Hii chuki dhidi ya ‘Single Mothers’ Inaweza Kubadilisha Mfumo wa Mahusiano ya hawa Gen Z wakagoma kabisa kushika mimba mpaka ndoa

Haya mawazo ndo yanaamsha baadhi ya wanawake waitafute nguvu wajitegemee bila kumuhitaji mwanaume.

Mwanamke ni binadamu, History haifix future ya mwanadamu, inashape maamuzi. Maamuzi ya binadamu yanatofautiana kulingana na aina ya huyo binadamu. Wiring yake ya ubongo.

Historia anayopitia mwanadamu inashape maamuzi yake kwa namna tofauti sio namna moja pekee.

Kuna mtu ni mlevi sababu baba yake alikuwa mlevi, na kuna mtu anaichukia pombe sababu baba yake alikuwa mlevi. Same history, same events different decisions.

Kuna mtu ni mwaminifu sababu ameshawahi kuwa msaliti, na kuna mtu ni mwaminifu sababu haujui usaliti. Different histry, same decisions.

Huwezi fix judgement kwa mwanadamu, mwanadamu sio mti kuwa ukishasimikwa umesimikwa.

Hata wewe Natafuta Ajira kuna mambo huyafanyi tena sababu ulishayafanya na unaona hayana thamani kuyarudia na kuna mambo unayafanya sababu ulishayafanya na yamekuwa sehemu ya tabia zako, it all depends na wiring ya ubongo wako.

Historia haiamui future, inashape maamuzi ya future na anayefanya maamuzi ni mtu si historia yake.
Hayo ni mawazo ya kibinadamu lakini kuna nature. Nature ina-flow kwenye chanel zake. Haifanyi negotiations na mawazo ya kibinadamu. Mfano kwenye suala la kazi. Ukishafukuzwa kazini maana yake tayari unawekwa kwenye blacklist. Hata ukirudi na kuwaambia ile tabia ilisababishwa ufukuzwa kazi umeiacha hawezi kupewa tena kazi hapo. Mawazo yako yame-base kwenye morality. Kumbuka nature haitambui morality. Naturally ukishapoteza dignity yako ndio hauwezi kuirudisha tena.

Natural alignment kwa upande wa mwanamke ni purity-family-legacy. Kuwa single mother maana yake tayari ameshatoka kwenye natural alignment. Ameshapoteza dignity hapo hawezi tena kuirudisha. Atapewa matumaini ya kibinadamu kama unavyofanya wewe, lakini nature haina huo ubinadamu. Kwahiyo ataendelea kutembea na consequences za single motherhood
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hayo ni mawazo ya kibinadamu lakini kuna nature. Nature ina-flow kwenye chanel zake. Haifanyi negotiations na mawazo ya kibinadamu. Mfano kwenye suala la kazi. Ukishafukuzwa kazini maana yake tayari unawekwa kwenye blacklist. Hata ukirudi na kuwaambia ile tabia ilisababishwa ufukuzwa kazi umeiacha hawezi kupewa tena kazi hapo. Mawazo yako yame-base kwenye morality. Kumbuka nature haitambui morality. Naturally ukishapoteza dignity yako ndio hauwezi kuirudisha tena.

Naturally alignment kwa upande wa mwanamke ni purity-family-legacy. Kuwa single mother maana yake tayari ameshatoka kwenye natural alignment. Ameshapoteza dignity hapo hawezi tena kuirudisha. Atapewa matumaini ya kibinadamu kama unavyofanya wewe, lakini nature haina huo ubinadamu. Kwahiyo ataendelea kutembea na consequences za single motherhood
Sio kweli kuwa nature alignment ya mwanamke ni purity-family-legacy.

Ndoa ni man made thing sio nature. Nature haijali mwanamke anazaa kwa kusign makaratasi au kwa kumpa yoyote anayeona anafaa kuzaa nae.

Jamii ingeweza kuwa na mfumo tofauti na dignity ingezaliwa humo sababu ni mwanadamu anaamua nini kiwe dignity nini kisiwe.

Mfano uliotoa wa kazi:

Still unaasume maisha ya binadamu yakisimikwa yamesimikwa kama mti, maisha hayapo hivyo.

Unaweza fukuzwa kazi na ukapata kazi nyingine bila kujieleza kwanini ulifukuzwa kazi ila mfano wako umefix kwamba ukifukuzwa kazi ili upate kazi lazima urudi hapo ujielezee kwanini ulifukuzwa kazi huko nyuma(Single outcome). Sasa maisha ya binadamu hayana single outcome yana trillion options negative na positive.

Unaweza fanya jambo hasi likaja na matokeo tofauti na fixing ya outcome hasi uliyoisimika wewe.
 
Sio kweli kuwa nature alignment ya mwanamke ni purity-family-legacy.

Ndoa ni man made thing sio nature. Nature haijali mwanamke anazaa kwa kusign makaratasi au kwa kumpa yoyote.

Jamii ingeweza kuwa na mfumo tofauti na dignity ingezaliwa humo.
Hakuna popote niliposema ndoa ni nature. Soma vizuri hiyo natural alignment yangu nimeandika "family". Mimi nina familia ya mke na mtoto lakini sijafunga ndoa. Umenielewa hapo? Kea kukusaidia zaidi angalia kwenye kamusi kama familia na ndoa ina maana moja
Mfano uliotoa wa kazi:

Still unaasume maisha ya binadamu yakisimikwa yamesimikwa kama mti, maisha hayapo hivyo.

Unaweza fukuzwa kazi na ukapata kazi nyingine bila kujieleza kwanini ulifukuzwa kazi ila mfano wako umefix kwamba ukifukuzwa kazi ili upate kazi lazima urudi hapo ujielezee kwanini ulifukuzwa kazi huko nyuma(Single outcome). Sasa maisha ya binadamu hayana single outcome yana trillion options negative na positive.

Unaweza fanya jambo hasi likaja na matokeo tofauti na fixing ya outcome hasi uliyoisimika wewe.
Kazi utapata kama hiyo ofisi mpya haina rekodi kwamba ulifukuzwa uko ulipotoka, na hata wewe mwenyewe unajua hilo ndio maana ukiitwa kwenye interview hauwezi kusema ofisi uliyotoka ulifukuzwa kazi.

Unajua kwanini wanawake huwa wanadanganya namba ya body count kila wanapoingia kwenye mahusiano mapya? Wanajua past matter a lot kwa mwanaume. Ukipuuza past ya mwanamke unaweza ukajiona una morality lakini mwenzako anakuona mjinga, coz you accept to settle for less. Mwanamke anaweza kusamehe ukimfanyia violence, lakini kamwe hawezi kukusamehe ukionyesha weakness. Soon or later atakuadhibu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Halafu kijana mwenzio atamchumbia na kumuoa ili baadae mkikutana mpashe kiporo.

Sasa imagine hapo wilayani mpo vijana 100,000 halafu vijana 90,000 mmefanana tabia, kila mmoja akihitaji wanawake wa3 wa kuwavizia wawaache watahitajika mabinti 270,000 wa kuchezewa na kuachwa. Mnawapata wapi? Ni mwendo wa kubadilishana uchakavu tu.
Nimezingatia neno uchakavu 😅😅 ndicho tunachokifanya, ni kupasiana tu mipira
 
Hakuna popote niliposema ndoa ni nature. Soma vizuri hiyo natural alignment yangu nimeandika "family". Mimi nina familia ya mke na mtoto lakini sijafunga ndoa. Umenielewa hapo? Kea kukusaidia zaidi angalia kwenye kamusi kama familia na ndoa ina maana moja
Ok mkuu. Ondoa neno ndoa weka mfumo wa kuendeleza uzao. Nature haijali ni mfumo upi unatumika.

Hata tungerithi mfumo kuwa mwanamke anaolewa kipindi cha ujauzito tu mtoto akikua anaendelea na mambo yake na mwanamke mwenye dignity ni yule aliyeolewa mara nyingi hao waliozaa hovyo sasa hivi ndo wangeonekana wana dignity as long as waliolewa kipindi wana ujauzito.
Kazi utapata kama hiyo ofisi mpya haina rekodi kwamba ulifukuzwa uko ulipotoka, na hata wewe mwenyewe unajua hilo ndio maana ukiitwa kwenye interview hauwezi kusema ofisi uliyotoka ulifukuzwa kazi.

Unajua kwanini wanawake huwa wanadanganya namba ya body count kila wanapoingia kwenye mahusiano mapya? Wanajua past matter a lot kwa mwanaume.
Hapana mkuu, bado unafix outcome.

It all depend na wiring ya ubongo wako ulivyo. Una maamuzi yenye future value au la. Unaweza hata kuwa blacklisted na simu ikaita kutoka kwa hao hao waliokublack list.
 
Ok mkuu. Ondoa neno ndoa weka mfumo wa kuendeleza uzao. Nature haijali ni mfumo upi unatumika.

Hata tungerithi mfumo kuwa mwanamke anaolewa kipindi cha ujauzito tu mtoto akikua anaendelea na mambo yake na mwanamke mwenye dignity ni yule aliyeolewa mara nyingi hao waliozaa hovyo sasa hivi ndo wangeonekana wana dignity.
Unarudi pale pale kutaka kuleta misingi ysko binafsi ns kulszimisha iwe maana yangu. Hakuna niliposema mfumo wa kuendeleza uzao. Nimesema familia yaani baba, mama, mtoto/watoto wanaishi ndani ya kaya moja. Ukisema mfumo wa kuendeleza uzao maana yake hata kuzaa tu kiholela holela ni sawa as long as uzao unaendelezwa. Natural alignment haina alternative kama unavyotaka kulazimisha. Heshima ya mwanamke ajitunze, aolewe rasmi, awe na familia yake. Nje ya hapo lazima kuna dignity ataipoteza mfano hao single mother.
Hapana mkuu, bado unafix outcome.

It all depend na wiring ya ubongo wako ulivyo. Una maamuzi yenye future value au la. Unaweza hata kuwa blacklisted na simu ikaita kutoka kwa hao hao waliokublack list.
Unaongea nadharia sana. Kwamba CRDB wakufukuze kazi kwa sababu ya kukosa ethics halafu wakuite tena kukupa kazi. Again, kazi utapata lakini historia yako ya kufukuzwa utalazimika kuificha kwa ulinzi mkubwa sana
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kwani ikishuka kwa sababu watu hawajapata wenza wa kuelewana nao tatizo liko wapi?

Yani rate ya ndoa kushuka, kwa sababu watu hawataki kuoa na kuolewa na watu wasiowakubali, wanaepusha matatizo mengi ya ndoa, wanawake wakakataa kuolewa na hata kuzaa ovyo, hapo kinachokusumbua wewe ni kipi?

Kwani ndoa ni la

Unarudi pale pale kutaka kuleta misingi ysko binafsi ns kulszimisha iwe maana yangu. Hakuna niliposema mfumo wa kuendeleza uzao. Nimesema familia yaani baba, mama, mtoto/watoto wanaishi ndani ya kaya moja. Ukisema mfumo wa kuendeleza uzao maana yake hata kuzaa tu kiholela holela ni sawa as long as uzao unaendelezwa. Natural alignment haina alternative kama unavyotaka kulazimisha. Heshima ya mwanamke ajitunze, aolewe rasmi, awe na familia yake. Nje ya hapo lazima kuna dignity ataipoteza mfano hao single mother.

Unaongea nadharia sana. Kwamba CRDB wakufukuze kazi kwa sababu ya kukosa ethics halafu wakuite tena kukupa kazi. Again, kazi utapata lakini historia yako ya kufukuzwa utalazimika kuificha kwa ulinzi mkubwa sana
kwa hiyo akiolewa mwezi huu akatiwa mimba kisha mumewe akafariki bahatimbaya vitani mwezi wa september dignity ya huyo mwanamke inashuka?maana si anakuwa ashakuwa single mother
cc Tsh
 
Hapa umeninukuu kimakosa au umekusudia?
 
Unarudi pale pale kutaka kuleta misingi ysko binafsi ns kulszimisha iwe maana yangu. Hakuna niliposema mfumo wa kuendeleza uzao. Nimesema familia yaani baba, mama, mtoto/watoto wanaishi ndani ya kaya moja. Ukisema mfumo wa kuendeleza uzao maana yake hata kuzaa tu kiholela holela ni sawa as long as uzao unaendelezwa. Natural alignment haina alternative kama unavyotaka kulazimisha. Heshima ya mwanamke ajitunze, aolewe rasmi, awe na familia yake. Nje ya hapo lazima kuna dignity ataipoteza mfano hao single mother.
Mkuu, tunapishana sehemu ndogo. Dignity sio nature ni perception. Nikutolee mfano wewe, umesema hujasain makaratasi, unaishi tu na mwanamke mna familia. Its your perception kuwa heshima ya mwanamke wako haipotezwi na viapo vya nyumba za ibada au serikali.

Sasa akija mtu mwenye perception tofauti, asipomheshimu mwanamke unayeishi naye sababu hujasaini nae karatasi kuwa ni mkeo does nature care? NO.

Ndivyo ilivyo sasa kwa single mother na concept yako ya dignity. Nature haijali. Ni perception ndo inaamua kuwa ni dignity au la. Ndo maana kama ambavyo perception yako its ok kuishi bila viapo kuna mwingine its ok mwanamke akiwa na mtoto. Nature dont care mnaamua kipi kiwe dignity, kipi kisiwe.
Unaongea nadharia sana. Kwamba CRDB wakufukuze kazi kwa sababu ya kukosa ethics halafu wakuite tena kukupa kazi. Again, kazi utapata lakini historia yako ya kufukuzwa utalazimika kuificha kwa ulinzi mkubwa sana
Sasa mkuu, unalazimisha kuwa CRDB wakikufukuza kazi hawawezi kukuita? Hapo umelimit uwezo wa ubongo wako kufanya maamuzi ya kumfanya CRDB akuhitaji.

Duniani hapa its all about current value, sio historia yako. Kama hutaki sawa.
 
7254b6ae5d184adea6047008505e4570.jpg
 
Hapa umeninukuu kimakosa au umekusudia?
Kimakosa...ila wewe mkuu nilitaka nikujibu kwamba itakuaje binti anafikisha 35 hana wa kutaka kumuoa aendelee tu kusubiri ndoa au azae tu na mwanaume bila ndoa kama ana UWEZO wa kumhudumia mtoto
 
Tatizo unafuatilia sana maisha ya watu ambao hawakuhusu.

Yani umefanya ndoa kuwa ni kitu ambacho kila mtu lazima awe nacho.

Wakati si kila mtu anataka.

Na hata kama anataka, kama anaona hajapata anayemtaka hataki kuoa au kuolewa tu, ni haki yake.

Umekariri kwamba maisha unayoyajua wewe ya ndoa ndiyo lazima kila mtu aishi hivyo.

Kuna watu hawataki ndoa wala mtoto. Wanaona ndoa ni complication na kuzaa mtoto bila hata kumuuliza kama anataka kuzaliwa ni ubinafsi mkubwa sana.

Hao utawachukuliaje?
 
Mkuu, tunapishana sehemu ndogo. Dignity sio nature ni perception. Nikutolee mfano wewe, umesema hujasain makaratasi, unaishi tu na mwanamke mna familia. Its your perception kuwa heshima ya mwanamke wako haipotezwi na viapo vya nyumba za ibada au serikali.

Sasa akija mtu mwenye perception tofauti, asipomheshimu mwanamke unayeishi naye sababu hujasaini nae karatasi kuwa ni mkeo does nature care? NO.

Ndivyo ilivyo sasa kwa single mother na concept yako ya dignity. Nature haijali. Ni perception ndo inaamua kuwa ni dignity au la. Ndo maana kama ambavyo perception yako its ok kuishi bila viapo kuna mwingine its ok mwanamke akiwa na mtoto. Nature dont care mnaamua kipi kiwe dignity, kipi kisiwe.
Nature ndio inaamua dignity, sio perception. Mitazamo yetu itatofautiana lakini nature ina njia zake ambazo ni lazima ukae kwenye mstari kulinda dignity yako.

Leo hii msigwa karudi chadema. Unafikiri wanaweza kumwamininkama mwanzo? Jibu ni hapana kwa sababu ashapoteza dignity yake. Huyu anakmhukumiwa na nature sio mitazamo binafsi ya wana chadema.

Single motherhood tayari ni badge ya reckless past decision. Hata ukianzisha mahusiano na mwanamke akikuambia ana mtoto lazima utakua curious kutaka kujua chanzo cha kuachana na mzazi mwenzie, ushirikiano wao kwenye malezi, interactions zao n.k. Ile curious ndio nature ya kila binadamu sana. Kwamba single mother hana tena dignity ya kuaminika. Utahitajika kujiridhisha zaidi hapo ndipo mitazamo itatofautiana sasa. Kuna wengine watakua soft wengine watahukumu ruthlessly
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
kwahiyo kosa kubwa atakalofanya mwanamke ni kuzaa na mwanaume halafu huyo mwanaume a-survive? 🫢
Hakuna popote niliposema au nilipomaanisha hivyo. Either ni mtazamo wako binafsi au haujanielewa
 
Nature ndio inaamua dignity, sio perception. Mitazamo yetu itatofautiana lakini nature ina njia zake ambazo ni lazima ukae kwenye mstari kulinda dignity yako.

Leo hii msigwa karudi chadema. Unafikiri wanaweza kumwamininkama mwanzo? Jibu ni hapana kwa sababu ashapoteza dignity yake. Huyu anakmhukumiwa na nature sio mitazamo binafsi ya wana chadema.
Ukitaka kujua ts just perception jiulize, chama cha siasa kingekuwa ajira rasmi ya kulipwa, Msigwa angeajiriwa ccm akaacha akarudi Chadema angepoteza dignity? NO, perception ya jamii, kuhama katika ajira haitazami kama jambo baya, linaitazama kama jambo la maslahi na kukuza CV but Perception ya kuhama chama cha siasa inatazama kama umalaya wa kisiasa. Just perception.
Single motherhood tayari ni badge ya reckless past decision. Hata ukianzisha mahusiano na mwanamke akikuambia ana mtoto lazima utakua curious kutaka kujua chanzo cha kuachana na mzazi mwenzie, ushirikiano wao kwenye malezi, interactions zao n.k. Ile curious ndio nature ya kila binadamu sana. Kwamba single mother hana tena dignity ya kuaminika. Utahitajika kujiridhisha zaidi hapo ndipo mitazamo itatofautiana sasa. Kuna wengine watakua soft wengine watahukumu ruthlessly
No, tofautisha curiosity na dignity, curiosity ni nature ya mwanadamu, hata ukichumbia asiye na mtoto, bikira utataka kujua historia yake, kwanini ni bikra, ni malezi baba alikuwa mkali au ni uwezo wake wa kujizuia n.k That is curiousity and its nature.

Peception sio nature, naweza nikawa na curiosity na single mother na nisiwe nae kwa sababu yoyote ile ila dignity yake ikabaki pale pale sababu perception hainielekezi kuwa mtoto anapunguza dignity ya mwanamke.
 
Ok, ukisema nature inaamua dignity na si perception, explain this, kwanini mwanamke akikaa kifua wazi anapoteza dignity hapa Tanzania ila kuna maeneo akienda dignity yake haiwi affected na kukaa kifua wazi?
Dignity ataipoteza hakuna sehemu mwanamke anaweza kuonyesha sehemu nyeti za mwili wake na bado akaonekana decent lady. Sema tu kuna jamii ambazo zitaheshimu maamuzi yake ya kuanika mwili wake na kuna jamii hazitakubaliana na hiyo hali kwaiyo mwanamke huyo atawajibishwa.
 
Sasa dignity ndo inatengeneza respect. Huwezi sema jamii inakuheshimu halafu usiwe na dignity.

Ukiheshimiwa unaheshimika. Huwezi sema unaheshimika ila uheshimiwi.

Naomba urudie post #98. Niliedit nikakuuliza kuhusu Msigwa.
 
Back
Top Bottom