ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
- Thread starter
- #61
tatizo ndoa sasa rate ya kuoana imeshuka sana..Wakigoma kushika mimba mpaka ndoa tatizo liko wapi?
tatizo ndoa sasa rate ya kuoana imeshuka sana..Wakigoma kushika mimba mpaka ndoa tatizo liko wapi?
Msiosikia A wala B, 😂mtalomba migomba au? wakate ya nyie msosikia A wala B
Chips pelekea takataka huko hela nipe mimi😎Na ndo muache kupenda chips na ela zetu
Uongo?Msiosikia A wala B, 😂
Kwani ikishuka kwa sababu watu hawajapata wenza wa kuelewana nao tatizo liko wapi?tatizo ndoa sasa rate ya kuoana imeshuka sana..
Ndo ukubali kuzitumikia kila senti ina jasho lakeChips pelekea takataka huko hela nipe mimi😎
Hahaha.Vinginevyo naweza nikaozea Segerea maana siwezi kubali mpuuzi atie mimba binti yangu halafu aendele kutamba uraiani😂
Naunga mkono iliThread yako umeandika as if tatizo ni mwanaume.
Kwamba kwenye kushika mimba mwanamke hajui chochote wala hana maamuzi yoyote zaidi ya kumsikilizia tu mwanaume?
Mwanamke akimeza P2 kiholela holela, consequences atazipata yeye au mwanaume?
Single mother is not a victim, she chose that path. So she deserve all shit comes with the decision she made.
Single mother hawatumii hizo p2?Wanawake wanaotumia P2 wana soko sana kwa baadhi ya vijana wa GenZ. Kwa akili za baadhi ya GenZ, ukiwa malaya ila hujazaa hakuna shida, unafaa kuolewa maana wewe sio single mother.
Mkuu, Embu uwe unatembelea kidogo kaya masikini na marafiki zako angalau labda utapata uhalisia wa maisha ya mabinti wa kiTanganyika maana mahitimisho yako huwa yana collateral damage mno sababu ya wadada wa mijini mashakubuge.Thread yako umeandika as if tatizo ni mwanaume.
Kwamba kwenye kushika mimba mwanamke hajui chochote wala hana maamuzi yoyote zaidi ya kumsikilizia tu mwanaume?
Mwanamke akimeza P2 kiholela holela, consequences atazipata yeye au mwanaume?
Single mother is not a victim, she chose that path. So she deserve all shit comes with the decision she made.
Wapo wanaozitumia, wapo wasiozitumia. Wapo single mother malaya, wapo wasio malaya. Maisha ya binadamu sio fixed kuyapa hitimisho moja.Single mother hawatumii hizo p2?
Lakini single mother yeye tayari ana muhuri wa maamuzi mabovu aliyoyafanya huko nyuma. Sasa kwanini ufanye gamble hapo. Mustakabali wa mahusiano ni fumbo, lakini hiyo sio sababu ya kufanya gamble kwa mwanamke ambaye tayari ana red flagWapo wanaozitumia, wapo wasiozitumia. Wapo single mother malaya, wapo wasio malaya. Maisha ya binadamu sio fixed kuyapa hitimisho moja.
Sioni tatizo lolote kwa binti mwenye mtoto akipata mwenza na kuolewa as long as ataheshimu kiapo chake. Kwa ufupi, binti asiyeheshimu kiapo cha ndoa ni takataka hata kama hajazaa kabla ya kuolewa na anayeheshimu namheshimu hata kama alizaa kabla ya ndoa.Lakini single mother yeye tayari ana muhuri wa maamuzi mabovu aliyoyafanya huko nyuma. Sasa kwanini ufanye gamble hapo. Mustakabali wa mahusiano ni fumbo, lakini hiyo sio sababu ya kufanya gamble kwa mwanamke ambaye tayari ana red flag
kila senti maviiNdo ukubali kuzitumikia kila senti ina jasho lake
Aliyezalishwa alibakwa ama alipanua mapaja kwa hiari?Kama kijana bado anaishi kwao akitegemea wazazi wake kwa nini azalishe watoto ambao hata hawezi kuwahudumia??
Kama kijana hawezi kuishi pamoja na mwenza wake na kuhudumia watoto pamoja kwa nini wazalishe watoto??
Hiyo heshima haianzii pale altareni mnapokula kiapo au baada ya kumvalisha pete. Heshima ni mchakato unaojengwa kwa miaka mingi. Hapo ndipo unakuja umuhimu wa kuangalia behavioral pettern kwenye past yake, na single motherhood hiyo tayari ni red flag. Woman's past is a strong predictor of future loyalty. Hapa tunaangazia single mother kwa sababu ndio main focus ya mjadala lakini hata hao ambao sio singke mother nao wana makandokando yao.Sioni tatizo lolote kwa binti mwenye mtoto akipata mwenza na kuolewa as long as ataheshimu kiapo chake. Kwa ufupi, binti asiyeheshimu kiapo cha ndoa ni takataka hata kama hajazaa kabla ya kuolewa na anayeheshimu namheshimu hata kama alizaa kabla ya ndoa.
NaaamThread yako umeandika as if tatizo ni mwanaume.
Kwamba kwenye kushika mimba mwanamke hajui chochote wala hana maamuzi yoyote zaidi ya kumsikilizia tu mwanaume?
Mwanamke akimeza P2 kiholela holela, consequences atazipata yeye au mwanaume?
Single mother is not a victim, she chose that path. So she deserve all shit comes with the decision she made.
Haya mawazo ndo yanaamsha baadhi ya wanawake waitafute nguvu wajitegemee bila kumuhitaji mwanaume.Hiyo heshima haianzii pale altareni mnapokula kiapo au baada ya kumvalisha pete. Heshima ni mchakato unaojengwa kwa miaka mingi. Hapo ndipo unakuja umuhimu wa kuangalia behavioral pettern kwenye past yake, na single motherhood hiyo tayari ni red flag. Woman's past is a strong predictor of future loyalty.