Helikopta iliyobeba viongozi wa Iran na Houthi imepata ajali

Haya makundi pamoja na Iran yao wapo very weak wangeacha kwanza kumchokoza Israel mpaka watakavyokuwa na capacity. Vinginevo ni kujitafutia matatizo
 
Nabii Netanyahu kavurugwa
 
Ukiwa kiongozi wa Iran au Hezbollah katika ku opt usafiri upi wa kutumia ili uwe salama utaona bora baiskeli kuliko Chopper.

Wamejaribu kuepuka simu za kisasa watumie pager nako hali sio shwari.

Hawa jamaa wangejisalimisha tu hakuna faida yeyote wanayoipata ya kuishi huku unaangalia nyuma ya mabega na hata dalili za kushinda hiyo vita huzioni.
 
Iran lazima itapigwa ni wachovu na watapigwa vizuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…