Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Katika marais waliokuwa na makosa wakati wa hotuba Jpm alikuwa namba 1
 
Ujinga × ujinga (squared) = upumbavu.
 
Ukibadili USD 6253 billion kuwa Tanzania shillingi unapata TZS trillion 14,000

Inamake sense kuwa Tanzania ina fedha za kigeni trillion 14,000 za kitanzania?
View attachment 2065238
Hapo uongo.! Ina maana hata china tunakua tumewapiga bao kwa hizo pesa.!

Shida yetu inaanzia vyuon ile ya kukopi na kupest page nzima kutoka google.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…