Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

Dhambi ya ubaguzi huwa haiishi kamwe, mtabagauana hata kwa sauti basi tu ili ubaguzi uwepo.
Ndivyo ilivyo.
Nyie mnavyoleta ubaguzi wa vyama , mara kanda nyie ndio watu wa ovyo kabisa..Wabaguzi namba moja bora zenji
 
Mimi ningekuwa raisi kitu cha kwanza kwenye utawala wangu ningevunja huu Muungano.
 
Mnajipendekeza sana kwa wazanzibar, unawakodisha ardhi ya nini? Tukiwakazia watafika pahala watatupa heshima otherwise tutawauzia chakula kwa bei tunazotaka na hawana cha kutufanya.

Mnalazimisha ujirani usio na msingi wacha wawapige tu.
 
Nyie mnavyoleta ubaguzi wa vyama , mara kanda nyie ndio watu wa ovyo kabisa..Wabaguzi namba moja bora zenji
Kokote kule iwe Zenji, iwe Bara, iwe kwako ama kwangu kote ni hivyo hivyo, mkishaanza kubaguana hamtamalizana.
 

Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 imewaliza Machozi Watanzania​

 

Huna akili
Hakuna Mzanzibar mwenye akili bro,utajichosha tu,na hata watanganyika walokaa kule kwa muda mrefu pia akili yao inabadilika na kuwa zwazwa kabisa
 

Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 imewaliza Machozi Watanzania​

na hilo la Tanzania yenye watu milioni 60 kuwa na kiti umoja wa mataifa sawa na India yenye watu Bilioni 1 na nusu,Wahindi wamelipokeaje? si wamezimia kabisa?
 
Imebidi nisome mwenyewe hiyo Mwanzo 21:9
Imeandikwa akifanya dhihaka, siyo wakicheza kama ulivyopotosha.
 
Hivi huo ni ubaguzi wa Dini au ushenzi wa watu binafsi? Hao ni washenzi tu ambao wanatokea kuwa waislamu.

Mijadala ya Dini karne ya 20 naona upumbavu mkubwa. Huko nje wenzetu wanaingia kwenye Era ya Robotics na Artificial Intelligence, huku kuna watu bado wanajadili dini kama mwaka 1200.

Inasikitisha sana kuona kama Jamii tulivyo nyuma kimaendeleo na dunia.
 
Uislam unakataza kuomba omba ... Ni hivyo basi tu ... Ndio maana kwenye uislamu kuna mfumo maalum wa kusaidia watu maskini kupitia zaka.. na kumuwezesha
Na wale nje ya msikitini wanaokingaga mikono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…