Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

Ndio yale yale unakuta mtu kisogo kirefu anakwambia wanaoamini Mungu hawajielewi,wakati wamemzidi kila kitu mpaka hup urefu wa kisogo na yeye pamoja na kuwa haamini Mungu bado amepauka,sasa sijui huwa wanataka kuhalalisha jambo gani!!!
 
Hiyo ni kufuru tu uisemayo. Huyo bwana alikuwa so much overrated kama ilivyosemwa hapo juu. Penda sifa asizozifanya. Hatukopi huku anakopa!
 
Umeanza vizuri umeharibu mwisho.magufuli wa Nini??
 
Ila mengine mnakua kama mnampa umungu mtu, yaani kwamba Magu angekaa hiyo 5yrs iliyobaki tungekua kama china kwa miundombinu??

Acheni utani wajameni.
 
Vingine tuna exaggerate (sorry to say this)Swali la kujiuliza wenzetu China wametumia miaka mingapi kufika kwenye hiyo tecknolojia?Bado tuna safari jamani hata angekuwepo the late Magufuli.
 
Leo nataka nibaki JF na rafk angu wa kike, wengine nendeni kwenye mpira mniachie jukwaa
 
China ilianza kujenga mfumo wa usafiri wa UHS maglev katika Kaunti ya Yanggao mwaka wa 2022, mfumo huo unalenga kuunganisha teknolojia ya anga na mfumo wa usafiri wa reli kwa lengo la kuendesha treni kwa kasi ya maili 621 kwa saa.
Mchawi mtelemko tu hapo hata Sisi tunaweza Reli ijengwe kwenye mtelemko treni inaseleleka tu speed za ajabu kwa saa inapitiliza mpaka kituo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…