Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Wamepewa suti za bure na nepi wamewekewa kwenye hiyo mifuko , wanadalalia nchi yao.
Pathetic.
Siku hizi hamna nepi kidigitali ni pampasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepewa suti za bure na nepi wamewekewa kwenye hiyo mifuko , wanadalalia nchi yao.
Pathetic.
Hata mama yako namkuwadia piakuwadi la dpworld linaunga mkono makuwadi wenzake.
Pesa ndo kila kitu dunianiPesa sio kila kitu..usipojua hili wewe ni sawa mfu lkn unatembea.
Mpaka mambo yake sawa. Wewe unadhani katuni ya Kipanya inaonekanaje machoni mwako. Msisitizo"....unadhani....inaonekanaje machoni mwako..."mnatushosha bwana. kila mara nikeleleza dp dp. kuandamana hamtokei
Inavyoelekea wananchi hawakatai uwekezaji,bali ni jinsi mkataba ulivyo,na jinsi ulivyowakilishwa bungeni.Mama yapasa afanye maamuzi magumu kulingana na heshima aliyoijenga kwa jamiiView attachment 2666300
Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima.
Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai. Kiuhalisia wote waliohojiwa ni kutoka kwa ndugu zetu unguja na pemba (Zanzibar).
Mambo mengi mazuri Sana ya DP world yameongelewa,ikiwa pamoja na bandari kupokea meli 30 kwa wakati mmoja na kuhudumia meli sita zenye magari 3k kwa siku mbili tu. Mambo ni mengi.
Lakini Hawa jamaa ni wanajizima data au hawajui kilio Cha wanaowapinga hao DP world kuwa siyo ufanisi wao Bali ni MKATABA mbovu na wa kinyonyaji na wakivhief Mangungo baina yao na Tanzania?
Hata dada yetu wa Jf bi Faiza Fox nae aliandikw uzi wenye mtazamo huu huu wa kina Zembwela kuwa "DP world wapo hadi Uingereza iweje nyie walala hoi watanganyika mnawakataa". Akapigwa maswali haya haya,umeuona mkataba wa Uingereza? Au mkataba wa Uingereza na huu wa kwetu unafanana?
Alafu kingine; hivi ni nani amawafadhili Hawa jamaa watatu? Huko Dubai? Maana wanajimwayamwaya kama wafalme. Na Wana ego balaa,full kujisifu.
Hii nguvu ya DP world kwenye media za bongo siyo mchezo.
Lakini Hawajui kuwa ukimsisitiza Sana Mtu kuwa kitu chako ni ni kizuri ndivyo unavyomfanya astuke kwamba kwa nini jamaa ananilazimisha Sana nione hiki kitu chake kipo sawa? Jamaa wanafosi mpaka kila mtu Sasa anajua kwamba wanalazimisha!!
Hii tabia tunayo Sana sisi mawinga/ wazee wa kulenga hapa kariakoo. Nikiona hiki kiatu ni 'mdosho',nguvu ninayotumia kukuaminisha kwamba ni kiatu genuine ili uingie mkenge siyo ya nchi hii. Ukifungua wallet tu tukamalizana napita hivi,utajijua mbele ya safari. Ukikivaa ukapiga hatua zako 20,mguu unanyanyuka,soli inabaki chini.
Nikimwangalia Gerald Hando ni Kama Mtu mwenye kujistukia tofauti na wenzie. Hawa jamaa wawili wanaupepeta mdomo si mchezo. Hawana breki.
Watu mliozoea kula bila kunawa wa GSM mna wakati mgumu sana miezi michache ijayo. Hamuwezi nyinyi wachache mkaendelea kuidhulumu nchi yenye watu milioni 62 eti mpaka mfe, nyinyi mmekuwa kina nani?.View attachment 2666300
Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima.
Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai. Kiuhalisia wote waliohojiwa ni kutoka kwa ndugu zetu unguja na pemba (Zanzibar).
Mambo mengi mazuri Sana ya DP world yameongelewa,ikiwa pamoja na bandari kupokea meli 30 kwa wakati mmoja na kuhudumia meli sita zenye magari 3k kwa siku mbili tu. Mambo ni mengi.
Lakini Hawa jamaa ni wanajizima data au hawajui kilio Cha wanaowapinga hao DP world kuwa siyo ufanisi wao Bali ni MKATABA mbovu na wa kinyonyaji na wakivhief Mangungo baina yao na Tanzania?
Hata dada yetu wa Jf bi Faiza Fox nae aliandikw uzi wenye mtazamo huu huu wa kina Zembwela kuwa "DP world wapo hadi Uingereza iweje nyie walala hoi watanganyika mnawakataa". Akapigwa maswali haya haya,umeuona mkataba wa Uingereza? Au mkataba wa Uingereza na huu wa kwetu unafanana?
Alafu kingine; hivi ni nani amawafadhili Hawa jamaa watatu? Huko Dubai? Maana wanajimwayamwaya kama wafalme. Na Wana ego balaa,full kujisifu.
Hii nguvu ya DP world kwenye media za bongo siyo mchezo.
Lakini Hawajui kuwa ukimsisitiza Sana Mtu kuwa kitu chako ni ni kizuri ndivyo unavyomfanya astuke kwamba kwa nini jamaa ananilazimisha Sana nione hiki kitu chake kipo sawa? Jamaa wanafosi mpaka kila mtu Sasa anajua kwamba wanalazimisha!!
Hii tabia tunayo Sana sisi mawinga/ wazee wa kulenga hapa kariakoo. Nikiona hiki kiatu ni 'mdosho',nguvu ninayotumia kukuaminisha kwamba ni kiatu genuine ili uingie mkenge siyo ya nchi hii. Ukifungua wallet tu tukamalizana napita hivi,utajijua mbele ya safari. Ukikivaa ukapiga hatua zako 20,mguu unanyanyuka,soli inabaki chini.
Nikimwangalia Gerald Hando ni Kama Mtu mwenye kujistukia tofauti na wenzie. Hawa jamaa wawili wanaupepeta mdomo si mchezo. Hawana breki.
Wanachopewa ni kidogo kulinganisha na kuwaachia bandari wapiga wasiolipa kodi hata senti moja.Hao kina Kitenge, Zembwela, na Hando ni wasaliti wa Tanganyika yetu.
Usishangae hao jamaa wakijiachia, bahasha zimeshatembea kwao, kama zilivyotembea kwa wabunge.
Kifikra wewe ni mfu tayari tena uko kuzimu, sabab huko ndiko kunatoka watu wanaowaza km wewe.Pesa ndo kila kitu duniani
Kwenye mtandao auHuyu mama atuachie nchi yetu jamani.
Mkuu,Upesi sana, avae ndala zake asepe visiwani
Hauna akili.Watu mliozoea kula bila kunawa wa GSM mna wakati mgumu sana miezi michache ijayo. Hamuwezi nyinyi wachache mkaendelea kuidhulumu nchi yenye watu milioni 62 eti mpaka mfe, nyinyi mmekuwa kina nani?.
DPW anakwenda kufunga mitambo yake bandarini na haya magumashi yenu ndio yanafikia mwisho. Nchi hii imedhulumiwa vya kutosha.
Mkuu nitakuwaje poa na tunauzwa?Mkuu,
Habari,tumepotezana muda Sana. Uko poa?