Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
... na aliyesoma hayo makosa pasipo kusahihisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Secretarial..Mwandishi atakuwa Francophone. Wafaransa ndio wanatumia koma kwenye nukta. Yaani kwa Kifaransa bilioni 6,253 = bilioni 6.253. Lakini kusema ukweli Ikulu yetu ni jumba bovu. Nyaraka za Ikulu km vile press release za uteuzi zimejaa typos!!
Acha haya maneno yako yanachukiza sana! Pia hayana chembe ya staha kwa Rais. Huu siyo Uhuru wa maoni bali ni nidhamu mbovu! Pls..Samia amewekwa hapo na Kikwete, juzi kampa kazi ya Chancellor for 6 years? Why 6? Wote wezi hao wapo kujaza matumbo yao. Sheria inadilishwe ili tuweze kuwashitski. They are thieves and they care less.
Mkuu replica , hii nchi ilishakuwa dona kantri,Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.
Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba na kwenye mikono iliyopita wameshindwa kung'amua tofauti kubwa hivi ya fedha.
Hizi hela ni zaidi ya trilioni 14,000 za kitanzania, yaani lile deni la trilioni 70 wanalogombania na Ndugai ingekuwa hela ya peremende na sio mboga.
View attachment 2064430
Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.

Sawa, kwanza tukubaliane kuwa aliyetamka alikosea na kama masahihisho ni dola milioni 6250, ina maanisha kuwaDola mil.6250 ndio sahihi
na kwanin ajue yeye pekee yake?Kama teuzi zina editiwa seuse hotuba! Hata hivyo, kwa sasa Mama ndiye anayejua kila taarifa kuhusu nchi. Tumuamini.
[emoji3][emoji3][emoji3]Siyo waandishi wa hotuba kwani yeye kasuku?
Hiyo hata mtoto wa form four akiisoma anasituka anarudia tena, kusahihisha.
Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.
Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba na kwenye mikono iliyopita wameshindwa kung'amua tofauti kubwa hivi ya fedha.
Hizi hela ni zaidi ya trilioni 14,000 za kitanzania, yaani lile deni la trilioni 70 wanalogombania na Ndugai ingekuwa hela ya peremende na sio mboga.
View attachment 2064430
Hongera.!Hao waliofafanua Ina maana walielewa, basi Na Mimi nilielewa
Ni 14,375,000,000,000.Sawa, kwanza tukubaliane kuwa aliyetamka alikosea na kama masahihisho ni dola milioni 6250, ina maanisha kuwa
2300 × 6,250,000,000 = 143,750,000,000,000
Hii ni sawa na bajeti ya TZ kwa miaka mingapi hata state iseme inatosha kwa manunuzi ya miezi 6 tu?
🙄🙄Sawa, kwanza tukubaliane kuwa aliyetamka alikosea na kama masahihisho ni dola milioni 6250, ina maanisha kuwa
2300 × 6,250,000,000 = 143,750,000,000,000
Hii ni sawa na bajeti ya TZ kwa miaka mingapi hata state iseme inatosha kwa manunuzi ya miezi 6 tu?
Mwenye CV ya maza tafadhaliLeo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.
Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba na kwenye mikono iliyopita wameshindwa kung'amua tofauti kubwa hivi ya fedha.
Hizi hela ni zaidi ya trilioni 14,000 za kitanzania, yaani lile deni la trilioni 70 wanalogombania na Ndugai ingekuwa hela ya peremende na sio mboga.
View attachment 2064430
Soma ulicho kiandika kwanza.....umekurupuka.Kila siku tunaelezana ya kwamba wanamake walipewa heshima kubwa kua walezi wa familia ndio majukumu yao kwa asili. Wazae na kulea ukweli ni kwamba wanawake are so incompitent katika vipimo, ujazo na mahesabu na sio jambo baya hawakuumbwa kwa majukumu hayo waliumbwa kuzaa na kulea.
Jokes aside, fanya utafiti wako wafuate wanawake 10 randomly kila mmoja mwambie akuonyeshe urefu wa inch moja wengi wakwambia hawajui, anaejifanya mjuaji atakwambia "nikuteka jengo lile pale mpaka lile kule" haa haa ha waulize meter moja ina makadirio ya urefu gani atakwambia urefu wa wa ukucha akimaanisha mm. Botomline wanawake hawakuumbwa kwa majukumu ya mahesabu, vipimo, ujazo ni wazazi na walezi, haya Saa100 anatuambia hazina ya USD billion 6 maskini hajui hiyo hata ni kiasi gani, ukweli ni kwamba hata marekani hawana hazina kubma kiasi hicho takribani 17,000,000,000,000
Hotuba hiyo JK alikua hajaipitia .Kila siku tunaelezana ya kwamba wanamake walipewa heshima kubwa kua walezi wa familia ndio majukumu yao kwa asili. Wazae na kulea ukweli ni kwamba wanawake are so incompitent katika vipimo, ujazo na mahesabu na sio jambo baya hawakuumbwa kwa majukumu hayo waliumbwa kuzaa na kulea.