Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

Huyo sidhani kama ameshamfuatilia Prof. Mruma alivyojiuma kwenye kesi za ICSID juu ya uvunjaji kiholela wa mikataba ya uwekezaji kwenye madini.

Rabbon

..kule ICSID Prof Mruma alikwenda kwa niaba ya Magufuli.

..ule ndio ulikuwa uwanja rasmi wa watu wa Magufuli kupambana na kuwashinda mabeberu.
 
Mfuatilie vizuri utamuelewa tu. Inaonesha hujawa na imani naye. Propaganda nyingi zilifanywa na mwendazake na kundi lake kuwaaminisha watu wasiofuatilia mambo kwamba Lissu siyo mzalendo. Hizo zama zimeshapita, tufuatilie hoja zinazotolewa na tujaji wenyewe.
Wasiifatilia nchi yao waliingizwa chaka wengi
 
Huwa unafuatilia siasa kweli wewe? Umemsikiliza Lissu akiwa Chato na Geita? Kama hujafanya hivyo, endelea tu kusoma comments za watu usikomenti hivi vitu vya ajabu.
Sahihi
 
..kule ICSID Prof Mruma alikwenda kwa niaba ya Magufuli.

..ule ndio ulikuwa uwanja rasmi wa watu wa Magufuli kupambana na kuwashinda mabeberu.
Sasa waliangukia pua. Wamuombe msamaha TL
 
Tatizo ni pale anapoingiza mambo ambayo hayahusiani na wala hayana ushahidi. Kwa mfano kusema nyumbani kwa marehemu Magufuli kulikutwa mamilioni ya Dola. Kitu kama hiki kwa nini kijulikane sasa tu miaka yote hii baadaya kifo? Jee, anao ushahidi? Kauli hii inalenga nini? Kauli hizi zinampunguzia sapoti badala ya kumuinua.
Hukusikia hizi habari hapo nyuma?
 
Chadema mshapoteza wapiga kura kibao kwa kuutukana uisilamu ,waislamu watakaoiunga mkono chadema wanahesabika ni wanafiki hawana tofauti na murtadi.(Waliotoka Uislamu).
Udini utakumaliza wewe. Ccm kila mkishindwa hoja mnaleta udini na haujawahi kuwasaidia tangu 2005
 
Namsubiria huku kaburini aje kutubu bado hatujasahau atanikuta nimuhoji maswali yangu muhimu.

Hata hivyo nilijuwa siku itafika wanao mchafua jpm ndo watamsafisha wenyewe.
Mkuu pole sana, kumbe bado huko na maombolezo, kubali tu kuwa mungu wako kafa, ila ni ushauri tu siyo lazima uupokee
 
Nikwambie Kweli,

Vijana wakijitokeza wahuni huiba kura lakini wanashindwa,

Uchaguzi wa 2015 vijana wakijitokeza kuhakikisha Nchi inapata mabadiliko bila kujali ufisadi wa Lowwaaa bt mshindi akawaangusha wapiga kura Kwa kutotoka kudai HAKI ya ushindi,

Tulishuhudia wakichoma kadi za kura na kuapa kutoshiriki tena chaguzi,

So Lissu kama Makamo ajue kuwa vijana kura za Siri hawaziamini tena,

Mkutanoni watakuja, kuja kupiga kura hawaji!!!!

Hilo linahitaji Mbinu za haraka,

2024 Iko mlangoni!!!
We jamaa umehama chama chako cha mbogamboga baada ya jiwe kufa?
 
..Na siku za karibuni waliokuwa wakimchafua Lissu watamsafisha wenyewe.

..wananchi wameshaanza kumsafisha Lissu, bado lile genge lililokuwa likilipwa kumchafua.

..Lissu amefika Chato na kuhutubia. Aliwapa wananchi nafasi ya kumzomea, lakini wao wakaamua kumpigia makofi.
Mwambie huyo luckyline
 
Back
Top Bottom