Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

===
Akiba ya fedha za kigeni Tanzania imefikia kiasi cha US$ 6,253M au US$ 6.253BL sawa na TZS 14.5Trilioni fedha inayoweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi saba mfululizo,

Kwa msiofahamu,Rekodi hii haijawahi kufikiwa tangu Tanzania ipate Uhuru wake trh 09|12|1961 na kuanzishwa kwa TRA mwaka 1996,

Watanzania puuzeni uongo unaosambazwa na wanaopenda "Petty Politics " kuhuru hii akiba yetu kilichotokea ni tatizo dogo la kimatamshi tu kwa Mhe Rais wetu Wale watu wa mahesabu wanaelewa hili vizuri sana,

#HAPPY NEW YEAR 2022
 
Tatizo dogo la kimatamshi hahahahahahahaha ingekuwa dogo ivo mngehangaika nalo namna hii
 
Kil
===
Akiba ya fedha za kigeni Tanzania imefikia kiasi cha US$ 6,253M au US$ 6.253BL sawa na TZS 14.5Trilioni fedha inayoweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi saba mfululizo,

Kwa msiofahamu,Rekodi hii haijawahi kufikiwa tangu Tanzania ipate Uhuru wake trh 09|12|1961 na kuanzishwa kwa TRA mwaka 1996,

Watanzania puuzeni uongo unaosambazwa na wanaopenda "Petty Politics " kuhuru hii akiba yetu kilichotokea ni tatizo dogo la kimatamshi tu kwa Mhe Rais wetu Wale watu wa mahesabu wanaelewa hili vizuri sana,

#HAPPY NEW YEAR 2022
View attachment 2065759
Kila siku lazima mje kumtolea ufafanuzi yeye tu ? eti tatzo dogo la kimatamshi wakati urais ni taasisi kubwa inamaana wote hao hawakuona hilo? serikali lazima iwe seriously na vitu vidogo mpaka vitu vikubwa ili kuondoa sitofahamu kwa watu wake
 
Mwandishi atakuwa Francophone. Wafaransa ndio wanatumia koma kwenye nukta. Yaani kwa Kifaransa bilioni 6,253 = bilioni 6.253. Lakini kusema ukweli Ikulu yetu ni jumba bovu. Nyaraka za Ikulu km vile press release za uteuzi zimejaa typos!!
Kiongozi hivi angekuwa anaandika kwa kifaransa naamini ilipaswa iwe 6.253,00 na si 6.253
 
Hizo sio hela za umma tu ni pamoja na za sector bijafsi.

Stock ya dola ina maana wakichukua dola zote za serikali, na zile zinazomilikiwa na watu binafsi kwenye bank na bureau ndio unapata akiba ya fedha za kigeni. Kusema serikali ikazilipie deni sio sahihi maana sio hela zake
Andika vizuri basi ili tukuamini
 
Ndiyo,kalidanganya Taifa na Ulimwengu.

US$ 6253b nakataa hiyo akiba hatuna Tanzania hata mkiniua bado sitakubali.

Najiuliza km ni makosa ya namba kwa nini hadi wakati huu Ikulu haijatoa ufafanuzi?!
 
Jana niliposoma kwa "juu juu" nikadhani ni trilioni 14 tu.
Nikaichukulia poa kuwa ni hela ndogo kwa taifa kama letu.

Kumbe ni trilioni 14,000, ambapo inasoma kwenye Quadrilion huko inakaribia Sexrlion kabisa huko, ikabidi nidate.
 
Aandike USD6.253,00 kwenye hotuba? Kama kwenye cheki, sawa. Kwenye hotuba hizo 00 za nini? Katika akili yako USD6.253 na USD6.253,00 zinatofautiana kwa kiasi gani cha pesa?
Kiongozi hivi angekuwa anaandika kwa kifaransa naamini ilipaswa iwe 6.253,00 na si 6.253
 
Tusiojua hesabu tupo wengi, yale Masifuri sifuri baada ya million moja huwa yanachanganya sana....😁😁
 
Kumbe ni trilioni 14,000,
1641108799139.png

Kwa msiofahamu,Rekodi hii haijawahi kufikiwa tangu Tanzania ipate Uhuru wake trh 09|12|1961 na kuanzishwa kwa TRA mwaka 1996,
===
Uchumi wa Tanzania unauzidi uchumi wa nchi ya China!
 
sawa na TZS 14.5Trilioni fedha inayoweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi saba mfululizo,
Bidhaa na huduma gani hizo, na nje ipi (Kenya, Newsland, Chile, Alsaka ama Congo DR)?

Weka maelezo waZi ili tujiridhishe kama kweli zinatosha.

Tanzania lazima ibaki salama kwa juhudi zetu sote bila kubaguana.
 
Back
Top Bottom