Hii chuki dhidi ya ‘Single Mothers’ Inaweza Kubadilisha Mfumo wa Mahusiano ya hawa Gen Z wakagoma kabisa kushika mimba mpaka ndoa

ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa?

Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua, ataamua kutumia zaidi ma p2 mixer kutoa mimba sana na hata kuepuka kabisa kupata mtoto mpaka awe ameolewa rasmi. Tatizo linakuja hapo hapo ambapo vijana wengi nao wanaahirisha ndoa kwa sababu ya hali ngumu ya uchumi.

Leo hii unakuta kijana ana miaka 30 bado yupo kwa wazazi, anajitafuta, hana uhakika wa kuoa. Miaka inaenda mpaka 35 au 37 ndipo anaanza kushtuka anataka mke ambaye hana mtoto kabisa na hapo ni jobless anaunga unga. anasahau kwamba wakati huo huo mabinti nao wanaogopa kuzaa mapema kwa hofu ya kuachwa na kuitwa single mother.

Swali langu lingine ni hili je, wanaowapinga mahusiano na single mothers wanamaanisha kupinga nao ndoa tu, au hata kupata mtoto nao pia?yaani kwa Mfano, mwanamke ana mtoto mmoja, ana kazi yake, anajitegemea. nyie wapinga single mother mnaonaje hapo naweza kuamua kupata mtoto pamoja bila hata kupanga kuishi kama wanandoa, bali kushirikiana tu kulea mtoto kwa makubaliano. Je, hata mfumo huo nao unaonekana si sahihi?Nauliza hivi kwa sababu inaonekana kizazi hiki kinaanza kubadili kabisa maana ya ndoa, uzazi, na familia kutokana na presha za uchumi na mahusiano.Halafu hii point kwamba eti kutakuwa na mawasiliano kati ya mzazi mwenza wa single mother imekaaje hii kwani nyie mnaishi vijijini mpaka hamuami hio mikoa yenu mara kwa mara ...me nachokiona siku hizi watu wanasafiri sana na kuhama mikoa je kwa mfano baba mtoto yupo mwanza wewe na single mother mnaishi mtwara bado ni sahihi kuwa na hofu ya kupigiwa kwamba mtu awe anatoka mwanza anakuja mtwara kuja tu kupasha kiporo duh..
Labda hao wasichana waachane na filters waingie mtaani kusaka doh unless singo maza watazidi kuongezeka zaidi na zaidi.
 
Single maza wenyewe sasa👇
20260529_151832.jpg
 
Haiwezi tokea.. kwanza vibinti vingi wakianza prime yao, 17,18.....22....25 hivi hapo wanakuwa hawajielewi wengi wao, wanadanganyika kiurahisi, hawajajua mapenzi ni nini, hisia zimewajaa, wananasa kizembe kwenye mitego ya wanauame..

Ngumi sana, wengi hawatoboi mbele ya CHIPSI YAI 😂🤣
Hakuna msichana wa karne hii anaeweza kuchomoka hapo, na vile maisha yao ni magumu sasa

Kuna kamoja kana miaka 17 Niko nako huku mtaani nakavizia muda sio mrefu nitakaingizia de libolo 😅😅 Sema nitajitahidi nisimpe mimba baadae nikishachoka ndo niachane nae
 
Halafu kijana mwenzio atamchumbia na kumuoa ili baadae mkikutana mpashe kiporo.

Sasa imagine hapo wilayani mpo vijana 100,000 halafu vijana 90,000 mmefanana tabia, kila mmoja akihitaji wanawake wa3 wa kuwavizia wawaache watahitajika mabinti 270,000 wa kuchezewa na kuachwa. Mnawapata wapi? Ni mwendo wa kubadilishana uchakavu tu.
 
Hii inanipa alert kuwa binti zangu watatakiwa kuwa na skills za kujitegemea mapema mno kabla hata ya kuvunja ungo ili wapate real life experience ya utaftaji na kushika fedha. Mambo ya mtoto wa kike kufika Chuo ilihali hajui namna uchumi unavyotengenezwa na kufanya kazi ndio matokeo yake kufanya mambo ya kipuuzi na kuleta wajukuu bila mpangilio
 
P2 zinauza sana uswahilini😂
Umeeleza hoja vizuri lakini kwa upande wangu naona matumizi makubwa ya dawa na mbinu za kujikinga kutokupata Mimba na pia kufanya abortion.
Siku hizi zile P2 (Postinor-2) zina soko sana. Dada wa Pharmacy ni bora akose panadol lakini sio P2
 
Ni kweli yaani dada aliyezaa lakini ana utimamu wa akili na utulivu anabaguliwa kuliko mwanamke aliyejikita kwenye umalaya kwa miaka 10 lakini hana mtoto.
Aliyezaa na mwenye utimamu wa akili unampata wapi? Ratio ya wanawake wa hivyo ni 3 kwenye kila wanawake 100 ambao ni ma single maza. Na hao 3 wenyewe ni wadangaji wanaotumia wanaume wenye nyadhifa kufadhili malezi ya watoto wao.

Unakuta mwanamke kama huyo yuko kwenye taasisi flani ila anabokolewa na Mkurugenzi au Officer flani ambaye ni mume wa mtu ili ku support malezi ya kijana.
 
Hii inanipa alert kuwa binti zangu watatakiwa kuwa na skills za kujitegemea mapema mno kabla hata ya kuvunja ungo ili wapate real life experience ya utaftaji na kushika fedha. Mambo ya mtoto wa kike kufika Chuo ilihali hajui namna uchumi unavyotengenezwa na kufanya kazi ndio matokeo yake kufanya mambo ya kipuuzi na kuleta wajukuu bila mpangilio
Kabisa. Awe na kazi, ikiwezekana hata chuoni asome huku ana kazi au biashara. Nilichogundua wanawake walio busy huwa smart sana, sharobaro wenye low Iq huwaogopa kiasi fulani hivi.
 
Wanawake wanaotumia P2 wana soko sana kwa baadhi ya vijana wa GenZ. Kwa akili za baadhi ya GenZ, ukiwa malaya ila hujazaa hakuna shida, unafaa kuolewa maana wewe sio single mother.
Yeah hapo ni sawa tu na gari ambayo imerudiwa rangi ila haikuwahi kupata ajali kwahio bado ina retain muonekano wake. Tofauti na gari ambayo yenyewe imefanyiwa Engine na gearbox overhaul kupata mteja ni mshike mshike hata kama body bado imenyooka.
 
Yeah hapo ni sawa tu na gari ambayo imerudiwa rangi ila haikuwahi kupata ajali kwahio bado ina retain muonekano wake. Tofauti na gari ambayo yenyewe imefanyiwa Engine overhaul kupata mteja ni mshike mshike.
Mkuu, mwanamke kumfananisha na gari tunafananisha vitu visivyo fanana. Gari engine mbovu ni spear tu, ukinunua ikasumbua unaagiza mpyaa unafunga. Sasa okota gube gube lako ufunge engine mpya ujionee maajabu.
 
Sharobaro hawawezagi kujisogeza kwa wanawake smart na wenye mipango. Huwa wanaogopa bills na kudhalilika😆
Hahaha, sasa anapiga hesabu za kuonga chips yai aweke mimba akimbie halafu aende kwa binti ni daktati specialist wa magonjwa ya ubongo? Hiyo Iq anaitoa wapi? Labda apate tu zali la mentali. Tusomeshe tu mabinti zetu.
 
Hahaha, sasa anapiga hesabu za kuonga chips yai aweke mimba akimbie halafu aende kwa binti ni daktati specialist wa magonjwa ya ubongo? Hiyo Iq anaitoa wapi? Landa apate tu zali la mentali
Mpango wangu kama nikiwa na uzima ni kupeleka watoto Ulaya wakimaliza std 7 tu first borne napeleka Ulaya akaone jinsi ambavyo dunia inakwenda. Akimaliza chuo anarudi bongo akiwa akili imeshatanuka.
 
Mkuu, mwanamke kumfananisha na gari tunafananisha vitu visivyo fanana. Gari engine mbovu ni spear tu, ukinunua ikasumbua unaagiza mpyaa unafunga. Sasa okota gube gube lako ufunge engine mpya ujionee maajabu.
Ina make sense, once gari imeshushwa engine inapoteza thamani haiwezi kuwa the same.
 
Mpango wangu kama nikiwa na uzima ni kupeleka watoto Ulaya wakimaliza std 7 tu first borne napeleka Ulaya akaone jinsi ambavyo dunia inakwenda. Akimaliza chuo anarudi bongo akiwa akili imeshatanuka.
Tena ukiweza kuwafanya waingie kwenye field kama udaktari, urubani, engineer n.k halafu ukatengeneza mazingira akitoka huko siyo aanze kutembea na bahasha, umemaliza.
 
Vinginevyo naweza nikaozea Segerea maana siwezi kubali mpuuzi atie mimba binti yangu halafu aendele kutamba uraiani😂
 
ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa?

Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua, ataamua kutumia zaidi ma p2 mixer kutoa mimba sana na hata kuepuka kabisa kupata mtoto mpaka awe ameolewa rasmi. Tatizo linakuja hapo hapo ambapo vijana wengi nao wanaahirisha ndoa kwa sababu ya hali ngumu ya uchumi.

Leo hii unakuta kijana ana miaka 30 bado yupo kwa wazazi, anajitafuta, hana uhakika wa kuoa. Miaka inaenda mpaka 35 au 37 ndipo anaanza kushtuka anataka mke ambaye hana mtoto kabisa na hapo ni jobless anaunga unga. anasahau kwamba wakati huo huo mabinti nao wanaogopa kuzaa mapema kwa hofu ya kuachwa na kuitwa single mother.

Swali langu lingine ni hili je, wanaowapinga mahusiano na single mothers wanamaanisha kupinga nao ndoa tu, au hata kupata mtoto nao pia?yaani kwa Mfano, mwanamke ana mtoto mmoja, ana kazi yake, anajitegemea. nyie wapinga single mother mnaonaje hapo naweza kuamua kupata mtoto pamoja bila hata kupanga kuishi kama wanandoa, bali kushirikiana tu kulea mtoto kwa makubaliano. Je, hata mfumo huo nao unaonekana si sahihi?Nauliza hivi kwa sababu inaonekana kizazi hiki kinaanza kubadili kabisa maana ya ndoa, uzazi, na familia kutokana na presha za uchumi na mahusiano.Halafu hii point kwamba eti kutakuwa na mawasiliano kati ya mzazi mwenza wa single mother imekaaje hii kwani nyie mnaishi vijijini mpaka hamuami hio mikoa yenu mara kwa mara ...me nachokiona siku hizi watu wanasafiri sana na kuhama mikoa je kwa mfano baba mtoto yupo mwanza wewe na single mother mnaishi mtwara bado ni sahihi kuwa na hofu ya kupigiwa kwamba mtu awe anatoka mwanza anakuja mtwara kuja tu kupasha kiporo duh..
Wakigoma kushika mimba mpaka ndoa tatizo liko wapi?
 
Back
Top Bottom