Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

Umesoma vizuri nilichokiandika kama umeelewa wapi nimemlaumu rais wasasa. Nilichojibu nikukuonyesha kigoma hatusjikiwi akili ilonimepinga alafu swala watendaji kuharibu sio swala lawanakigoma niswala lamamlaka sisi wanakigoma tunataka huduma pia siasa nihatari MTU mwenye akili timamu unaweza jiuliza mkuu wamkoa na wilaya wanamuakilisha nani?nawanawakilisha nini?

Ikiwa pesa hizo zinachezewa wao wapowapi? Bilakutoa taarifa mapema kwenye mamlaka ya uteuzi? Hapa inawezekana tunachezewa .hebu tusubiri kitakacho jiri lakini mpaka sasa hatujajua pesa iliyokwama au kuchezewa ni yamradi gani hajaambiwa. Je wewe unaweza kutueleza nizamradi gani? Hatupingi walasilaumu nahitaji kujuwa
 
Inadhiilisha kwamba wakubwa wakaapo mezani uulizana je mkoani kwako unataka serikali ikuletee nini, Dr Mpango akajibu nataka 1,2,3, Mh. Spika je,? Nataka 1,2,3 na we mh. Waziri mkuu nataka 1,2,3 basi nitamuhimiza waziri wa fedha aanze mchakato , kwahiyo kama mkoa wako hauna mtu wa kuonana na Rais ana kwa ana miradi mikubwa utaisikia kwenye bomba.
 
Vitu hiv wapinzani hawavioni hata kidogo mbaya zaid wamewapa wananchi sumu nao wanajifanya hawaoni
Rais huyu tukimpa support nchi hii itabdlika chap
Alikuwa kusini ni mradi gani mpya alizindua au uliokamilika? Naomba jibu tafadhari.
 
Toa ujinga wako hapa,bei za magari za ku google ndio Huwa zinakufanya uwe barabarani?

Kama bei ni chee Kwa nini awamu zingine zilishindwa?
Kwahiyo hutaki kuwa ni bei ndogo wala haitaji kusifiwa au? Kuna vituo vya afya ukienda hata dawa ndogo zinazopatikana maduka binafsi nazo hawana kwahiyo zikiletwa tumsifie kuwa kafanya jambo la ajabu, Punguza ujinga, JITAMBUE
 
Ebu tupe maelezo ya kilichofanyika huku kwetu. Usituuzie mbuzi kwenye gunia hapa
Wewe uko kijijini nanjilinji huko, kamwe hauwezi kujua yanayofanyika mjini na hata ukiambiwa hautaelewa.

Subiri 2025 jamaa yenu aliekusanya michango yenu na kukimbilia Ulaya kula na familia yake ataporudi kuja kuomba michango mingine na kura za uraisi.
 
Hata kwa wapinzani vyeo vya juu kuanzia mwenyekiti hadi katibu mkuu ni vya watu wa kaskazini tu.

Nyinyi wengine wa Mbeya, Kigoma, Songea nk mnaachwa ili mtumiwe katika maandamano na matusi ya kupinga maendeleo yanayoletwa na serikali katika mikoa yenu.
 
Alikuwa kusini ni mradi gani mpya alizindua au uliokamilika? Naomba jibu tafadhari.
Basi msubirini yule jamaa enu aliekimbilia Ulaya kula bata na kuwalipia watoto wake ada kupitia michango yenu, aje tena kuchangisha na kuomba kura zenu.
 
Najua kisa suala la bandari ndo maana unaropoka,vyovyote iwavyo mbeya itabakia kuwa na watu wenye msimamo kwenye haki bila kujali adhabu itakayo wapata dhidi ya huo msimamo.Binadamu anatakiwa awe hivyo na si uchawa ambao unakudhalilisha kisa tu kuna gain fulani utapata,dunia ya wanaojitambua uchawa hauna nafasi.
 
Acha uongo wewee!!

Hauwezi kuwa na msimamo huku akili yako umemkabidhi mwanasiasa fulani atembee nayo, na hicho ndio kinawaponza vijana wengi wa Mbeya.

Akili zao zinashikiliwa na wanasiasa fulani uchwara wa upinzani ambao wanazi control akili hizo watakavyo, mfano leo mwanasiasa huyo akiamua kuzi control akili hizo zipinge maendeleo zitapinga, akiamua kuzi control ziunge mkono zitaunga.

Tumeona jinsi washika akili hao walivyofanikiwa kuzi control akili za vijana hao wa Mbeya ili kumpiga vita Lowasa kwa ufisadi, lkn baadae waka zi control again ili zimpigie Lowasa deki barabarani na kumpigia kampeni ya uraisi na wakafanya hivyo.

So huo sio msimamo bali kuna wajanja fulani kutoka nje ya mkoa huo ndio wamekuwa wakiendesha harakati za vijana hao kupitia akili zao wenyewe. Kinachofanyika ni kuhakikisha vijana hao wanapinga kila zuri ili uchaguzi utapofika wale wasiofahamu waendelee kukichagua chama chao kinachoongozwa na viongozi wanaotokea nje ya mkoa huo.
 
Kwa Mimi ninaomba kawekeza kote .
 
Mimi sio mfatiliaji wa mambo ya siasa, lakin ulichoandika ni kama kina ukweli fulani ivi
 
Mnataka nini kifanyike?
 
Basi msubirini yule jamaa enu aliekimbilia Ulaya kula bata na kuwalipia watoto wake ada kupitia michango yenu, aje tena kuchangisha na kuomba kura zenu.
Kwani mishahara ya Samia na maposho yote si Michango yetu na wewe ukiwemo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…