Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

WATANGAZAJI WA KISASA NI MBUMBUMBU.

Akina Adam mchomvu.
Zembwela, swebe, seki, JUMA lokole, Dida,

AMA KWELI KAMA NCHI TUNAZIDI KUPOTEA, TAIFA LINAELEKEA KIFO.
Tanzania kuna uhaba mkubwa wa waandishi wa habari na watangazaji wengi ni failure waliookotezwa hapa na pale. Na wachache wenye ufahamu tamaa imetangulia mbele
 
Huyu Mama angekuwa kwenye nchi ya watu wanaojielewa,angekuwa amerudi Zanzibar na Waziri wake.Serikali na Bunge wanadharau sana Wananchi!
kama hujielewi acha wanaolewa wakuletee maendeleao
 
Sijui ni nini kifanyike. Lakini Picha hii hapa. Hawa watu wameenda Dubai kula maisha na Wakarudi hapa kuja kupigia chapuo DP world. Hii ni hujuma zidi ya Watanzania.

View attachment 2666193
Kushabikia au kuunga mkono Mkataba wa DPW kama ulivyo hivi sasa bila ya kufanyia kwanza marekebisho muhimu yanayopendekezwa na watu wengi ni kufanya USALITI DHIDI YA WATANZANIA, hasa Watanganyika.
 
Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima.

Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai. Kiuhalisia wote waliohojiwa ni kutoka kwa ndugu zetu unguja na pemba (Zanzibar).

Mambo mengi mazuri Sana ya DP world yameongelewa,ikiwa pamoja na bandari kupokea meli 30 kwa wakati mmoja na kuhudumia meli sita zenye magari 3k kwa siku mbili tu. Mambo ni mengi.

Lakini Hawa jamaa ni wanajizima data au hawajui kilio Cha wanaowapinga hao DP world kuwa siyo ufanisi wao Bali ni MKATABA mbovu na wa kinyonyaji na wakivhief Mangungo baina yao na Tanzania?

Hata dada yetu wa Jf bi Faiza Fox nae aliandikw uzi wenye mtazamo huu huu wa kina Zembwela kuwa "DP world wapo hadi Uingereza iweje nyie walala hoi watanganyika mnawakataa". Akapigwa maswali haya haya,umeuona mkataba wa Uingereza? Au mkataba wa Uingereza na huu wa kwetu unafanana?

Alafu kingine; hivi ni nani amawafadhili Hawa jamaa watatu? Huko Dubai? Maana wanajimwayamwaya kama wafalme. Na Wana ego balaa,full kujisifu.

Hii nguvu ya DP world kwenye media za bongo siyo mchezo.

Lakini Hawajui kuwa ukimsisitiza Sana Mtu kuwa kitu chako ni ni kizuri ndivyo unavyomfanya astuke kwamba kwa nini jamaa ananilazimisha Sana nione hiki kitu chake kipo sawa? Jamaa wanafosi mpaka kila mtu Sasa anajua kwamba wanalazimisha!!

Hii tabia tunayo Sana sisi mawinga/ wazee wa kulenga hapa kariakoo. Nikiona hiki kiatu ni 'mdosho',nguvu ninayotumia kukuaminisha kwamba ni kiatu genuine ili uingie mkenge siyo ya nchi hii. Ukifungua wallet tu tukamalizana napita hivi,utajijua mbele ya safari. Ukikivaa ukapiga hatua zako 20,mguu unanyanyuka,soli inabaki chini.

Nikimwangalia Gerald Hando ni Kama Mtu mwenye kujistukia tofauti na wenzie. Hawa jamaa wawili wanaupepeta mdomo si mchezo. Hawana breki.
Hata mmi ishu yangu cyo ufanisi wa kazi yao hiyo sina shaka nao kabisa hofu yangu ni mikataba je? Hizo mikataba ni rafiki hata bungeni nlitamani wazungumzie ishu ya mkataba ngoja niseme ivi sisi tuna watu wanaojiita viongozi ma mbumbumbu cjapata kuona waganga njaa wa kiwango cha lami
 
Ndio kwani ni wakina nani huko daslam...🤔🤔
 
Eti huyu ndiye msemaji wa DP world
Yani huyu ndiye ameenda kuhojiwa na kujibu maswali ya watanzani!

Leo ndio nimeamini hawa watangazaji ni wapumbavu sana na ukitaka kujua ni wapumbavu kaangalie maswali wanayo muhoji sasa hahahH
 
Attachments

  • IMG_0718.jpeg
    IMG_0718.jpeg
    53.3 KB · Views: 2
Sijui ni nini kifanyike. Lakini Picha hii hapa. Hawa watu wameenda Dubai kula maisha na Wakarudi hapa kuja kupigia chapuo DP world. Hii ni hujuma zidi ya Watanzania.

View attachment 2666193
This Scandal is like the STATE CAPTURE SCANDAL that happened in South Africa during the leadership of Jacob Zuma.
Sad enough, our State here in this country has been already Captured.
 
Sijui ni nini kifanyike. Lakini Picha hii hapa. Hawa watu wameenda Dubai kula maisha na Wakarudi hapa kuja kupigia chapuo DP world. Hii ni hujuma zidi ya Watanzania.

View attachment 2666193
Acheni akina kitenge wapige hela. Kitenge Mungu akutangulie. Msimsahau tu zembwela kwenye kundi lenu la ulaji.
 
Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima.

Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai. Kiuhalisia wote waliohojiwa ni kutoka kwa ndugu zetu unguja na pemba (Zanzibar).

Mambo mengi mazuri Sana ya DP world yameongelewa,ikiwa pamoja na bandari kupokea meli 30 kwa wakati mmoja na kuhudumia meli sita zenye magari 3k kwa siku mbili tu. Mambo ni mengi.

Lakini Hawa jamaa ni wanajizima data au hawajui kilio Cha wanaowapinga hao DP world kuwa siyo ufanisi wao Bali ni MKATABA mbovu na wa kinyonyaji na wakivhief Mangungo baina yao na Tanzania?

Hata dada yetu wa Jf bi Faiza Fox nae aliandikw uzi wenye mtazamo huu huu wa kina Zembwela kuwa "DP world wapo hadi Uingereza iweje nyie walala hoi watanganyika mnawakataa". Akapigwa maswali haya haya,umeuona mkataba wa Uingereza? Au mkataba wa Uingereza na huu wa kwetu unafanana?

Alafu kingine; hivi ni nani amawafadhili Hawa jamaa watatu? Huko Dubai? Maana wanajimwayamwaya kama wafalme. Na Wana ego balaa,full kujisifu.

Hii nguvu ya DP world kwenye media za bongo siyo mchezo.

Lakini Hawajui kuwa ukimsisitiza Sana Mtu kuwa kitu chako ni ni kizuri ndivyo unavyomfanya astuke kwamba kwa nini jamaa ananilazimisha Sana nione hiki kitu chake kipo sawa? Jamaa wanafosi mpaka kila mtu Sasa anajua kwamba wanalazimisha!!

Hii tabia tunayo Sana sisi mawinga/ wazee wa kulenga hapa kariakoo. Nikiona hiki kiatu ni 'mdosho',nguvu ninayotumia kukuaminisha kwamba ni kiatu genuine ili uingie mkenge siyo ya nchi hii. Ukifungua wallet tu tukamalizana napita hivi,utajijua mbele ya safari. Ukikivaa ukapiga hatua zako 20,mguu unanyanyuka,soli inabaki chini.

Nikimwangalia Gerald Hando ni Kama Mtu mwenye kujistukia tofauti na wenzie. Hawa jamaa wawili wanaupepeta mdomo si mchezo. Hawana breki.
Hizo ndio dadili nzuri za mkataba mbovu.
 
Back
Top Bottom