Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wajinga ndio mliamini ile propaganda mfu. Lisu ndio mtu aliyepigania raslimali za madini na wachimbaji wadogo wadogo bila kusubiri awe rais. Sasa huyo aliyejifanya mzalendo baada ya kuwa rais huo utakuwa uzalendo uchwara, a.k.a uzalendo wa kiki. Wakati Lisu anatetea raslimali za umma, mzalendo uchwara alikuwa kimya analinda cheo. Inshort dhalimu hakuwa na rekodi yoyote ya kupigania raslimali za umma, ama wachimbaji wadogo wadogo, hadi alipokuwa rais na kuanza na uzalendo wa kusaka sifa.Angle ninayoiongelea kumkosia Lissu kukosa UZALENDO,
Ni kuajiriwa na makaburi kuwatetea katika case dhidi ya sirikali yake ktk issue za madini!!!
Alionyesha conflict of interest, atubu au afafanue na Hilo pia!!!
Ni sawa na sasa hivi hakuna mwanaccm anathubutu kujitokeza hadharani kutetea mkataba wa bandari, lakini usishangae akiwa rais akatae mkataba wa bandari na kutaka hawa wanaotetea sasa waonekane sio wazalendo bali wanashirikiana na mwarabu!