Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

Kumbe hujaangalia video Halafu unachangia? Poor you
Sina muda wa kuangalia Video ila kama content / muktadha ulikuwa comedy kwahio chochote kitakachotokea huko nakichukulia kwamba ni comedy (siwezi kutafuta vitu serious kwenye comedy)
 
Mleta mada na wenye mawazo yakufanana na yako, unaijua "White House correspondent dinner"
Inafanyika ndani ya ikulu ya nchi yenye nguvu na ushawishi duniani, wenye userious kuliko familia yako... Shoo inajaa comedian kibao... Rais anataniwa kupita maelezo

PUNGUZA CHUKI NA MAKASIRIKO
 
Siasa ndio ina content kubwa zaidi ya comedy.
Comedy iliyofaa kwenye hiyo hadhira ni punching up, sio punching down, tatizo ni uchawa.
Kuna watu wana uchawa wa kuzaliwa nao. Hawajui maisha mengine tofauti na hayo ya uchawa. Nyuma ya kila life accomplishment yao ni uchawa!
 
SU-57, SU-35, F35, F22 Raptors, B52 bombers, Mig 31, Mig41, Mig 23, Mig 25, F15, F16 fighting falcon, Mc Donnel Douglas F/A 18 hornet,Rafale M, B and C.
 
Kwa akili yako mleta mada,
Katika vitu vyote wameongea wale wachekeshaji kipi kilikuwa cha maana kwa Rais Samia zaidi ya comedy?
 
Ni lini ccm walifanya masuala yanayolinda maadili?
Achana na kuomba picha... Kulikuwa na haja gani ya hao wanaojiita wachekeshaji kupanda jukwaani kuimba mapambio na kumuabudu SSH?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…