Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

Balaa tupu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila naamini lazima ndani kitakuwa na Cabin Pressurization System kama kwenye ndege ili kupunguza madhila ya nje. Hapo sasa itakuwa hakuna kifungua vioo mpaka safari iishe.​
Kiufupi hizo ndio zile wanaita bullet trains , na no nchi chache wamefanikiwa kuwa nazo , Germany napo hii project ilikuwa kwa majaribio ,sijajua wamefikia wapi sasa hivi , Japan , Southern Korea na huyu China Kwa sasa
 
Wakuu mnajiaibisha!

maglev hazigusi reli,kwanini mchangia kitu msichokielewa?
Hawajui tofauti ya maglev na Electrical motors driven trains kama hizi za TRC.
Maglev ni expensive balaa , hao Germany wenyewe walifikia kwenye testing Tu ,hawakuweza kuiemplement kuziingiza katika matumizi ya kiraia
Korea na Japan ndio wameweza kueoperate hizi projects mpaka sasa ,naona na china Kaunga tela .
Sisi tukomae kwanza tutandaze networks za trains za umeme za speed ya kawaida hizi kwanza maana bado tuko nyuma sana na nchi inahitaji hata huduma na miundombinu ya taifa za kawaida ambazo ni reliable na efficient .
Hii Nchi kinachotakiwa ni efficiency katika uendeshaji wa miradi na ndipo tunapofail
Hii Nchi inayoshindwa kuendesha project ya magari ya mwendo kasi ndio ifanye implementation ya complex projects kama hizi ?
 
Kiufupi hizo ndio zile wanaita bullet trains , na no nchi chache wamefanikiwa kuwa nazo , Germany napo hii project ilikuwa kwa majaribio ,sijajua wamefikia wapi sasa hivi , Japan , Southern Korea na huyu China Kwa sasa
So China has simply won the so called Metro Race. Wakati Ulaya na Marekani wanawekeza kwenye vita na lgbtq, macho madogo wanawekeza kwenye tafiti za kisayansi, elimu na miundombinu.

Marekani angekuwa anajiheshimu angekuwa nazo hizi across the entire Western Hemisphere, ila ndiyo hivyo tena, kipaumbele chake ni vita na wanaume kwa wanaume kuoana.​
 
Na hiyo tech muasisi na German
Yeah ,! Pioneers WA hii technology ni wajerumani hasa makampuni kama Siemens nk , wamefanya sana hizi research and development kuhusu maglev na hata China huko hata hiyo project ya Shanghai ile project imekuwa designed na kampuni za kijerumani na hata equipments na machineries za huo mradi ni za mjerumani kwa kiasi kikubwa , wao wachina makampuni yao wameshiriki kwenye implementations .
Mwisho wa siku hii kitu ni gharama , kama serikali inapesa wanafanya , ila ni very expensive .
Mchina pesa ipo ndio maana kaweza kuimplement na kumaliza faster .
Sisi tuendelee na ngedere wetu wa sgr
 
Hivi miundo mbinu ya treni hiyo si itakuwa ghali sana?
 
Marekani ile nchi deep state Ndio wanaiharibu , wanaotafuna pesa za federal government kwenye mambo ya kipuuzi kama vita , racket za kusomba pesa za umma na kunufaisha wazalishaji wa silaha .
Mmarekani hajashindwa kutengeneza hii kitu ni vile Tu failure ya sera zao humo .
Maana hata miundombinu yao ni poor na wanazidiwa na nchi nyingi zilizoendelea ,si train Tu , hata barabara nk .
Biden na ile infrastructure bill sijui walifikia wapi , walikuwa wamepropose serikali yao ifanye heavy spending kwenye miundombinu
 
Magnetic Levitation. Bonge la technology na nadhani ni cost efficient kuliko ya mataruma na SGR
No ,hii ni super expensive .
Na uendeshaji let alone implementation ya mradi inahitaji watu walio serious na kazi na wenye maarifa ya hali ya juu na si ukanjanja huu wa kuteua Makada kuwa wakurugenzi wa mashirika , si vilaza hawa wa TRC ,
Tunahitaji overhaul na kutengeneza shirika upya na mifumo mipya kama tuna ndoto ya kuwa na hii kitu siku moja .
 
Amini kwamba 🀣 makada ni full of shit
 
Mkuu mbona unatudanganya. Hili jaribio limefanyika lini aise?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…