Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
- Thread starter
-
- #81
Mkuu tuweke siasa kandoIla Kwa Kwa awamu hii Kila kitu kinawezekana, shigongo mbunge kaweka wazi kifupi fuko limetoboka , kifupi mfumo WETU WA maisha ulivyo matajiri ndio wanao waza sana kwasababu wanataka kuongeza utajiri wao au kuumantain,ukiona mtu anakuambia hela zake hazina kazi hizo ndo za shamba la bibi la Tanganyika unazipata bila jasho justi uteuzi na konekshen TU.
Labda jobo, hivyo vijuice sitaweza😃mtoto wa kishua huyo anatak Savannah mbege atavomit
Naona anakulazimisha mpe ya kwangu aweke nijionee maajabusihitaji
Matajiri wote duniani wananiambia hivyo asante,na wewe naamini ni mmoja waoWork hard, work smart🤣
LIPIA TANGAZOHii Level Sio Ya Kila Mtu, Hata Niki-Explain Hutaielewa 😮💨💼
Wakuu, kuna maisha unayaishi hadi unajishangaa kama ulikuwa unaishi au ulikuwa unavumilia tu kabla 🤷🏽♂️
Juzi nilikuwa napitia account zangu, nikajiuliza hii ni balance au ni namba ya simu ya mtu 😂💰
Sio hata flex, ni reality tu imekuwa kubwa kuliko expectations za wengi.
Kuna watu wanapigania kuongeza mshahara, mimi napigania muda wa kupumzika… maana pesa yenyewe inaingia hata nikilala 😴📈
Ukishafika hapa, unagundua kazi kubwa sio kutafuta pesa… ni kujua utazitumia wapi.
Sina ratiba ya “kufanya kazi”, nina ratiba ya “kuishi”.
Kuna siku naamka naenda airport bila destination, nafika pale naamua leo niende wapi. Life inatakiwa ikuogope kidogo 😌✈️
Marafiki zangu wengi hawajui hata ninafanya nini, wanajua tu nipo “busy”.
Na ukweli ni kwamba busy yenyewe ni kupanga deals ambazo wao watazisikia kwenye news kesho 📊
Nishawahi kukaa sehemu nikasikia watu wanajadili hela kama ndoto… nikacheka kimoyomoyo, maana mimi ndio proof kwamba ndoto zikipewa discipline zinakuwa kawaida.
Hata stress zangu ni tofauti… sio ya bills au rent, ni ya kuchagua wapi niweke millions next 😮💨
Kuna mtu atasoma hii akadhani najifanya… lakini ukweli ni kwamba kuna level ukifika huongei sana, unaishi tu halafu wengine wana-interpret vile wanataka.
Ukiona kimya kimezidi, ujue mambo yameenda mbali kuliko maelezo 🤫🔥
Too much flexin Goddamn!!!!
mpe mwenyewe at you own risk sistaaNaona anakulazimisha mpe ya kwangu aweke nijionee maajabu
Hivi Don shafineys bado ni mganga?Poa zongii, au we ni shafineyz umeamua Ku brag
Hahahahaampe mwenyewe at you own risk sistaa
Hela za proxHivi Don shafineys bado ni mganga?
Prox ndo nini?Hela za prox
tia namba uokote 😂Hahahahaa
Pesa za mwisho wa mweziProx ndo nini?
Ngoja niende kabisa kwa wakala isijerudishwa maana matajiri wa jf nao si haba😅tia namba uokote 😂
Bado sijaelewa maana hapa tunamzungumzia tajiri mkubwa🤔Pesa za mwisho wa mwezi
hakuna tajiri hapoBado sijaelewa maana hapa tunamzungumzia tajiri mkubwa🤔
Changamka sistaaNgoja niende kabisa kwa wakala isijerudishwa maana matajiri wa jf nao si haba😅