Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Mkuu mbona unaleta sana masuala ya "ingekua". Nature haina alternative inahukumu kulingana na ulichokifanya. Hauwezi ku-negotiate na natureUkitaka kujua ts just perception jiulize, chama cha siasa kingekuwa ajira rasmi ya kulipwa, Msigwa angeajiriwa ccm akaacha akarudi Chadema angepoteza dignity? NO, perception ya jamii, kuhama katika ajira haitazami kama jambo baya, linaitazama kama jambo la maslahi na kukuza CV but Perception ya kuhama chama cha siasa inatazama kama umalaya wa kisiasa. Just perception.
No, tofautisha curiosity na dignity, curiosity ni nature ya mwanadamu, hata ukichumbia asiye na mtoto, bikira utataka kujua historia yake, kwanini ni bikra, ni malezi baba alikuwa mkali au ni uwezo wake wa kujizuia n.k That is curiousity and its nature.
Peception sio nature, naweza nikawa na curiosity na single mother na nisiwe nae kwa sababu yoyote ile ila dignity yake ikabaki pale pale sababu perception hainielekezi kuwa mtoto anapunguza dignity ya mwanamke.