Tanzania kuna uhaba mkubwa wa waandishi wa habari na watangazaji wengi ni failure waliookotezwa hapa na pale. Na wachache wenye ufahamu tamaa imetangulia mbeleWATANGAZAJI WA KISASA NI MBUMBUMBU.
Akina Adam mchomvu.
Zembwela, swebe, seki, JUMA lokole, Dida,
AMA KWELI KAMA NCHI TUNAZIDI KUPOTEA, TAIFA LINAELEKEA KIFO.
kama hujielewi acha wanaolewa wakuletee maendeleaoHuyu Mama angekuwa kwenye nchi ya watu wanaojielewa,angekuwa amerudi Zanzibar na Waziri wake.Serikali na Bunge wanadharau sana Wananchi!
Kushabikia au kuunga mkono Mkataba wa DPW kama ulivyo hivi sasa bila ya kufanyia kwanza marekebisho muhimu yanayopendekezwa na watu wengi ni kufanya USALITI DHIDI YA WATANZANIA, hasa Watanganyika.Sijui ni nini kifanyike. Lakini Picha hii hapa. Hawa watu wameenda Dubai kula maisha na Wakarudi hapa kuja kupigia chapuo DP world. Hii ni hujuma zidi ya Watanzania.
View attachment 2666193
Hata mmi ishu yangu cyo ufanisi wa kazi yao hiyo sina shaka nao kabisa hofu yangu ni mikataba je? Hizo mikataba ni rafiki hata bungeni nlitamani wazungumzie ishu ya mkataba ngoja niseme ivi sisi tuna watu wanaojiita viongozi ma mbumbumbu cjapata kuona waganga njaa wa kiwango cha lamiNani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima.
Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai. Kiuhalisia wote waliohojiwa ni kutoka kwa ndugu zetu unguja na pemba (Zanzibar).
Mambo mengi mazuri Sana ya DP world yameongelewa,ikiwa pamoja na bandari kupokea meli 30 kwa wakati mmoja na kuhudumia meli sita zenye magari 3k kwa siku mbili tu. Mambo ni mengi.
Lakini Hawa jamaa ni wanajizima data au hawajui kilio Cha wanaowapinga hao DP world kuwa siyo ufanisi wao Bali ni MKATABA mbovu na wa kinyonyaji na wakivhief Mangungo baina yao na Tanzania?
Hata dada yetu wa Jf bi Faiza Fox nae aliandikw uzi wenye mtazamo huu huu wa kina Zembwela kuwa "DP world wapo hadi Uingereza iweje nyie walala hoi watanganyika mnawakataa". Akapigwa maswali haya haya,umeuona mkataba wa Uingereza? Au mkataba wa Uingereza na huu wa kwetu unafanana?
Alafu kingine; hivi ni nani amawafadhili Hawa jamaa watatu? Huko Dubai? Maana wanajimwayamwaya kama wafalme. Na Wana ego balaa,full kujisifu.
Hii nguvu ya DP world kwenye media za bongo siyo mchezo.
Lakini Hawajui kuwa ukimsisitiza Sana Mtu kuwa kitu chako ni ni kizuri ndivyo unavyomfanya astuke kwamba kwa nini jamaa ananilazimisha Sana nione hiki kitu chake kipo sawa? Jamaa wanafosi mpaka kila mtu Sasa anajua kwamba wanalazimisha!!
Hii tabia tunayo Sana sisi mawinga/ wazee wa kulenga hapa kariakoo. Nikiona hiki kiatu ni 'mdosho',nguvu ninayotumia kukuaminisha kwamba ni kiatu genuine ili uingie mkenge siyo ya nchi hii. Ukifungua wallet tu tukamalizana napita hivi,utajijua mbele ya safari. Ukikivaa ukapiga hatua zako 20,mguu unanyanyuka,soli inabaki chini.
Nikimwangalia Gerald Hando ni Kama Mtu mwenye kujistukia tofauti na wenzie. Hawa jamaa wawili wanaupepeta mdomo si mchezo. Hawana breki.
Naona waneshika na zawadi zao kwenye hiyo mikoba.Sijui ni nini kifanyike. Lakini Picha hii hapa. Hawa watu wameenda Dubai kula maisha na Wakarudi hapa kuja kupigia chapuo DP world. Hii ni hujuma zidi ya Watanzania.
View attachment 2666193
Wameshagawiwa share yaoSijui ni nini kifanyike. Lakini Picha hii hapa. Hawa watu wameenda Dubai kula maisha na Wakarudi hapa kuja kupigia chapuo DP world. Hii ni hujuma zidi ya Watanzania.
View attachment 2666193
Waliopata division F4 Ndio wanao uza nchi.Sijui ni nini kifanyike. Lakini Picha hii hapa. Hawa watu wameenda Dubai kula maisha na Wakarudi hapa kuja kupigia chapuo DP world. Hii ni hujuma zidi ya Watanzania.
View attachment 2666193
This Scandal is like the STATE CAPTURE SCANDAL that happened in South Africa during the leadership of Jacob Zuma.Sijui ni nini kifanyike. Lakini Picha hii hapa. Hawa watu wameenda Dubai kula maisha na Wakarudi hapa kuja kupigia chapuo DP world. Hii ni hujuma zidi ya Watanzania.
View attachment 2666193
Acheni akina kitenge wapige hela. Kitenge Mungu akutangulie. Msimsahau tu zembwela kwenye kundi lenu la ulaji.Sijui ni nini kifanyike. Lakini Picha hii hapa. Hawa watu wameenda Dubai kula maisha na Wakarudi hapa kuja kupigia chapuo DP world. Hii ni hujuma zidi ya Watanzania.
View attachment 2666193
Final agreement bado mkuu.Hiyo kurekebishwa ndio haiwezekani
Hizo ndio dadili nzuri za mkataba mbovu.Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima.