Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Mwandishi atakuwa Francophone. Wafaransa ndio wanatumia koma kwenye nukta. Yaani kwa Kifaransa bilioni 6,253 = bilioni 6.253. Lakini kusema ukweli Ikulu yetu ni jumba bovu. Nyaraka za Ikulu km vile press release za uteuzi zimejaa typos!!
Secretarial..
 
Samia amewekwa hapo na Kikwete, juzi kampa kazi ya Chancellor for 6 years? Why 6? Wote wezi hao wapo kujaza matumbo yao. Sheria inadilishwe ili tuweze kuwashitski. They are thieves and they care less.
Acha haya maneno yako yanachukiza sana! Pia hayana chembe ya staha kwa Rais. Huu siyo Uhuru wa maoni bali ni nidhamu mbovu! Pls..
 
Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.

Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba na kwenye mikono iliyopita wameshindwa kung'amua tofauti kubwa hivi ya fedha.

Hizi hela ni zaidi ya trilioni 14,000 za kitanzania, yaani lile deni la trilioni 70 wanalogombania na Ndugai ingekuwa hela ya peremende na sio mboga.

View attachment 2064430
Mkuu replica , hii nchi ilishakuwa dona kantri,
 
Huo ni umbumbu wake mwenyewe! Yeye ni mtupu kiasi hicho kwamba hawezi hata kujua what’s reasonable and what isn’t?

Inabidi viongozi wetu wajenge utamaduni wa kuacha kuvaa viatu ambavyo sio size yao!
 
Dola mil.6250 ndio sahihi
Sawa, kwanza tukubaliane kuwa aliyetamka alikosea na kama masahihisho ni dola milioni 6250, ina maanisha kuwa

2300 × 6,250,000,000 = 143,750,000,000,000

Hii ni sawa na bajeti ya TZ kwa miaka mingapi hata state iseme inatosha kwa manunuzi ya miezi 6 tu?
 
Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.

Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba na kwenye mikono iliyopita wameshindwa kung'amua tofauti kubwa hivi ya fedha.

Hizi hela ni zaidi ya trilioni 14,000 za kitanzania, yaani lile deni la trilioni 70 wanalogombania na Ndugai ingekuwa hela ya peremende na sio mboga.

View attachment 2064430
 
Hawa wanatuchanganya kuachana nao hapo wapinzani bado kazi ipo
 
Sawa, kwanza tukubaliane kuwa aliyetamka alikosea na kama masahihisho ni dola milioni 6250, ina maanisha kuwa

2300 × 6,250,000,000 = 143,750,000,000,000

Hii ni sawa na bajeti ya TZ kwa miaka mingapi hata state iseme inatosha kwa manunuzi ya miezi 6 tu?
Ni 14,375,000,000,000.
 
🙄🙄
 
usikute huyu mama anategeshewa mabomu,kwa sababu na yeye ni walewale anajikuta analipua tu
 
Nawasalimu kwa jina la USD 6253 Billion. (17,000,000,000,000,000)

Kila siku tunaelezana ya kwamba wanamake walipewa heshima kubwa kua walezi wa familia ndio majukumu yao kwa asili. Wazae na kulea ukweli ni kwamba wanawake are so incompitent katika vipimo, ujazo na mahesabu na sio jambo baya hawakuumbwa kwa majukumu hayo waliumbwa kuzaa na kulea.

Jokes aside, fanya utafiti wako wafuate wanawake 10 randomly kila mmoja mwambie akuonyeshe urefu wa inch moja wengi wakwambia hawajui, anaejifanya mjuaji atakwambia "nikuteka jengo lile pale mpaka lile kule" haa haa ha waulize meter moja ina makadirio ya urefu gani atakwambia urefu wa wa ukucha akimaanisha mm. Botomline wanawake hawakuumbwa kwa majukumu ya mahesabu, vipimo, ujazo ni wazazi na walezi, haya Saa100 anatuambia hazina ya USD billion 6253 maskini hajui hiyo hata ni kiasi gani, ukweli ni kwamba hata marekani hawana hazina kubma kiasi hicho takribani 17,000,000,000,000,000 yani figure hata haitamkiki
 
Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.

Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba na kwenye mikono iliyopita wameshindwa kung'amua tofauti kubwa hivi ya fedha.

Hizi hela ni zaidi ya trilioni 14,000 za kitanzania, yaani lile deni la trilioni 70 wanalogombania na Ndugai ingekuwa hela ya peremende na sio mboga.

View attachment 2064430
Mwenye CV ya maza tafadhali
 
Kila siku tunaelezana ya kwamba wanamake walipewa heshima kubwa kua walezi wa familia ndio majukumu yao kwa asili. Wazae na kulea ukweli ni kwamba wanawake are so incompitent katika vipimo, ujazo na mahesabu na sio jambo baya hawakuumbwa kwa majukumu hayo waliumbwa kuzaa na kulea.

Jokes aside, fanya utafiti wako wafuate wanawake 10 randomly kila mmoja mwambie akuonyeshe urefu wa inch moja wengi wakwambia hawajui, anaejifanya mjuaji atakwambia "nikuteka jengo lile pale mpaka lile kule" haa haa ha waulize meter moja ina makadirio ya urefu gani atakwambia urefu wa wa ukucha akimaanisha mm. Botomline wanawake hawakuumbwa kwa majukumu ya mahesabu, vipimo, ujazo ni wazazi na walezi, haya Saa100 anatuambia hazina ya USD billion 6 maskini hajui hiyo hata ni kiasi gani, ukweli ni kwamba hata marekani hawana hazina kubma kiasi hicho takribani 17,000,000,000,000
Soma ulicho kiandika kwanza.....umekurupuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hotuba hiyo JK alikua hajaipitia .
 
Back
Top Bottom