Besides, I hope ishu yako iko well sorted ! 😊 tuishi mkuu maisha yenyewe ndo haya haya !🤣🤣Hii ni mbaya sana mkuu
Majibu yake ni ya kuniattack...Swali anapojibu vizuri na vibaya content inakuwa sawa ?; Huenda ni kama mimi siangalii ID naangalia content na ninaamini kuwa.... "Even a broken Clock is Right twice a Day).....
Iwapo wengi wetu tungekuwa kama mimi basi tungejibishana kwa nguvu za hoja, na mijadala ingekuwa bora zaidi...
Hata kama ni adui..., one should never be attacked even anonymously..., nadhani huo ni utumiaji mbovu wa rasilimali muda...; Ingawa kama ni hoja mbovu basi it should be attacked hata kama ni from a friend (we should never get personal)Majibu yake ni ya kuniattack...
Joanah kanji amerudi beib.Huu ujumbe ulitaka kuutuma PM ya mtu nini 😃
Nani huyu?
🤣🤣🤣We, sema kweli!?Mbona n kitu kizuri tu... ukizingua unapewa makavu, kuhusu swala la kutumia account nyingine inaruhusiwa kisheria, si unaona hata kesi ya TAL wameruhusu mashahidi kutoonekana kulinda usalama wao✍️
Kwahyo kuwa na amani wanaokupa makavu gizani wanalinda uhusiano wenu uliotukuka usife kisa kukupa mipasho😎
Asante sana Doll❤️Pole sana. Hao watu ni hatari sana.
Bora adui unayemjua kuliko adui anayejidai rafiki.View attachment 3448045
Nani anakusumbua nimtafute nimchape🤣🤣🤣 Ee Mungu wangu🙌