Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

Hayo yote yanakubalika kibiashara ila tatizo la wengi ni contents za mkataba.

Hapo tu warekebishe.

Kwenye ukomo.

Consideration.

Termination.

Governing laws.

Matumizi ya ardhi.
 
Hawa viazi walienda sijui kufanya nini..kama kuna wengine wanahisiwa kuwa wanatumia mtandao pendwa sioni shida kujipeleka kwa Mwarabu..ile rangi ya madhiwa mbaya sana inakata akili zote mtu akikumwagia nyuma.View attachment 2666163
Huyu mama amekazana na mkataba wenye utata.kama watz hatutaki aachane na Hawa jamaa.Sasa hivi mashirika na taasisi nyingi ana wapa waarabu.Utumwa SI unarudi huu.Mpaka amalize atauza nchi yote tubaki watupu.Kwanini wamemlazimisha atumie bunge.Wajanja wale na hamchomoki.Bunge lenyewe la akina waitara hawana lolote
 
Waziri na wapambe
 

Attachments

  • 20230623_153259.jpg
    329.7 KB · Views: 4
  • 20230623_153308.jpg
    81.2 KB · Views: 2
Hawa ni madalali wa DP
 
 

Attachments

  • IMG_20230623_155221_205.jpg
    36.1 KB · Views: 2
Ebu watanzania wenzangu tupunguze woooogaaaa...mpka aibu. Hivi media ikiomba kufanya documentary na hiyo kampuni kuna shida gani?
Niseme ukweli,tatizo letu ni poverty mentality iliyopo
 
Hao ni wasaliti wa nchi wanatakiwa washughulikiwe ingekuwa nchi za wenzetu
 
Wa kupanua uelewa ni Mimi au wewe...?
Hao Rwanda, USA na Uingereza waliingia makubaliano kama haya ya kwenu?
Waliwatumia wabunge na wahandisi wa Habari kupenyeza ajenda zao?
Uliona wahandisi wao wa Habari wakipewa escorts za ving'ora?!
Huoni hata dalili za rushwa na ushawishi usiona wa kawaida kwenye mchakato huu?
Haya... mbona huku tunaambiwa ni bandari zote... Huko kwingineko mbona unataja taja tu mara dry port, mara 8 mara 2...
Kuwa na aibu asee! Panua mawazo!
Mnatuuzia mbwa badala ya mbuzi!
 
Bandari iuzwe au isiuzwe kama una maisha magum ni magumu tuh
Na huo ugumu utaongezeka zaidi na kuhamia kwa vizazi vyako endapo mauzo yatakuwa ya muda mrefu!
Hivi mashuleni ulienda kusoma ili uwe mjinga kiasi hiki??
 
It's so simple, "mkataba urekebishwe tu" ndilo la msingi hatukatai wawekezaji.
Unajiuliza wakiweka kipengele cha kuwa mkataba huu utakuwa wa miaka 30, au kila baada ya miaka kadhaa tutafanya rejea kuangalia performance yake, kwanini wawe na kigugumizi? Au kwanini hawataki kusema ni kwanini hawataki hicho kipengele kiwepo.
 
Hayo yote yanakubalika kibiashara ila tatizo la wengi ni contents za mkataba.

Hapo tu warekebishe.

Kwenye ukomo.

Consideration.

Termination.

Governing laws.

Matumizi ya ardhi.
Consideration ndio kiini cha mkataba (A anatoa nini na B anapata nini in financial details) na kipimo chake ni value of exchange. Consideration isipokuwepo chochote unachosaini ni agreement tu ambayo uwezi mshitaki nayo mtu popote.

Ndio kama IGA, bila ya kuingia mikataba ya HGA; hiyo IGA itabaki kuwa sheria tu ambayo ndani ya miezi 12 toka ipitishwe kama hakuna makubaliano yoyote ya kibiashara yaliyoorodheshwa kwenye appendices; na sheria yenyewe inapoteza nguvu za kimahakama.

Kwenye HGA ndio kuna consideration. Mfano concession agreement ndani mkataba wa utekelezaji maana yake ni sawa na kwenda kukopa bank kwa mfanyabiashara. Ili bank wakupe mkopo unaweka amana ya asset, bank inakukopa hela unarudisha mkopo kwa interest ndani ya muda uliopangwa. Deni likiisha na mkataba wenu umeuisha automatic unless uongeze mkopo.

Concession agreement ndio hivyo hivyo kama mkopo wa biashara bank. Tofauti ni kwamba mwekezaji anakukopa hela, anafanya investments unazotaka. Baada ya hapo ili kurudisha hela biashara anaendesha mwenyewe, mnakubaliana kiasi gani kwenye mapato chako wewe na kipi achukue yeye kurudisha hela plus interest; mkataba unaisha hela yake inaporudi. Ndio maana wanasema muda wa mkataba utakuwa ndani ya HGA.

Governing laws za mkataba zote ni za Tanzania kwenye mambo ya ardhi, kodi na mengine. IGA inaelezea tu kusudio la nchi mbili kuingia mkataba wa kisheria. La msingi kwenye IGA kwa upande wao ambalo ni terms kwenye mikataba yote ya baadae ni article 20 and 23. Hata hizo articles ni mambo ya kawaida duniani kutumia njia hizo kwenye ‘dispute resolutions’ vinginevyo mahakama za usuluhishi duniani zisingekuwa na mashauri tena kesi zingine ni wazungu kwa wazungu huko huko EUROPE.
 
Ebu watanzania wenzangu tupunguze woooogaaaa...mpka aibu. Hivi media ikiomba kufanya documentary na hiyo kampuni kuna shida gani?
Niseme ukweli,tatizo letu ni poverty mentality iliyopo
Humaanishi ulichokiandika hapa! Waandishi wako wapi hapo? Kitenge au zimbwela ndio wa kufanya documentary? Kwa uelewa gani na exposure ipi waliyonayo?
Huu ujinga wa kuanzisha vyombo ya habari na kuajiri watu wasio na taaluma ya habari ni janga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…