Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

Huyo sidhani kama ameshamfuatilia Prof. Mruma alivyojiuma kwenye kesi za ICSID juu ya uvunjaji kiholela wa mikataba ya uwekezaji kwenye madini.

Rabbon

..kule ICSID Prof Mruma alikwenda kwa niaba ya Magufuli.

..ule ndio ulikuwa uwanja rasmi wa watu wa Magufuli kupambana na kuwashinda mabeberu.
 
Wasiifatilia nchi yao waliingizwa chaka wengi
 
Huwa unafuatilia siasa kweli wewe? Umemsikiliza Lissu akiwa Chato na Geita? Kama hujafanya hivyo, endelea tu kusoma comments za watu usikomenti hivi vitu vya ajabu.
Sahihi
 
..kule ICSID Prof Mruma alikwenda kwa niaba ya Magufuli.

..ule ndio ulikuwa uwanja rasmi wa watu wa Magufuli kupambana na kuwashinda mabeberu.
Sasa waliangukia pua. Wamuombe msamaha TL
 
Hukusikia hizi habari hapo nyuma?
 
Chadema mshapoteza wapiga kura kibao kwa kuutukana uisilamu ,waislamu watakaoiunga mkono chadema wanahesabika ni wanafiki hawana tofauti na murtadi.(Waliotoka Uislamu).
Udini utakumaliza wewe. Ccm kila mkishindwa hoja mnaleta udini na haujawahi kuwasaidia tangu 2005
 
Namsubiria huku kaburini aje kutubu bado hatujasahau atanikuta nimuhoji maswali yangu muhimu.

Hata hivyo nilijuwa siku itafika wanao mchafua jpm ndo watamsafisha wenyewe.
Mkuu pole sana, kumbe bado huko na maombolezo, kubali tu kuwa mungu wako kafa, ila ni ushauri tu siyo lazima uupokee
 
We jamaa umehama chama chako cha mbogamboga baada ya jiwe kufa?
 
Mwambie huyo luckyline
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…