Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

Dhambi ya ubaguzi huwa haiishi kamwe, mtabagauana hata kwa sauti basi tu ili ubaguzi uwepo.
Ndivyo ilivyo.
Nyie mnavyoleta ubaguzi wa vyama , mara kanda nyie ndio watu wa ovyo kabisa..Wabaguzi namba moja bora zenji
 
Mimi ningekuwa raisi kitu cha kwanza kwenye utawala wangu ningevunja huu Muungano.
 
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa.
Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela.

Udhalilishaji aliofanyiwa umeniacha na maumivu makubwa moyoni. Mtu hata kwa kumtazama usoni unaona dhahiri hayuko sawa na asiye na siha njema. Nimesawijika sana.

Wanasema amewaibia lakini hakuna uthibitisho wa hilo. Zaidi unaona ni chuki ya kwa kua ni mtu wa bara na zaidi ukisikiliza clip kwa uzuri kuna mtu anaropoka hawezi kua na msalaba huyo? Hiyo baada ya mmoja kumuuliza bwana Ali kuhusu mtu anaitwa Eric Masawe.

Nimekerekwa sana kwa udhalilishaji huu. Hii chuki ya dini ya mtu inatoka wapi? Asilani siwezi kumchukia mtu kwa dini yake hata kama si wa imani yangu na siafiki mambo juu ya imani yake. Kulikua na haja gani kutaja suala la msalaba?

Mimi kwetu Arumeru baba yangu alikua anakodisha ardhi kwa wazanzibari kiroho safi bila kujali dini zao wala utofauti wa makabila. Lakini, wenzetu hii chuki inatoka wapi?

Bwana Ali ametwezwa sana utu wake. Na huyu ni ndugu muislam vipi kwa asiye muislam? Hivi ndio dini inaelekeza? Kama mnaona kuomba anapata sana basi nanyi muombe muone kama ni jambo la kujivunia.

Wazanzibari mkae mkijua kama ni hasira zenu basi muipelekee CCM na sio wananchi wa kawaida. Huyo ndie adui yenu na adui wa kila mmoja wetu.

Ifike wakati mstaarabike. Dini badala ya kutujenga zinatufanya kuwa mafala na majinga.
View attachment 2977699
Mnajipendekeza sana kwa wazanzibar, unawakodisha ardhi ya nini? Tukiwakazia watafika pahala watatupa heshima otherwise tutawauzia chakula kwa bei tunazotaka na hawana cha kutufanya.

Mnalazimisha ujirani usio na msingi wacha wawapige tu.
 
Nyie mnavyoleta ubaguzi wa vyama , mara kanda nyie ndio watu wa ovyo kabisa..Wabaguzi namba moja bora zenji
Kokote kule iwe Zenji, iwe Bara, iwe kwako ama kwangu kote ni hivyo hivyo, mkishaanza kubaguana hamtamalizana.
 

Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 imewaliza Machozi Watanzania​

 
JUST IMAGINE;

1. Wanamiliki ardhi bara, sisi kwao marufuku kumiliki.
2. wanaajiriwa serikali bara, sisi kwao marufuku kuajiriwa.
3.wanakuwa wabunge kwetu bara, sisi kwao marufuku.
4. wanakuwa mawaziri bara, sisi kwao marufuku.
5. wana TRA yao, ila wakikopa wabara tunalipa.
6. umeme wanatumia wa bara, sina uhakika kama wanalipa.
7. wana uhuru kuishi bara, ila wewe ukienda kule wanakuona umeenda kuchukua neema zao na wanakuita chogo.

8. kero za kwao tu ndio zinatatuliwa, za bara sijawahizisikia. hivi, kama wao tu ndio wana kero kwetu pamoja na hayo nimeandika sisi hatulalamiki, sisi tunafaidika nini na wao? mwinyi ambaye ameshakuwa waziri bara, ameenda kule amekuwa rais, anasema wabara tukimiliki ardhi kule ni kwa uwekezaji wakati yeye na familia yake wanamiliki ardhi bara na majumba kibao. amewaangalia tu wazanzibar wanapiga viboko wabara wakristo kwa sababu atiwamekula chakula mchana, hatujaona yeyote akipelekwa mahakamani. hawa watu wanatufaa kweli?

hivi, kama kuna anayejua, Tanganyika ina fa

Huna akili
Hakuna Mzanzibar mwenye akili bro,utajichosha tu,na hata watanganyika walokaa kule kwa muda mrefu pia akili yao inabadilika na kuwa zwazwa kabisa
 

Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 imewaliza Machozi Watanzania​

na hilo la Tanzania yenye watu milioni 60 kuwa na kiti umoja wa mataifa sawa na India yenye watu Bilioni 1 na nusu,Wahindi wamelipokeaje? si wamezimia kabisa?
 
Mwanzo 21:9 Baadaye Sara alimwona Ishmaeli, mtoto wa Abrahamu aliyezaliwa na Hagari, Mmisri, akicheza na Isaka mwanawe. 10Basi, Sara akamwambia Abrahamu, “Mfukuzie mbali mjakazi huyu na mwanawe.

HAPA NDIPO ASILI YA UZAO WA CHUKI, ULIPAJI VISASI, MAUAJI, UGAIDI ULIPO ANZIA.

WATU WA VISIWANI NI KAMA WATU WA UZAO WA ISHIMAEL WENGINE, USISUMBUKE NAO
Imebidi nisome mwenyewe hiyo Mwanzo 21:9
Imeandikwa akifanya dhihaka, siyo wakicheza kama ulivyopotosha.
 
Hivi huo ni ubaguzi wa Dini au ushenzi wa watu binafsi? Hao ni washenzi tu ambao wanatokea kuwa waislamu.

Mijadala ya Dini karne ya 20 naona upumbavu mkubwa. Huko nje wenzetu wanaingia kwenye Era ya Robotics na Artificial Intelligence, huku kuna watu bado wanajadili dini kama mwaka 1200.

Inasikitisha sana kuona kama Jamii tulivyo nyuma kimaendeleo na dunia.
 
Uislam unakataza kuomba omba ... Ni hivyo basi tu ... Ndio maana kwenye uislamu kuna mfumo maalum wa kusaidia watu maskini kupitia zaka.. na kumuwezesha
Na wale nje ya msikitini wanaokingaga mikono?
 
Back
Top Bottom