Hii nguo Kila nikiivaa nakutana na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia

Yeah niliona bei za nguo ziko juu kule.
Lakini ililazimu kununua
Nguo zao wanafata Dar na wanafata zinazo fanana ndiyo maana kwenye maduka yao utakuta nguo zile zile tu, hawajui Biashara ya nguo, wao Biashara nzuri wanaleta vitu Used ndiyo wanaleta bidhaa nzuri.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…