Hii level siyo ya Kila Mtu, Hata nikielezea hutaielewa

Hongera mkuu tupatie mbinu na sisi tuenjoy maisha
 
Sa wewe ni mbunifu mno, maneno hayo yote umeyatoa wapi au umeyaundaje?

Inashangaza sana
chafya ngumu
 
Kula Sio Kujaza Tumbo, Ni Standard 😌🍽️


Wakuu, kuna watu wanakula ili washibe… mimi nakula kwa experience.
Difference ni kubwa kuliko mnavyodhani.

Sitafuti bei ndogo, natafuta quality.
Ingredients safi, chef anajua kazi yake, na mazingira yanayokupa utulivu. Hapo ndipo pesa inaenda—na inaonekana.

Nikiwa na mood ya steak, siendi sehemu ya kubahatisha—naenda kwa Wagyu beef iliyopikwa vizuri mpaka ina-melt yenyewe.
Seafood? Lazima iwe fresh, sio hadithi za “leo imeletwa” halafu ni ya jana.

Coffee au dessert sio vitu vya kupitisha muda.
Ni details—flavor, presentation, na consistency. Ukishazoea hiyo level, huwezi kurudi nyuma kirahisi.

Bill ikifika siangalii total, naangalia kama experience ilikuwa worth it.
Kama haikuwa, sirudi. Simple.

Kuna watu wanaona hii ni anasa… lakini ukweli ni kwamba ni standards tu.
Ukishaanza kuishi vizuri, hata mwili wako unakataa vitu vya chini.

Kama bado unachagua chakula kwa bei kwanza, bado una safari.
Ukianza kuchagua kwa quality, umeanza kuelewa game.

#EatDifferent #StandardsOnly #ExperienceOverPrice
 
Ila Kwa Kwa awamu hii Kila kitu kinawezekana, shigongo mbunge kaweka wazi kifupi fuko limetoboka , kifupi mfumo WETU WA maisha ulivyo matajiri ndio wanao waza sana kwasababu wanataka kuongeza utajiri wao au kuumantain,ukiona mtu anakuambia hela zake hazina kazi hizo ndo za shamba la bibi la Tanganyika unazipata bila jasho justi uteuzi na konekshen TU. Kinyume chake matajiri wanapambana sana na hawana stori kama za mdau hapo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…