQ
 
Mkuu samahani kuuliza kwa hivyo jambo hili tayari limeshatekelezwa ni suala la muda tu ama?
 
Wakifa wengine chadema mnashangilia, akifa wenzenu mnakuja kulialia hapa πŸ˜‚
 
Huyo mama namuonea bure ukuskia anasema ana boss wake? Lissu anaweza kutoka mzima shughuli ikaishia akiwa nje kama JBL hii ina uhuni mwingi sana
BAHATI NZR HY BABU WN WA MZOGA NY SS HV NI MZOGA UNAOTEMBEA. MUNGU KESHAMALIZA KZ KITAMBO UNASUBIRIWA MUDA WK TU ATEMBEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…