Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Huoni kwamba watawanusuru watu wataokuja AFCON ili wabaki salama kwenye mataifa yao .
Wasije wakalipuliwa bure na magaidi wa Tanzania kaka
nasema hilo sio jukumu lake nasema tena hilo sio jukumu lake.CCM na CHADEMA kaeni muyajenge kabla ya KATIBA MPYA vinginevo mtabaki historia kwamba kulikuwa na chama cha CCM na CHADEMA..
 
Wagalatia mlikuwa mnafurahia na kushangilia miaka ile Sheikh Ponda akiitwa gaidi




 
Wana wanyima fursa zipi Sasa wakati serikali imesema Kuna ugaidi shida Yako unataka wananchi na wageni wafe !? Halafu Tanzania itakuwa na taswira ipi kwenye siasa za medani za kimataifa

Kinga ni Bora kuliko tiba , so kama serikali ulisema Kuna ugaidi nchini basi hiyo event haupaswi kufanyika Kwa lengo chanya kabisa la kuepusha watu kutokuuwawa au wewe unataka watu wafe utapata faida Gani !? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Mkiambiwa ccm ni brainless mnakataa !!
 
Sawa, kwa hiyo Heche hajui kabisa kuwa ngome y CHADEMA iliyoko kwenye mioyo ya Watanganyika ni kwa kiasi gari itaathirika?
Hizo fursa hasa zitakazoletwa na Afcon ni Trilioni ngapi? Mnapenda sana kukaririshwa ujinga nanyi mnaitikia tu, kwani hao watu sasa hivi wanalala na njaa kabla ya hiyo Afcon? Hakika ni laana kuwa mwanaccm.
 
MKIENDELEA HIVO, TUTAVIFUTA KWELI MAANA KATIBA IJAYO ITAWAPA MAMLA WANANCHI..TUKIONA CHAMA A na CHAMA B VINAGOMBANIA MASLAHI YAO HUKU VIKILETA ATHARI KUBWA KWA WANANCHI TUNAUWEZO WA KUVISIMAMISHA KWA MUDA AU KUVIFUTA KABISA.
Inaelekea Hauna Akili timamu wewe unaweza Afcon tu hujui kwamba Serikali kuu inapotamka kwamba Kuna ugaidi Kuna Nchi kibao zitaacha kuleta watu wao Nchini cause Tayari serikali imesha tangaza Hali ya uvunjifu wa usalama

Huoni kuwa Kuna wawekezaji kibao wataondoka Kwa kuogopa tishio la usalama wa mali zao na family zao na hata wale ambao walikuwa wanataka kuja kuwekeza watashindwa kuja cause hakuna ambaye anayetaka kuwekeza billions of money kwenye Nchi ambayo Haina usalama umeshawahi kufikiria hayo hata kidogo !?

Je endapo hao investors wakiondoka na wengine wakishindwa kuja kutokana na taarifa waliyoipata ya uwepo wa magaidi nchini hauoni kwamba Kuna ajira kibao zitatoweka na vijana wengi watarudi mitaani wakiwa hawana ajira !?
 
😁😁😁
 
Yaani haya majitu ni majinga kumbe?

Kumbe siku hz fifa na caf ni mabaraza ndani ya chadema? Na wanaweza fanya maamzi kupitia barua zao?

Mnawatisha sana
 
Kwa hiyo bodaboda, Mama Lishe, Balaji, nk wanaotarajiwa kujipatia kipato kupitia AFCON wote ni CCM!?
Wewe mbona unajali kipato kuliko usalama wa raia kwanza !? Kwahiyo unataka Afcon ifanyike halafu likitokea la ugaidi watu wakafa hicho kipato kitakuwa na manufaa yapi !?

Mbona umekosa uzalendo na Nchi Yako !? Serikali imeshasema Kuna ugaidi so wewe unayepinga ni nani !?

😁😁😁😁

Heche ashikirie hapo hapo hii kete aliyoisukuma inaitwa king kwenye draft 😁
 
Heche yeye hataki kuona maafa viwanjani wakati wa AFCON maana magaidi hawachelewi kujitoa mhanga kwa mabomu.
Wewe uko tayari kwenda uwanjani huku ukijua kabisa muda wowote magaidi wanaweza kufanya tukio?
kwahiyo mnathamini watu wa nje kuliko wananchi wenu waliowaweka hapo? Kama ni hivo bora muwaokoe raia wa nje halafu wakwenu wateketee? Je wandani mnawanusuru vipi? CHADEMA mmechemka. CCM na CHADEMA kaeni mezani muyajenge.
 
kwahiyo mnathamini watu wa nje kuliko wananchi wenu waliowaweka hapo? Kama ni hivo bora muwaokoe raia wa nje halafu wakwenu wateketee? Je wandani mnawanusuru vipi? CHADEMA mmechemka. CCM na CHADEMA kaeni mezani muyajenge.
Hadi sasa serikali yetu imara chini ya mtukufu SAMIA imekamata magaidi zaidi ya 50 na wapo magerezani hadi sasa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…