Yeye kisha amua kunyang'anya kwa nguvu; kaanzia huko ndani ya chama chake kwa kujiteua mwenyewe. Kilichobaki sasa ni kutumia genge la "Askari wake" alio waandaa wambakishe kwenye madaraka kwa gharama yoyote ile; hata ya kumwaga damu ya waTanzania.Wananchi wenye nchi ndio wanatakiwa kuamua kama wanakupa mitano au kumi.
Tuezi nyingi ni za hovyo kabisaAmeongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Yupo hapo na genge lake..maneno km haya ametamka leo yanadhihirisha pasina shaka hana hiyo energy ya kuendelea na hiyo nafasi ila anataka kuharibu tena kwa makusudi kabisa sabab anajua hastahili kuendelea!
SurePresidency is not for the weak
Sasa kwa nini asikubali tu katiba mpya ya kupunguza hayo mamlaka ya mtu mmoja kuteuwa maelfu ya watu?!
Huyu n raisi mwenye ufinyu kwa kushinda wote kwa hili taifa ingekua mbelez bow amesha jiuzulu. Kwanza alipigiwa kura na nani.CCM ione upuuzi inaotuleteaga. Hii ni trashAmeongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Ameongeza kuwa,

WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombe
Rais hawezi kuwajua watu wote tabia zao, mpaka we amefanya nao kaziAmeongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
hilo lijitu litakuwa linephili.Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Kuna mkubwa na mwenye nguvu kuliko yeye huko CCM??kwani yeye ndie anekataa? Hilo ni suala la usalama wa CCM, akijaribu kuwazingua wanaweza hata kumpoteza.
K
Rais hawezi kuwajua watu wote tabia zao, mpaka we amefanya nao kazi
Kuna mkubwa na mwenye nguvu kuliko yeye huko CCM??
na anateu Jitu anajua limepotoka....shida iko kwa mteuajiAmeongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Samia amekengeuka sana.Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Siamini hilo, mimi najua Rais wa Tanzania ni sawa na nusu mungu na anaweza kufanya lolote alitakalo.Yeye ni mkubwa kwa jina tu, ila ground kuna watu wenye nguvu zaidi yake wanaoweza kumfanya chochote hata yeye ikiwa kumuondoa au hata kumpoteza.
Tuache kuichukulia poa CCM, CCM ni Zaidi ya Samia, infact Samia ni mwepesi sana, wakati wa Magu tunakumbuko hali ilivyokua.
Siamini hilo, mimi najua Rais wa Tanzania ni sawa na nusu mungu na anaweza kufanya lolote alitakalo.
Sifa ya Kiongozi bora,,, mojawapo ni kutawala hisia na kutunza Siri. Ya ndani kwake hayo, sisi hayatuhusu. Wangeambiana kimya kimya. Kutuambia wanaiba Siri na yeye katoa Siri. Angenyamza tu.This woman has bitten more than she can chew.
Ni vile hatumuoni nyuma ya pazia, ila nina hakika she is having emotional breakdowns. Mambo yanamuelemea kuliko upeo wake.