Hii Kauli ya Samia leo imeweka wazi tatizo lipo wapi. Watu Wenye Akili wasikitika sana

Panic ya juu kabisa...mpunga unapigwa, mipango inagoma, unalazimisha unapagawa!

1.Chaumma ni failed project kabla hata haijaanza!,wahuni wamepita na kibunda!

2.Unaenda kuwa top sawa,dunia haioni tofauti yako na M7 au PK for the nxt 5 yrs!

3.Siri zako nyeti zinavujishwa na watu wako wa karibu,mpunga wako wanakula,hawakukubali!

4.Master minds hawana pressure wala stress, na hawakuachii wewe ni intrest yao,kufa kijerumani na tai shingoni!
 
Naam,tathimini hii ipo relevant kabisaπŸ™
 
Kila jimbo wabunge wawili??
 
Hilo jitu ndio nani ?? fungueni code? au ndio nchimbi?
 
Rais wenu Yuko Kwenye PANIC MODE πŸ“³

Seems wameshamjua aliyevujisha zile taarifa za Wizi wao wa mabilioni ya Pesa. Watamuua lakini Acha iwe hivyo, damu Yake itakua dhabihu na sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya Nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…