CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Mkuu ni kweli haujajua kateu wanawake wenzake kila kona ?
Kila siku lazima mje kumtolea ufafanuzi yeye tu ? eti tatzo dogo la kimatamshi wakati urais ni taasisi kubwa inamaana wote hao hawakuona hilo? serikali lazima iwe seriously na vitu vidogo mpaka vitu vikubwa ili kuondoa sitofahamu kwa watu wake===
Akiba ya fedha za kigeni Tanzania imefikia kiasi cha US$ 6,253M au US$ 6.253BL sawa na TZS 14.5Trilioni fedha inayoweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi saba mfululizo,
Kwa msiofahamu,Rekodi hii haijawahi kufikiwa tangu Tanzania ipate Uhuru wake trh 09|12|1961 na kuanzishwa kwa TRA mwaka 1996,
Watanzania puuzeni uongo unaosambazwa na wanaopenda "Petty Politics " kuhuru hii akiba yetu kilichotokea ni tatizo dogo la kimatamshi tu kwa Mhe Rais wetu Wale watu wa mahesabu wanaelewa hili vizuri sana,
#HAPPY NEW YEAR 2022
View attachment 2065759
Kiongozi hivi angekuwa anaandika kwa kifaransa naamini ilipaswa iwe 6.253,00 na si 6.253Mwandishi atakuwa Francophone. Wafaransa ndio wanatumia koma kwenye nukta. Yaani kwa Kifaransa bilioni 6,253 = bilioni 6.253. Lakini kusema ukweli Ikulu yetu ni jumba bovu. Nyaraka za Ikulu km vile press release za uteuzi zimejaa typos!!
Hii wanamanisha nini?Mnapika data mpaka mnaunguza[emoji28]
Andika vizuri basi ili tukuaminiHizo sio hela za umma tu ni pamoja na za sector bijafsi.
Stock ya dola ina maana wakichukua dola zote za serikali, na zile zinazomilikiwa na watu binafsi kwenye bank na bureau ndio unapata akiba ya fedha za kigeni. Kusema serikali ikazilipie deni sio sahihi maana sio hela zake
Hisia zako zinakutuma hivyo siyo?HATUNA KIASI HICHO HATA
Kiongozi hivi angekuwa anaandika kwa kifaransa naamini ilipaswa iwe 6.253,00 na si 6.253
Hisia zako zinakutuma hivyo siyo?HATUNA KIASI HICHO HATA
Kumbe ni trilioni 14,000,
===Kwa msiofahamu,Rekodi hii haijawahi kufikiwa tangu Tanzania ipate Uhuru wake trh 09|12|1961 na kuanzishwa kwa TRA mwaka 1996,
Bidhaa na huduma gani hizo, na nje ipi (Kenya, Newsland, Chile, Alsaka ama Congo DR)?sawa na TZS 14.5Trilioni fedha inayoweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi saba mfululizo,