Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

Sijaiona kaskazini kabisa,
Ila enweiz nitatembea na nyota ya Makao Makuu, No. 12 siyo mbaya kuliko kutokuwepo kabisa..!!

Depal Darlin siamini 'wakaskazi' siyo wavumilivu kiasi hiki hata 10 bora tumeshindwa toboa..??
Hiyo ni uwongoooo sis 🀣🀣
 
Umesahau Kilimanjaro. Hakuna mwanamke mvumilivu nchi hii Kama dada zangu wa Kipare.
Shikamoo wanawake wa kipare especially wa wwilaya ya Same na Lushoto.
 
Sijaiona kaskazini kabisa,
Ila enweiz nitatembea na nyota ya Makao Makuu, No. 12 siyo mbaya kuliko kutokuwepo kabisa..!!

Depal Darlin siamini 'wakaskazi' siyo wavumilivu kiasi hiki hata 10 bora tumeshindwa toboa..??
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Hao wanatuonea wivu dada angu
Ntakuita kwenye anivesariiiiii
Eti Depal unasemaje kwenye hiliπŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe kama kungwi wangu
 
Kwa hiyo mfumo dume una mafanikio? Maana mikoa hiyo ina wanaume wana misimamo hatari.
 
Mmmmh kaka kwa Dom unatupanga ,,Tabora ,Simiyu,,Geita,,Shinyanga kwa sasa hamna kitu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijaiona kaskazini kabisa,
Ila enweiz nitatembea na nyota ya Makao Makuu, No. 12 siyo mbaya kuliko kutokuwepo kabisa..!!

Depal Darlin siamini 'wakaskazi' siyo wavumilivu kiasi hiki hata 10 bora tumeshindwa toboa..??
Kaskazini mjadala wake tulishaufunga dada, huko hakufai hata kidogo. mabinti wa kaskazini ni wajuaji aisee acha kabisa[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kuna mikoa hapo umeipendelea.
 
Eh Morogoro haipo so wakaguru na warugulu hawana uvumilivu?!πŸ™„
 
Namba 12 sikubaliani nayo hapo kwa mimi mbeya ndio naweza tuliza moyo wangu hao wengine ilikuwa zamani sio sa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…