Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

Angle ninayoiongelea kumkosia Lissu kukosa UZALENDO,

Ni kuajiriwa na makaburi kuwatetea katika case dhidi ya sirikali yake ktk issue za madini!!!

Alionyesha conflict of interest, atubu au afafanue na Hilo pia!!!
Wajinga ndio mliamini ile propaganda mfu. Lisu ndio mtu aliyepigania raslimali za madini na wachimbaji wadogo wadogo bila kusubiri awe rais. Sasa huyo aliyejifanya mzalendo baada ya kuwa rais huo utakuwa uzalendo uchwara, a.k.a uzalendo wa kiki. Wakati Lisu anatetea raslimali za umma, mzalendo uchwara alikuwa kimya analinda cheo. Inshort dhalimu hakuwa na rekodi yoyote ya kupigania raslimali za umma, ama wachimbaji wadogo wadogo, hadi alipokuwa rais na kuanza na uzalendo wa kusaka sifa.

Ni sawa na sasa hivi hakuna mwanaccm anathubutu kujitokeza hadharani kutetea mkataba wa bandari, lakini usishangae akiwa rais akatae mkataba wa bandari na kutaka hawa wanaotetea sasa waonekane sio wazalendo bali wanashirikiana na mwarabu!
 
2020 Kwenye uchaguzi kila mjumbe wa CCM alikuwa msimamizi wa uchaguzi aliruhusiwa kuingia na kutoka muda wowote aliopenda kwa hiyo usitutoe kwenye japo hoja yako ni ya msingi.
Ni Kweli anapata mapokezi makubwa,

Jitihada zinahitajika kuwarudisha vijana kushiriki HAKI Yao ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa.

Kuna ujinga wanaambukizana kuwa kupiga kura ni ujinga sababu Eti zinaibwa!!

Wapo wengi walisusa hata kuhesabiwa sensa,wengine walisusia zoezi la Nida vile vile.

Lissu akipata kura chache sana 2020 sababu kuu ni vijana kususia uchaguzi.

CDM msisahau jambo Hilo muhimu.

ELIMU, ELIMU, ELIMU YA URAIA🙏🙏🙏
 
Namsubiria huku kaburini aje kutubu bado hatujasahau atanikuta nimuhoji maswali yangu muhimu.

Hata hivyo nilijuwa siku itafika wanao mchafua jpm ndo watamsafisha wenyewe.

..Na siku za karibuni waliokuwa wakimchafua Lissu watamsafisha wenyewe.

..wananchi wameshaanza kumsafisha Lissu, bado lile genge lililokuwa likilipwa kumchafua.

..Lissu amefika Chato na kuhutubia. Aliwapa wananchi nafasi ya kumzomea, lakini wao wakaamua kumpigia makofi.
 
Wajinga ndio mliamini ile propaganda mfu. Lisu ndio mtu aliyepigania raslimali za madini na wachimbaji wadogo wadogo bila kusubiri awe rais. Sasa huyo aliyejifanya mzalendo baada ya kuwa rais huo utakuwa uzalendo uchwara, a.k.a uzalendo wa kiki. Wakati Lisu anatetea raslimali za umma, mzalendo uchwara alikuwa kimya analinda cheo. Inshort dhalimu hakuwa na rekodi yoyote ya kupigania raslimali za umma, ama wachimbaji wadogo wadogo, hadi alipokuwa rais na kuanza na uzalendo wa kusaka sifa.

Ni sawa na sasa hivi hakuna mwanaccm anathubutu kujitokeza hadharani kutetea mkataba wa bandari, lakini usishangae akiwa rais akatae mkataba wa bandari na kutaka hawa wanaotetea sasa waonekane sio wazalendo bali wanashirikiana na mwarabu!
Umewachana yaani ccm ndiyo tabia yao ya kusahau yaliyopita wakati waasisi wa uovu ni wao.
 
Tatizo ni pale anapoingiza mambo ambayo hayahusiani na wala hayana ushahidi. Kwa mfano kusema nyumbani kwa marehemu Magufuli kulikutwa mamilioni ya Dola. Kitu kama hiki kwa nini kijulikane sasa tu miaka yote hii baadaya kifo? Jee, anao ushahidi? Kauli hii inalenga nini? Kauli hizi zinampunguzia sapoti badala ya kumuinua.
Kungekuwa na taasisi huru za kiuchunguzi ukweli aliosema Lisu ungekaa hadharani. Unataka ushahidi utoke kwenye taasisi zinazotumika kuficha ukweli?!
 
Hata hivyo, hiyo siyo hoja yangu. Ninachotaka uelewe hapa ni kuwa, kati ya hao 13,000,000 (vijana kwa wazee) waliopiga kura mwaka 2020, zaidi ya nusu waliipa CHADEMA na Tundu Lissu kura zao. Hoja ya vijana hapa is of very less important...
Sahihi
 
Angle ninayoiongelea kumkosia Lissu kukosa UZALENDO,

Ni kuajiriwa na makaburi kuwatetea katika case dhidi ya sirikali yake ktk issue za madini!!!

Alionyesha conflict of interest, atubu au afafanue na Hilo pia!!!

..Lissu ametetea WANANCHI dhidi ya serikali na makampuni ya madini.

..harakati hizo ndizo zilizomtia ktk matatizo na serikali za Mkapa, Kikwete, Magufuli, pamoja na makampuni ya madini.

..kwenye " mgogoro " wa Barrick / Accacia na Magufuli, na uwasilishaji wa ripoti za uchunguzi, Lissu alitetea UKWELI.

..Mtu yeyote aliyeshughulisha akili zake asingeshindwa kuona kwamba ripoti na taarifa za serikali zilijaa UPOTOSHAJI /PROPAGANDA.

..Lissu alionya kwamba taarifa zile sio za kweli na tukichukua hatua kwa kuzifuata NCHI itaingia gharama kubwa kwa kushindwa kesi.

..UKWELI umeanza kujulikana kwa jinsi serikali inavyoshindwa kesi moja baada ya nyingine.

..Watu kama Prof.Mruma, ambao Magufuli aliwaamini mpaka akawapa vyeti vya utendaji wa kizalendo, wamekwenda mbele ya mahakama za kimataifa na kushindwa kutetea nchi.

..Kwenye kutetea rasilimali ni wachache ambao mchango wao unajulikana na WANANCHI / WENYEJI wa maeneo husika.

..Wenyeji wa maeneo ya Bulyankulu, Nzega, Geita, North Mara, wanamtambua Lissu kama mtetezi wao. Hahitaji kujisafisha machoni mwa jamii hizo.
 
Kwenye kutetea rasilimali ni wachache ambao mchango wao unajulikana na WANANCHI / WENYEJI wa maeneo husika.
Hii ni legacy kubwa sana kwa Lissu.
Wakati wengine wameacha legasi ya kuteka watu
 
Simpendi kabisa Lisu. Nilitabiri yaliyompata siku moja kabla ya tukio ingawa zilikuwa hasira tu, sikufahamu kama yangempata.

Kwa sasa CCM basi, naenda na Lisu

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mungu akurehemu sana. Hukujua ulitendalo lakini kwa kuwa umetubu Mungu atakubariki.
 
Mbona hilo kila mahali analifafanua vizuri tu labda hujafatilia mikutano yake.

Kama uliona Kilichomkuta Prof Muruma kuke ICSID utamwelewa Lissu.

Hata Mwigulu sasa kaelewa nini maana yake.
Huyo sidhani kama ameshamfuatilia Prof. Mruma alivyojiuma kwenye kesi za ICSID juu ya uvunjaji kiholela wa mikataba ya uwekezaji kwenye madini.

Rabbon
 
Namsubiria huku kaburini aje kutubu bado hatujasahau atanikuta nimuhoji maswali yangu muhimu.

Hata hivyo nilijuwa siku itafika wanao mchafua jpm ndo watamsafisha wenyewe.
Wewe naye ni kijana au ndo wale la IIIB?

JPM huyo ndo mdudu gani nchi hii?
 
Angle ninayoiongelea kumkosia Lissu kukosa UZALENDO,

Ni kuajiriwa na makaburi kuwatetea katika case dhidi ya sirikali yake ktk issue za madini!!!

Alionyesha conflict of interest, atubu au afafanue na Hilo pia!!!
Mfuatilie vizuri utamuelewa tu. Inaonesha hujawa na imani naye. Propaganda nyingi zilifanywa na mwendazake na kundi lake kuwaaminisha watu wasiofuatilia mambo kwamba Lissu siyo mzalendo. Hizo zama zimeshapita, tufuatilie hoja zinazotolewa na tujaji wenyewe.
 
Chadema mshapoteza wapiga kura kibao kwa kuutukana uisilamu ,waislamu watakaoiunga mkono chadema wanahesabika ni wanafiki hawana tofauti na murtadi.(Waliotoka Uislamu).
 
Back
Top Bottom