Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

Huku rukwa kama kawaida yetu tulishazoea kutengwa na viongozi wa kitaifa.

Kufungua tu njia ya Namanyere-kirando kisha mizigo ivuke maji kwenda congo hawataki wanaishia kujenga bandari sehemu ambazo hazina uchangamfu walianza kipili pakafeli, saizi wako kabwe nayo itafeli.

Poor government support
Nyie kama wakazi wa eneo husika mmechukua hatua gani? Au mkipeww tishet na kofia mnasahau everything?
 
Mkoa wa Mwanza maendeleo gani aliyofanya mama Samia? Mfano miundombinu ya barabara ni mibovu kupindukia hasa ndani ya Wilaya ya Nyamagana
Wewe umezaliwa na kukulia vijijini huko, so mambo yanayofanyika mjini katu hauwezi kuyaona. Utaishia kupinga na kulalamikia usichokijua.
 
Hili nalo neno,huko nasikia kuna mijengo inaporomoshwa kama mvua ya mawe.
Kumbe unasikia tu.. mimi nilifikiri ulikwenda kushuhudia kwa macho yako ili kujiridhisha kuwa unachosikia ni cha kweli au majungu na porojo kutoka kwa wanasiasa uchwara.

Uwe makini na kila unachokisia. Maana hata 2008 ulisikia kuwa Lowasa ni fisadi, alaf 2015 ukaja kusikia kuwa Lowasa sio fisadi. Kibaya waliosema fisadi 2008 ndio hao hao waliosema sio fisadi 2015.
 
Sasa niende kufanya nini nchi jirani,tena siku hizi wanatutaka tuende na passport.
 
Mbona mtanganyika anatawala kule bila passport?

Wambie wewe ni mpwa wa raisi wao kutokea Mkuranga.
 
Nyie kama wakazi wa eneo husika mmechukua hatua gani? Au mkipeww tishet na kofia mnasahau everything?
Huenda wakichagua wapinzania pia hawaoni mabadiliko.

Mbowe ameshakuwa mbunge kwa takriban miaka 15, lakini ameshindwa hata kuwachimbia kisima cha kuwashukuru wapiga kura wake waliomchagua miaka yote 15 aliyochaguliwa. Alikuwa anakula bata Dar, alaf ikibaki miezi michache ya uchaguzi ndo anajifanya kwenda kufanya mkutano wa hadhara ili kuwahadaa wamchague tena. Hali hiyo wananchi waliichoka na kupelekea kuzomewa na kurushiwa mawe na wapiga kura wake.

Lisu kakaa bungeni miaka 15, Zito miaka 15 na wengine wengi, lakin hakuna cha maana walichofanya kwenye majimbo yao.
 
Hahaha umejaribu sana ku spin lakin bado natudi pale pale. Eneo husika walishajaribu kuchagua upinzani? ( masuala ya mbowe na lissu kupanda na kushuka hayanihusu, siwazungumzii wao)
 
Ikiwa walijaribu walishindwa kuona matokeo chanya kwa waliojaribu. Inakuaje na wao waendelee kupoteza muda kujaribu.

Cha muhimu ni kuchagua mtu sahihi bila kujali chama. Anaeleta kofia kama haeleweka mnachukua na hamumchagui. Ila kama anaeleweka mnamchagua.
 
Raisi Samia hawezi kushinda Mkoa wowote bila ya kuiba Kura.
 
Karibu tamasha la kizimkazi kusini UNGUJA ufurahie huduma za tigo zantel na mtandao wa 5G tigo zantel imeitika kizimkazi nawe itika 18_25 agost haha😃😃😃😃😃😃😄😄😄😄😄😄
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta maendeleo katika wilaya, mikoa na nchi yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Lakini kama ilivyo desturi ya sisi binadamu unapokuwa na mambo, vitu au watu zaidi ya watatu ubavuni kwako, ni wazi kuwa hautoweza kubalance upendo wako kwao yani iwe mia kwa mia kwa kila mtu au kitu. Ni lazima mtu au kitu kimoja utakipenda zaidi ya kiingine.

Hili hutokea hata kwa mzazi mwenye watoto mfano wa5 hujikuta anampenda mtoto mmoja au wawili zaidi ya awapendavyo waliobaki, japo kama mzazi huwa haoneshi moja kwa moja upendeleo wake huo kutokana na kutaka wale wengine wasijisikie kubaguliwa nk.

Hivyo basi hata raisi wetu, ni raisi wa nchi nzima, lkn ukweli ni kwamba kuna baadhi ya mikoa ambayo amekuwa akionesha kuipenda na kuijali zaidi ya mikoa mingine, na hili limekuwa likionekana kupitia miradi mbali mbali kabambe aliyoielekeza katika mikoa hiyo hata kama anajaribu kutokuonesha kuwa ana baze zaidi huko, lkn wafuatiliaji tunaona wenyewe kwa macho yetu na kusikia pia kwa masikio yetu.

Mikoa hiyo ambayo inabahati mno na serikali hii ni 👇

1. Dodoma.
Mkoa huu pamoja na kwamba raisi aliekuwepo madarakani hayati John P. Magufuli aliupenda na kuelekeza zaidi macho yake huko, pia umeendelea kuneemeka na uongozi huu wa awamu ya 6 chini ya raisi Samia na kupelekea miradi mingi ya maendeleo kupelekwa huko.

Nafikiri haya yamesababishwa na hadhi yake kama mji wa serikali na makao makuu ya nchi.

2. Kigoma.
Mkoa wa Kigoma pia unazali na uongozi huu wa raisi Samia. Japo mkoa huu una kiongozi mmoja mkubwa wa chama cha upinzani, na historia yake ya baadhi ya vijana kushikiwa akili na kupenda kuunga mkono wapinzani mbali mbali, lkn raisi Samia hakujali hayo.

Ameelekeza nguvu na miradi katika mkoa huo kuliko kiongozi mungine yoyote aliewahi kutawala kabla yake. I hope hiyo miradi ikikamilika basi Kigoma itakuwa Small "Chicago", achilia mbali zile stori za mh Kikwete kwamba angeigeuza Kigoma kuwa Dubai kwa maneno tu matupu bila vitendo wala kutoa hela za miradi husika.

3. Mbeya.
Huu mkoa nao ni miongoni mwa mikoa inayofaidika kwa kasi kupitia uongozi huu wa awamu ya tano. Kabla ya hapo mkoa huo ni kama vile ulikuwa umesahaulika kimtindo, maana hata miundo mbinu ya mkoa huo kwa upande wa barabara, shule, hospital nk vilikuwa hovyo, ila toka raisi Samia aingie amekuwa akionesha kushirikiana na mbunge Mbeya mjini ambae pia ni spika wa bunge kuleta maendeleo ya kweli katika mkoa huo.

Kwa kuonesha kuwa anaupenda mkoa huo kwa vitendo, serikali ya raisi Samia tayari imeshatoa mamilioni ya miradi kwa ajili ya shule, barabara nk. Japo kuna baadhi ya watumishi wa serikali kutoka mkoa huo wanaonekana kutohitaji maendeleo katika mkoa huo kwa kutafuna mamilioni ya baadhi ya miradi kama alivyosema raisi Samia alipokuwa ziarani mkoani huko, lkn ni kama vile bado hajachoka kuendeleza miradi katika mkoa huo, bila kujali baadhi ya wapinzani ambao wao wanachotaka ni kuingia bungeni tu bila kujali maendeleo anayowaletea raisi Samia katika mkoa wao.

Baadhi ya wanasiasa wenye familia zao Ulaya na Marekani ambao kiasili hawatoki katika mkoa huo, wamekuwa wakiwahadaa vijana ambao wengi wao walikimbia shule mkoani hapo, wapinge miradi hiyo ya maendeleo ili uchaguzi mkuu utapofika wachaguliwe wao tu na vyama vyao.

4. Mwanza.
Mkoa wa Mwanza pia ni kama Dodoma. Ulikuwa na zali chini ya serikali ya awamu ya 5 ya hayati Magufuli, na bado umeendelea kuwa na bahati pia chini ya serikali hii ya awamu ya 6 ya raisi Samia.

5. Mtwara....

6. Lindi....

Kama kuna mikoa mingine ambayo imeneemeka na uongozi wa raisi Samia alaf sikuiandika basi ndugu msomaji unaweza kuiandika hapo chini....

Karibuni.
Huwa unatoa wapi hivi VICHEKESHO??🤔🤔😅
 
Miradi ya maendeleo katika hiyo mikoa siyo zawadi, wala hisani, ni pesa zetu zinazotokana na kodi, na mikopo ambayo inalipiwa na Kodi zetu.

Kwahiyo wanainchi wataunga mkono chama kutokana na sera.
 
Mbeya hawapendeki hao na ninwajuaji sio sehemu sahihi kimkakati sana sana anamsaidia Spika Tulia tuu maana bila huyo huo Mkoa wangeshautelekeza una watu jeuri wajuaji na wabishi wanaotaka Ligi mda wote ndio maana ujenzi wao ni hovyo hovyo Bora liende.

Kuna Mikoa ni ya CCM hakuna Cha Upinzani kama Ruvuma,Manyara,Tabora,Katavi,Rukwa,Njombe,Iringa, Morogoro,Pwani,Tanga ,Lake zone yote kasoro Mara.

Kiufupi Tanzania hakuna upinzani labda ccm wakosee kuchaguana
Weka tume huru ya uchaguzi, uone.

Weka Policcm pembeni, ndo utajua kama Kuna upinzani au hamna upinzani 😎😎
 
Karibu tamasha la kizimkazi kusini UNGUJA ufurahie huduma za tigo zantel na mtandao wa 5G tigo zantel imeitika kizimkazi nawe itika 18_25 agost haha😃😃😃😃😃😃😄😄😄😄😄😄
1) Kwenye kuchagua viongozi wa chama cha upinzani taifa.. Ni lazima mwenyekiti, makamu, katibu mkuu na viongozi wengine waandamizi watokee kaskazini.

2) Kwenye kuchagua sehemu ya kufanya maandamano ambayo yatasababisha vurugu, biashara za watu kufungwa, watu kupigwa, kujeruhiwa na wengine kupata ulemavu wa kudumu basi ni lazima iwe Mbeya au Songwe.

Yani mpaka leo 2024 watu wa Songwe na Mbeya wameshindwa kujua tu kama wanatumiwa na wanasiasa wa kaskazini kwa faida zao na familia zao. Haitotokea kuona maandamano ya aina hii yanapangwa kutokea Moshi hata siku 1. Sababu watu wa Moshi wanajitambua, hakuna atakaekuwa tayari kufunga biashara yake eti aende akaandamanishwe na Mbowe.
 
Huu ndiyo mkoa pendwa
Ni lini Mbowe ata andaa maandamano Moshi? Au anahofia hayatopata watu? Maana hakuna mtu wa Moshi atakaekuwa tayari kufunga duka lake eti akaandamanishwe na Mbowe ambae walimpa ubunge miaka 15, akawa anaishi zake Dar bila kuwasaidia chochote.
 
Back
Top Bottom