residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Mwanaume bikra ana kila haki na sababu ya kuoa mwanamke bikra.Bikra ni halali kabisa kuoa, je wewe mwenyewe umejitunza au ni double standards tu za mahusiano ilimradi tuwasigine Ke?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hiyo body count ina matter upande mmoja tu kwa mwanamke au pande zote mbili kwa mwanamke na mwanamme?
Acheni huo ujinga sex ni baina ya watu wawili yaan alaumiwe matongozwaji
Alietongoza anaonekana yupo sahihi
Hivi mnafikiria kwa kutumia nini?
Ndiyo Kiranga kauliza body count inahesabika kwa Ke tu ila kwa Me ni sahihi, Me tuna unafki mkubwa mno.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Mwanaume bikra ana kila haki na sababu ya kuoa mwanamke bikra.
Mwanaume anasoma km kadhaa (mtumba), kwa nini atake kuwa "mkono wa kwanza" yeye kwa mkewe!!???
GIGO.
Mimi nikisoma comment hua nashangaa watu walivyo wajinga
Unakuta mwanaume alielala na wanawake zaidi ya kumi anataka kuoa bikra hivi mtu kama huyu kwa akili ya kawaida yupo timamu?
Kuna "equality" na "equity".Masimp sijui tutawaelekeza hili suala mpaka lini. Wazee, mwanaume na mwanamke hawahukumiwi kwa vigezo vinavyofanana. Hata hao wanawake wanaojitetea hapa wanaelewa vizuri kabisa mwanaume pia ana upande wake unambana lakini wao eanapeta tu mfano provision. Ndio maana equality ya promiscous past wanayopigania hapa hawawezi kuipigania hiyo equality kwenye provision au kulipa bill. Trust me, meanamke awe na nafasi ya kumchagua mmoja kati ya playboy mwenye hela na church boy ambae bado hajasimama kimaisha, atamchagua playboy mwenye hela
Inasikitisha sana.View attachment 3697492
NDOA IMEBAKIA TU KAMA TITLE NA SIO KITU KILICHO SACRED
Hivyo ndio nature ilivyo, mwanaume ni provider sio tu kwa material things kama hela, mavazi nk lakini pia anahusika na kuprovide sexual and relationship advances.Kwanini kwanza asilaumiwe mtongozaji maana yeye ndio chanzo
Hivi hamuwezi kuwaza kwa kutumi akili ya kawaida?
Ndivyo ambavyo na sisi huwa tunashangaa unakuta mwanamke maskini mbwa takataka lakini anataka kuolewa na tajiri π€Mimi nikisoma comment hua nashangaa watu walivyo wajinga
Unakuta mwanaume alielala na wanawake zaidi ya kumi anataka kuoa bikra hivi mtu kama huyu kwa akili ya kawaida yupo timamu?
Tajiri huaga hana mbwembwe masikini ndio tutwa kujimaliza huu ni ukweliNdivyo ambavyo na sisi huwa tunashangaa unakuta mwanamke maskini mbwa takataka lakini anataka kuolewa na tajiri π€
Kwa hiyo unatongoza ili ukataliwe ππHivyo ndio nature ilivyo, mwanaume ni provider sio tu kwa material things kama hela, mavazi nk lakini pia anahusika na kuprovide sexual and relationship advances.
Kama kawaida mwanamke wewe ni mpokeaji, na kama mpokeaji umepewa jukumu la gatekeeper kwenye suala zima la mahusiano na ngono.
Gatekeeper usipokua imara jamii haitawalaumu wengine zaidi ya wewe mlinzi wa geti.