ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Usihudumie mwanamke hususani kama kipato chako ni kiduchuVipi wanawake ambao mmepewa fursa zote sawa na wanaume lakini bado mnataka wanaume hao hao wawahudumie. Nyie hamuoni ujinga wenu?
U selfish ndio una watesa nyie mnataka kumchkulia mwanamke kama mtumwa na sio msaidiziUpo sahihi kinadharia, lakini practically unachoongea ni kigumu sana kutokana na namna mahusiano yetu waafrika yanaundwa. Kuanzia mwanaume anapotongoza mpaka kuoa(kama mkifika hatua hiyo) anabebeshwa gharama zote za kuendesha mahusiano kama kuhudumia, kulipa mahari, harusi n.k.
Mfumo tulioujenga unampa mwanaume mentality ya kummiliki meanamke. Kwa unachokiongea ili kukileta kwenye practice kwanza wanawake anzeni kupiga vita suala la kuhudumiwa na mwanaume, mahari na kumbenesha mwanaume gharama zozote za mahusiano, yaani kinachowaunganisha kiwe mapenzi tu suala la hela kila mtu afanye abaki na hela zake au wote mchangie bill. Wazungu wanafanya hivyo. Hakuna masuala ya kuhudumia girlfriend kule ndio maana ni ngumu sana kusikia watu wameuana kisa mmoja kachapiwa.
Changamoto ya wanawake wa kiafrika hamtaki roles za traditional woman kama loyalty, submisive, housewife n.k lakini mnazitaka benefits anazozipata tradition woman kama provision, sacrifices na commitment kutoka kwa mwanaume. Hapo ndipo mnaishia kupigwa risasi na kucharazwa mapanga
Kwa point hiyo, hapo kweli fumanizi la simu halipo.Kushikiana simu siyo Shida mkuu, kama hapo jamaa kashapewa taarifa kwamba asitafute mpaka atafutwe yeye.
Kwahiyo unaweza kuomba simu ukapewa na usione chochote, ila mke akipata muda anampigia mshikaji wanamanuana kama hakijatokea kitu.
Ni kubaya mazee
Wewe hutaki mke son?Wanandoa mna kazi haswa .....
Usihudumie mwanamke hususani kama kipato chako ni kiduchu
Kwa sababu utabaki na majuto
kuhudumia hua hulazimishwi ni wewe tu na kiranga chako
U selfish ndio una watesa nyie mnataka kumchkulia mwanamke kama mtumwa na sio msaidizi
Hayo niliyosema yanawezekana
Ila ukahidi tu
Point ni kwamba kwanini mnatamani matajiri ilihali na nyie hamna huo utajiri?Tajiri huaga hana mbwembwe masikini ndio tutwa kujimaliza huu ni ukweli
Point ni kwamba wewe tafuta tajiri mwenzio masikini anaetamani matajiri muache mbona simple😊Point ni kwamba kwanini mnatamani matajiri ilihali na nyie hamna huo utajiri?
Sahihi kabisa!Point ni kwamba wewe tafuta tajiri mwenzio masikini anaetamani matajiri muache mbona simple😊
Ni tofauti sana huo mfano mwanamke anataka au kutamani tajiri hakuna sehemu yoyote aliecha athariSahihi kabisa!
Na wewe tafuta bikra mwenzio alietumika anaetamani bikra muache, it's that simple too 🤭
Logic niliyotumia Inakata kila upande mkuu mie hua naangalia haki sio kusimama na gender fulani kuhalalisha jamboMimi sina shida na suala la kuhudumia mwanamke ambaye naona anastahili. Mke wangu wangu namhudumia kila kitu na tunaishi kwa amani na upendo. Nimeuliza tu hiyo logic uliyotumia wewe. Inakata kila upande, au ni logic inayotumika pale mnapokua wanufaika tu?
Nimesema je mwanaume anaetoa hela na baadae kulalama huoni ni ujinga kaka?Kama unaona kumpa mtu hela ni rahisi basi fanya kazi ukilipwa mshahara wako mwisho wa mwezi gawa kwa watu/mtu
You see, kumbe hiyo logic ipo applicable only when it favours you! 🤗Ni tofauti sana huo mfano mwanamke anataka au kutamani tajiri hakuna sehemu yoyote aliecha athari
Wewe unaetamani bikra huku umepita na msururu wa wanawake hao wanawake una muachia nani?
Kama nini huyo mwanamke bikra usimwachie wanaume wenzio walio jitumza I mean wanao deserve
Tumia akili kusoma comment yangu badala ya kujibu kama tuna sutana utaona hoja yangu
Ma X zangu wengi tu wameolewa na bado nikitaka napewa mpaka leoBody count matters more... .. huwezi oa manze body count inasoma 5+ halafu unambie wewe muoaji ambaye una Nia ya kweli utegemee huyo mwanamke awe na strong Emotional attachment kwako...
tunafanya co-oparenting kwa sasa, ntaoa baadae sana nikifka 35yrsWewe hutaki mke son?
Bikira utamtoa wapi? Ulivisikia while vya jana mtandaoni? Vile vyote vilishababuliwa!Na ukishamkuta ashatumika namba ya body count hauwezi kuijua kwahiyo suluhisho ni kuoa bikira tu. Tatizo tukisema ukweli ndio wanawake na waliooa mitumba wote wanaungana kutushambulia
Hata wa Kwako hivyo hivyo anagongwa na ma-X wake!Ma X zangu wengi tu wameolewa na bado nikitaka napewa mpaka leo
Hapa linapangwa zuzu, demu ameshapata mtu serious ndio anasepa, ungekuwa mwanaume kweli ungemuowa wewe.View attachment 3697492
NDOA IMEBAKIA TU KAMA TITLE NA SIO KITU KILICHO SACRED
Hakuna mwanamke anayejitambuwa anafanya biashara hiyo, ukiona hivyo hiyo ndoa ni ya kuondowa nuksi tu kajishikiza tu.Ma X zangu wengi tu wameolewa na bado nikitaka napewa mpaka leo