Hii chuki dhidi ya ‘Single Mothers’ Inaweza Kubadilisha Mfumo wa Mahusiano ya hawa Gen Z wakagoma kabisa kushika mimba mpaka ndoa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa?

Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua, ataamua kutumia zaidi ma p2 mixer kutoa mimba sana na hata kuepuka kabisa kupata mtoto mpaka awe ameolewa rasmi. Tatizo linakuja hapo hapo ambapo vijana wengi nao wanaahirisha ndoa kwa sababu ya hali ngumu ya uchumi.

Leo hii unakuta kijana ana miaka 30 bado yupo kwa wazazi, anajitafuta, hana uhakika wa kuoa. Miaka inaenda mpaka 35 au 37 ndipo anaanza kushtuka anataka mke ambaye hana mtoto kabisa na hapo ni jobless anaunga unga. anasahau kwamba wakati huo huo mabinti nao wanaogopa kuzaa mapema kwa hofu ya kuachwa na kuitwa single mother.

Swali langu lingine ni hili je, wanaowapinga mahusiano na single mothers wanamaanisha kupinga nao ndoa tu, au hata kupata mtoto nao pia?yaani kwa Mfano, mwanamke ana mtoto mmoja, ana kazi yake, anajitegemea. nyie wapinga single mother mnaonaje hapo naweza kuamua kupata mtoto pamoja bila hata kupanga kuishi kama wanandoa, bali kushirikiana tu kulea mtoto kwa makubaliano. Je, hata mfumo huo nao unaonekana si sahihi?Nauliza hivi kwa sababu inaonekana kizazi hiki kinaanza kubadili kabisa maana ya ndoa, uzazi, na familia kutokana na presha za uchumi na mahusiano.Halafu hii point kwamba eti kutakuwa na mawasiliano kati ya mzazi mwenza wa single mother imekaaje hii kwani nyie mnaishi vijijini mpaka hamuami hio mikoa yenu mara kwa mara ...me nachokiona siku hizi watu wanasafiri sana na kuhama mikoa je kwa mfano baba mtoto yupo mwanza wewe na single mother mnaishi mtwara bado ni sahihi kuwa na hofu ya kupigiwa kwamba mtu awe anatoka mwanza anakuja mtwara kuja tu kupasha kiporo duh..
 
Mi naona hawa wanaojiita kioo cha jamii ndo wanaoharibu maadili kwenye jamii, celebrities wana mchango mkubwa kwenye jamii,

Na wanawake tulivyo na akili za kushikiwa na kupenda maisha ya hadithi basi unachokisema hakiwezi kutokea watazaa na kutelekezwa zaidi ya dada zao
 
Tatizo liko wapi?
Ni jambo zuri wanawake wakapata mimba baada ya kuolewa au kuwa na mwenza wanayeishi naye pamoja tu.
ndo maana nasema tatizo lingine ni kwamba hao vijana wengi uchumi wao bado hauruhusu hata kujitegemea tu wenyewe ni kazi bado wako home....halafu hata ukisema waishi kama wenza kumbuka siku hizi visa vya kuachana navyo ni vingi wapenzi wakigombana tayari divorce ishu ya single mother itaendelea palepale
 
Kama kijana bado anaishi kwao akitegemea wazazi wake kwa nini azalishe watoto ambao hata hawezi kuwahudumia??

Kama kijana hawezi kuishi pamoja na mwenza wake na kuhudumia watoto pamoja kwa nini wazalishe watoto??
 
ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa?

Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua, ataamua kutumia zaidi ma p2 mixer kutoa mimba sana na hata kuepuka kabisa kupata mtoto mpaka awe ameolewa rasmi. Tatizo linakuja hapo hapo ambapo vijana wengi nao wanaahirisha ndoa kwa sababu ya hali ngumu ya uchumi.

Leo hii unakuta kijana ana miaka 30 bado yupo kwa wazazi, anajitafuta, hana uhakika wa kuoa. Miaka inaenda mpaka 35 au 37 ndipo anaanza kushtuka anataka mke ambaye hana mtoto kabisa na hapo ni jobless anaunga unga. anasahau kwamba wakati huo huo mabinti nao wanaogopa kuzaa mapema kwa hofu ya kuachwa na kuitwa single mother.

Swali langu lingine ni hili je, wanaowapinga mahusiano na single mothers wanamaanisha kupinga nao ndoa tu, au hata kupata mtoto nao pia?yaani kwa Mfano, mwanamke ana mtoto mmoja, ana kazi yake, anajitegemea. nyie wapinga single mother mnaonaje hapo naweza kuamua kupata mtoto pamoja bila hata kupanga kuishi kama wanandoa, bali kushirikiana tu kulea mtoto kwa makubaliano. Je, hata mfumo huo nao unaonekana si sahihi?Nauliza hivi kwa sababu inaonekana kizazi hiki kinaanza kubadili kabisa maana ya ndoa, uzazi, na familia kutokana na presha za uchumi na mahusiano.Halafu hii point kwamba eti kutakuwa na mawasiliano kati ya mzazi mwenza wa single mother imekaaje hii kwani nyie mnaishi vijijini mpaka hamuami hio mikoa yenu mara kwa mara ...me nachokiona siku hizi watu wanasafiri sana na kuhama mikoa je kwa mfano baba mtoto yupo mwanza wewe na single mother mnaishi mtwara bado ni sahihi kuwa na hofu ya kupigiwa kwamba mtu awe anatoka mwanza anakuja mtwara kuja tu kupasha kiporo duh..
In fact,
kwa maoni yangu hali iyo ya kugoma kuzaa, italeta ahueni kubwa sana kwa taifa letu, kutokana na population yake kukua kwa kasi zaidi mwaka hadi mwaka na kusababisha changamoto katika utoaji na upatikanaji wa huduma za kijamii, ongezeko la uharibifu, momonyoko wa maadili na mambo mengine kama hayo,

Kwahiyo tutakua tumedhibiti population holela ya kasi iliyoko, na kupata fursa na nafasi nzuri sana ya kushughulikia na kutatua kwa changamoto zilizopo kitaifa vizuri na ufanisi sana dhidi ya population iliyoko iliyoko sasa.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
KWANINI TATIZO LA SINGLE MOTHERS LIPO ZAIDI KWA FAMILIA MASIKINI KULIKO FAMILIA TAJIRI AU ZENYE UNAFUU WA MAISHA.

MEANS USITEGEMEE BINTI MASIKINI AKAWA NA AKILI YOYOTE YA KUWAZA KESHO YAKE ZAIDI YA KUCHANUA MAPAJA THAT IS .

TAKWIMU ZINAONESHA 85% YA WATANZANIA NI UNCIVILIZED HAWANA UWEZO WA KUFANYA LIFE PROJECTION AFTER FIVE YEARS OR 10
 
Back
Top Bottom