Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

Bila kuweka mkoa wa Kilimanjaro list hii Ni BATILI😁😅🤪
 
Mmesawahau wapare, wanyiramba na wanyaturu, naskia pia ni wavumilivu.

refers mke wa tumbili[emoji3064][emoji91]
 
1 ndimgalya sida 5 awe wa kibondo 10 asipige ugimbi
 
Toa mwanza maana wanawake kibao wa mwaza wapo Dar wamewakimbia wanaume zao na watoto
 
Hivi utapataje tabi za watu Kwa mipaka ya Kisiasa na kiutawala! Kuna Mikoa Ina mchanganyiko wa watu,kidini ,kikabila,utamaduni,kiuchumi nk!
Mfano Mkoa wa.Morogoro unaanzia Bwawani kwa Wakwere ,Kuna Wakagur,Wazigua,Waluguru,Wandamba,Wazaramo,Wakutu,Wahehe nk latika mazingira haya hio tabia ya uvumilivu utaipimaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…